Uchaguzi 2020 Please CHADEMA, mtapata mnachokitafuta

Ukweli dhahiri. Ndo maana pro-CCM "wanaishauri" CHADEMA wapitishe wagombea wengine eti ni wazuri zaidi.
 
Nakukubalia mawazo yako lkn hilo la kugawana mbao tunaomba mungu atuepushie mbali
 
Shida ni kwamba wanaweza kumuwekea lisu zengwe halafu chadema ikapoteza kabisa so nadhani mbowe ni back up in case lissu akahujumiwa ; Japo hujuma yoyote kwa lisu itakuwa na impact kubwa Sana kimahusiano ya Tanzania na mashirika na mataifa ya nje.
Mkuu, wengi siwaoni wakiliwaza hili. Kama, wameweza kudhurumu vingi tu ambavyo vilionekana ni halali, na bado kwa kupitia mahakama, nako kukahalalisha hiyo dhuruma. Sitashangaa akitupwa nje baada ya mapingamizi, tena kutoka hata nje ya CCM.
 
Mkuu mimi sikupingi hata kidogo ila ujue kuwa hao kina Nyalandu na kina Msigwa pia wanalijua hilo cha msingi ni kuiruhusu demokrasia ichukue mkondo angalau kwa kuchukua hata form ili tusiwe kama wenzetu walio andaa form moja tu.
 
Nakuunga mkono mkuu naona umeelewa mkakati wa chama
Shida ni kwamba wanaweza kumuwekea lisu zengwe halafu chadema ikapoteza kabisa so nadhani mbowe ni back up in case lissu akahujumiwa ; Japo hujuma yoyote kwa lisu itakuwa na impact kubwa Sana kimahusiano ya Tanzania na mashirika na mataifa ya nje.
 
Kwahiyo nawe unaropoka?
 
Unajua kipindi hiki kuelekea uchaguzi kila mtu anakuja na wazo lake linaweza likawa ni constructive au la kubomoa pia lkn kwa uongozi ndani ya chama wanajua nini kinafanyika.
Mkuu, wengi siwaoni wakiliwaza hili. Kama, wameweza kudhurumu vingi tu ambavyo vilionekana ni halali, na bado kwa kupitia mahakama, nako kukahalalisha hiyo dhuruma. Sitashangaa akitupwa nje baada ya mapingamizi, tena kutoka hata nje ya CCM.
 
Mnatuzingua tu,miaka yote mnatuambia ccm huwa hashindi kihalali kwa sanduku la kura kwa hivyo ccm hutumia dola kuendelea kukaa madarakani ila wananchi wamemchoka. Sasa haya kuona Lissu pekee ndio anaweza kumchallange Magufuli yanatoka wapi? Ikiwa ccm watu wameichoka na hawana mapenzi na Magufuli.
 
Wasipomsimamisha Lissu naihama Chadema nabaki bila chama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…