ati "..The Bold koma kabisa.."
Listen guys... got no time kutukanana na watu humu mitandaoni.. Hatujuani that's why namuheshimu kila mtu na huwezi kunikuta nimetukana hata siku moja huu Mwaka wa nne niko JF..
Kulikuwa na uwezo wa kuwasilisha hoja zake kwa lugha ya staha tu tukajadili, kwa kusahihisha au kujazia nyama pale anapihisi pamepwaya.. Kulikuwa na umuhimu gani wa kutumia lugha ya kuudhi??
Let's do this..
Huyo ameishi Cuba toka utotoni, mimi hata Chalinze sijawahi kufika..
Huyo anamujua Castro inside out, mimi hata jina simjui..
Huyo ni msomi wa dar'ja la juu, mimi nimeishia la saba.!!
Problem solved.!! Let's move on with life.
Mbarikiwe sana..