Uchaguzi 2020 Please CHADEMA, mtapata mnachokitafuta

Tatizo LA chadema kila MTU Ni kambale, lema ahojiwe kama kweli kasema hayo maneno, isijeonekana Lumumba kafanya yao, kama kasema kakosea sana.Chama Ni kuvumiliana na vikao.
Kwa kweli hata mimi kanivunja moyo sana, yaani Lema kama kweli kasema hayo atakuwa amefanya upumbavu wa hali ya juu! Watu tunawaunga mkono kumbe wapumbavu tu!! Kama itathibitika pasipo shaka kwamba kasema hayo na akagoma kutuomba radhi au chama kikashindwa kumchukulia hatua kali, nitamwomba Lissu tuhamie CCM na hiyo ndiyo itakuwa mwisho wa upinzani Tanzania. Shenzy kabisa Lema kama wewe ndiye kweli umesema hayo!
 
Watanzania bana Mungu atusamehe tu bure,Sina haki kwamba shida ni yetu ni wepesi wa kusahau,au ni akili zetu au ni kutojari. Jana Magufuli katangazia dunia kuwa mle Bungeni watakaorudi ni wale wanaovaa kijani,je kauli hii ilitokana na Nini?je Magufuli ndo anapiga kura kuwachagua wabunge wote nchi nzima? Hapana Ila alichokuwa anasema ni kusisitiza kauli yake ya miaka ya nyuma kuwa hawezi akamteua mkurugenzi,akampa gari,na mshahara Kisha atamtanza mpinzania,Sasa Kati mazingira ya namna hiyo Lissu anawezaje kumchallenge Magufuli? Je Kuna mtu amejiandaa kupigania kura za Lissu?
 
Wanabodi, mimi nilidhani Lissu hatarejea
Kwa mliomsikia Tundu Lissu kwenye Hard Talk, unadhani atarejea nchini? Mimi sina hakika na akirejea, atakuwa ni shujaa kuliko hata Nelson Mandela!

Final Update
Tundu Lissu leo amerejea nyumbani Tanzania, hivyo naomba kuthibitisha humu kuwa Tundu Lissu ni Jasiri na Shujaa Kuliko Nelson Mandela.

Hivyo sasa, kufuatia kurejea huku, ule ushauri wangu nilioutoa kwake kabla hajashambuliwa, sasa utekelezwe.

Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha Uwezo Zaidi ya Magufuli!

Shujaa Kamanda Tundu Lissu, karibu nyumbani.
Mungu ni mwema amekutendea muujiza, hivyo endelea kutimiza ndoto yako, Mungu aliyekuponya ni Mungu mwenye uwezo, anaweza kabisa kulifanya "Jiwe Walilolikataa Waashi, Likafanywa Jiwe Kuu la Pembeni"

I wish him all the best.
Paskali
 
Mkuu KITiMOTo yaani Ccm walikukataa, pamoja na kujipendekeza, huku jf pia tumekupuuza
 

Issue kuu sio kiti cha enzi pale IKULU na ile mihimili mingine bali ni SERA za kutoisogeza TZ kwenye oroza ya jamhuri za kiDIZI na kwa hiyo badala yake kujenga taasisi IMARA za ile kitu inaitwa "oversight organs" as mandated na KATIBA ya wana-nchi INAYOPASWA kuheshimiwa na yeyote yule. Asije akatokea MKOLOMIJE akaweza hata kuzania upo ufa pahala pa kupenyeza UKOLOMIJE ule as in the sheer opportunistic opening of a certified congenital idiot to show off political and subsequent power affluence. Really disgusting
 
Hata agombee nani hakuna anayeweza kushindana na Magufuli, na lengo LA CCM siyo kuchukuwa Urais lengo lake ni kuchukua majimbo yote ya uchaguzi bass.
 
Tena mwaka wakifikisha wabunge 10 itakuwa bahati sana.

Ila vijana wa ufipa wako vizuri kwa kujipa matumaini hewa.
 
M
MY SON

MNAPOKOSEA N SEHEMU.MOJA
NIKUJUZE CCM WAKIPIGA KELELE WATU WAKAJIANDIKISHE NA WAJUMBE WA NYUMBA KUMI KUMI KUHAKIKISHA WATU WANA KADI ZAO AWAKUWA WAJINGWAJINGA
PALE NDIPO MNAPOLIZWA

NIKUJUZE TU WENGI ULIOONA PALE AIRPORT MAPOPOMPO AWAPIGI KURA
WENGI WANA USHABIKI BILA KUJUA KURA ZINAPIGWA LWA WALIO NAKICHINJIO

USIWAZEE LAKINI CHANGAMOTO MNAZOSEMA OCTB MBONA SIMBALI TUWE WAPOLE TUFANYE SIASA ZA STAHA
TUKAMSIMIKE TEBA

DK JPM
NA MB WANGU WA KAWE FURAHA
 
Wewe tunakujua ata. uzi wa betting kule upo kutapeli watu kiufupi your no longer necessity
 

Katiba Katiba Katiba Katiba Katiba
 
Hata agombee Lissu Magufuli hana mpinzani
Nafikiri sauti haitoshi hata wangepiga deki tena. Tuliona gari likisukumwa sembuse kusindikiza. CCM ina wenyewe watu wenye utulivu wa akili hawana mihemko na hivyo wapo kistaratejia siyo mbwembwe za wasio piga kura.

JPM hana mpinzani hata agombee na nani, atashinda mapemaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…