Plata O Plomo: Ulimwengu wa Siri Kiganjani Kwa Binadamu Mmoja[ Pablo Escobar]

Kabisa Mkuu! Nilisikia kuhusu hili, pia amewatuhumu vikali watengenezaji wa tamthilia kwa kupotosha baadhi ya facts
 
Daah kumbe very interesting story...niliwahi kuifuatilia sana katika gazeti la Mtanzania lakini haikuwa na vionjo kama vilivyopo humu

Thanx the Bbold "the only one"
 
Nimetuliza akili,nimeisoma...nimeimaliza sasa.
Naam,huyu ndiye The bold mwenyewe sasa.
Shukraan mkuu.
Nimekuwa nikimsoma Pablo ktk makala tofauti,pia kuangalia movie ya maisha yake...
Ila makala hii imekata kiu yangu ya kumjua Pablo.
 
Daah kumbe very interesting story...niliwahi kuifuatilia sana katika gazeti la Mtanzania lakini haikuwa na vionjo kama vilivyopo humu

Thanx the Bbold "the only one"
Pamoja sana Mkuu! Nashukuru
 
Nimetuliza akili,nimeisoma...nimeimaliza sasa.
Naam,huyu ndiye The bold mwenyewe sasa.
Shukraan mkuu.
Nimekuwa nikimsoma Pablo ktk makala tofauti,pia kuangalia movie ya maisha yake...
Ila makala hii imekata kiu yangu ya kumjua Pablo.
Naamini umenipa na ile chenji ya 50% iliyobaki kule kwenye mchoro wa Mona Lisa [emoji12] [emoji1]

Nashukuru sana Mkuu.
 
The bold umetisha sana. Sikuwa hata najua kwamba Pablo Escobar alishakufa. Nilikuwa nafahamu juu juu tu kuhusu huyu mtu. Je story ya Carlos THE JACKAL unayo?
 
Nilitaka kushangaa kuwa nafika page ya 16 sijakutana na vichwa maji wanao-quote thread ndefu kama hii
Ila wewe umejitokeza sasa
Kwa nini usikoment kawaida bila kuqoute uzi wote
Unatusumbua tunaotumia simu
Comment yenyewe hapo hamna ulichoandika
 
Daaah nmesoma Story yotee mwanzo mwsho nlvyo ifurahia nmejkuta nasoma na Comments Zotee The Bold Umetsha Mkuu thnkxxx.
 
Mkuu hongera sana kwa simulizi zako za kusisima awali niliwahi kuisikia historia ya huyu jamaa kwa juu juu. Sasa nimeilewa zaidi asante.
[HASHTAG]#Thebold[/HASHTAG]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…