Nyakageni
JF-Expert Member
- Feb 1, 2011
- 15,045
- 5,108
Huwezi andika bila kutukana?Kwani ni uongo CCM kasambaa kuwashinda. Tundu lenu la Choo limenyewa huko mnakuja tushawishi JF.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwezi andika bila kutukana?Kwani ni uongo CCM kasambaa kuwashinda. Tundu lenu la Choo limenyewa huko mnakuja tushawishi JF.
SiweziHuwezi andika bila kutukana?
Mama yenu gani?😅Hayo majamaa wana roho mbaya sana hasa kipindi hiki wamepigwa chini kwenye uongozi wa mama yetu
Mchambuzi uchwaraKatika mahojiano ya Jana VOA
-Anasema Vyama vya upinzani havijaenea kama CCM,kwa hiyo hii inathibitisha ushindi wa kishindo wa CCM kwenye uchaguzi mkuu 2020?
-Mbona hakuzungumza kuhusu credibility ya uchaguzi ule,ambao dunia nzima ilisema una dosari nyingi?
-Je, kuzuia Uhuru wa vyombo vya habari na demokrasia ya vyama vya siasa vya upinzani ikiwemo kufanya mikutano ya hadhara nako ni kuenea kwa CCM?
-Yeye kama mwanasheria,tena akiwa Mkenya,Tukio la Mbunge Lissu na mpinzani mkuu wa hayati Magufuli kupigwa risasi mchana kweupe,bila serikali kuonesha accountability,anaona ni sahihi?
Tunawafahamu vizuri wakenya,tukio hili lingetokea Kenya lingeweza kumtoa hata Rais madarakani.
-Alisema kila sekta ya uchumi Tanzania imekua ndani ya miaka mitano,mfano wa harakaharaka ni ATCL na TPA,haya mashirika yamekua kweli?
-Anasema ameshafika Chato,ila hawezi kuifahamu vizuri kama sisi watanzania.Miradi mingi ndani ya muda mfupi imeelekezwa kule,bila hata ya bajeti,katika mazingira hayo lazima pesa nyingi imepigwa.
-Anasema Agricultural sector imekua!
Kilimo na mifugo kimekua lini?
Bei ya mazao kama Korosho,pamba na mpunga ikoje?
Inafika mahali mtu unalima pamba halafu unakopwa!.
-Cha maana alichosema ni kuhusu Lissu kumsamehe marehemu.
Si busara sana kuendelea kumchukia marehemu magufuli,japo TL aliumizwa sana kuliko yeyote kwenye utawala wa hayati Magufuli. Jiulize risasi zote hizo?matibabu akanyimwa?ubunge kavuliwa?Kwa binadamu wa kawaida si rahisi kusahau na kusamehe haraka,ni kwa neema ya Yesu tu.
Nimejifunza kitu kuhusu PLO Lumumba:
Inawezekana kabisa huyu mzee anatumia taaluma yake na umaarufu kujipatia pesa,kwa marais fulani fulani,ili awaseme vizuri.
Na hata hivyo haifahamu vizuri katiba ya Tanzania (au anafanya makusudi).
Nimejifunza kitu pia kuhusu Tundu Lissu:
Bado ana hasira sana na hayati Magufuli na watesi wengine,na bora chama chake CHADEMA,kiangalie namna ya kumsaidia.
Kwa upande mwingine,huyu mtu ana vyanzo vingi sana vya habari vikiwemo na vya ndani ya serikali.
Alikuwa na details zote wakati wa kuugua mpaka kifo cha rais Magufuli.
Namwomba arudi Tanzania,makosa serikalini hayataisha,aendelee kukosoa na kuishauri serikali huku akiwa nyumbani.
Ni maoni yangu tu. Hayako sahihi kihivyo.
Wewe tupe uhakika je hakupelekwa India?Nimeipenda tu ulivyo malizia.
Ila Lissu analishwa matango na watu afu hafanyii hata home work anaruka hivyo hivyo.
Katoa details za ugonjwa wa Magufuli hadi za uongo. Mara ya mwisho Alisema Hayati anapelekwa India. Hii nayo tukampotezea.
Kamuua hadi mlinzi wa hayati Magufuli.
Kifupi Kazi anayofanya Lissu anatakiwa apumzike then aje mwingine. Ameshachoka.
Hata Kenya kwao hakuna anaye mzungumzia yaani wanamuona kama vile Dr Shika tuMchambuzi uchwara
Kwani Lissu alisema lipi la maana. Sema na yale ya Lissu badala ya kusema aliumizwa saaana! So what? KWani TZ nzima iliiumizwa?Katika mahojiano ya Jana VOA
-Anasema Vyama vya upinzani havijaenea kama CCM,kwa hiyo hii inathibitisha ushindi wa kishindo wa CCM kwenye uchaguzi mkuu 2020?
-Mbona hakuzungumza kuhusu credibility ya uchaguzi ule,ambao dunia nzima ilisema una dosari nyingi?
-Je, kuzuia Uhuru wa vyombo vya habari na demokrasia ya vyama vya siasa vya upinzani ikiwemo kufanya mikutano ya hadhara nako ni kuenea kwa CCM?
-Yeye kama mwanasheria,tena akiwa Mkenya,Tukio la Mbunge Lissu na mpinzani mkuu wa hayati Magufuli kupigwa risasi mchana kweupe,bila serikali kuonesha accountability,anaona ni sahihi?
Tunawafahamu vizuri wakenya,tukio hili lingetokea Kenya lingeweza kumtoa hata Rais madarakani.
-Alisema kila sekta ya uchumi Tanzania imekua ndani ya miaka mitano,mfano wa harakaharaka ni ATCL na TPA,haya mashirika yamekua kweli?
-Anasema ameshafika Chato,ila hawezi kuifahamu vizuri kama sisi watanzania.Miradi mingi ndani ya muda mfupi imeelekezwa kule,bila hata ya bajeti,katika mazingira hayo lazima pesa nyingi imepigwa.
-Anasema Agricultural sector imekua!
Kilimo na mifugo kimekua lini?
Bei ya mazao kama Korosho,pamba na mpunga ikoje?
Inafika mahali mtu unalima pamba halafu unakopwa!.
-Cha maana alichosema ni kuhusu Lissu kumsamehe marehemu.
Si busara sana kuendelea kumchukia marehemu magufuli,japo TL aliumizwa sana kuliko yeyote kwenye utawala wa hayati Magufuli. Jiulize risasi zote hizo?matibabu akanyimwa?ubunge kavuliwa?Kwa binadamu wa kawaida si rahisi kusahau na kusamehe haraka,ni kwa neema ya Yesu tu.
Nimejifunza kitu kuhusu PLO Lumumba:
Inawezekana kabisa huyu mzee anatumia taaluma yake na umaarufu kujipatia pesa,kwa marais fulani fulani,ili awaseme vizuri.
Na hata hivyo haifahamu vizuri katiba ya Tanzania (au anafanya makusudi).
Nimejifunza kitu pia kuhusu Tundu Lissu:
Bado ana hasira sana na hayati Magufuli na watesi wengine,na bora chama chake CHADEMA,kiangalie namna ya kumsaidia.
Kwa upande mwingine,huyu mtu ana vyanzo vingi sana vya habari vikiwemo na vya ndani ya serikali.
Alikuwa na details zote wakati wa kuugua mpaka kifo cha rais Magufuli.
Namwomba arudi Tanzania,makosa serikalini hayataisha,aendelee kukosoa na kuishauri serikali huku akiwa nyumbani.
Ni maoni yangu tu. Hayako sahihi kihivyo.
Mpuuzi Tundu Lissu ndiye wa kupuuzwaKatika mahojiano ya Jana VOA

Miaka hii ndo watajua siasa za mitandaoni zisivyolipa. Hawako Bungeni sasa imekuwa taabu! Rafiki ni yule anayewaonea huruma. Anayewaambia ukweli huyo ni adui.Just because he didn't feed your ego...
Based on title, hivyo maprofesa wa ulaya wapaishwr...Katika mahojiano ya Jana VOA
-Anasema Vyama vya upinzani havijaenea kama CCM,kwa hiyo hii inathibitisha ushindi wa kishindo wa CCM kwenye uchaguzi mkuu 2020?
-Mbona hakuzungumza kuhusu credibility ya uchaguzi ule,ambao dunia nzima ilisema una dosari nyingi?
-Je, kuzuia Uhuru wa vyombo vya habari na demokrasia ya vyama vya siasa vya upinzani ikiwemo kufanya mikutano ya hadhara nako ni kuenea kwa CCM?
-Yeye kama mwanasheria,tena akiwa Mkenya,Tukio la Mbunge Lissu na mpinzani mkuu wa hayati Magufuli kupigwa risasi mchana kweupe,bila serikali kuonesha accountability,anaona ni sahihi?
Tunawafahamu vizuri wakenya,tukio hili lingetokea Kenya lingeweza kumtoa hata Rais madarakani.
-Alisema kila sekta ya uchumi Tanzania imekua ndani ya miaka mitano,mfano wa harakaharaka ni ATCL na TPA,haya mashirika yamekua kweli?
-Anasema ameshafika Chato,ila hawezi kuifahamu vizuri kama sisi watanzania.Miradi mingi ndani ya muda mfupi imeelekezwa kule,bila hata ya bajeti,katika mazingira hayo lazima pesa nyingi imepigwa.
-Anasema Agricultural sector imekua!
Kilimo na mifugo kimekua lini?
Bei ya mazao kama Korosho,pamba na mpunga ikoje?
Inafika mahali mtu unalima pamba halafu unakopwa!.
-Cha maana alichosema ni kuhusu Lissu kumsamehe marehemu.
Si busara sana kuendelea kumchukia marehemu magufuli,japo TL aliumizwa sana kuliko yeyote kwenye utawala wa hayati Magufuli. Jiulize risasi zote hizo?matibabu akanyimwa?ubunge kavuliwa?Kwa binadamu wa kawaida si rahisi kusahau na kusamehe haraka,ni kwa neema ya Yesu tu.
Nimejifunza kitu kuhusu PLO Lumumba:
Inawezekana kabisa huyu mzee anatumia taaluma yake na umaarufu kujipatia pesa,kwa marais fulani fulani,ili awaseme vizuri.
Na hata hivyo haifahamu vizuri katiba ya Tanzania (au anafanya makusudi).
Nimejifunza kitu pia kuhusu Tundu Lissu:
Bado ana hasira sana na hayati Magufuli na watesi wengine,na bora chama chake CHADEMA,kiangalie namna ya kumsaidia.
Kwa upande mwingine,huyu mtu ana vyanzo vingi sana vya habari vikiwemo na vya ndani ya serikali.
Alikuwa na details zote wakati wa kuugua mpaka kifo cha rais Magufuli.
Namwomba arudi Tanzania,makosa serikalini hayataisha,aendelee kukosoa na kuishauri serikali huku akiwa nyumbani.
Ni maoni yangu tu. Hayako sahihi kihivyo.
Ulitaka aseme kitu gani nafsi yako ifurahie?PLO Lumumba ni mpuuzi sana!! Mchumia tumbo.
Maprof wa jalalani Hawa ndomana sitak kurudi chuo kikuu Tena wasinimbukize ujinga🤣Huyu jamaa kasoma lakini kaweka akili zake tumboni last week kaomba eti akamsifie Rais wa Malawi,mtu mzima ovyooo
Wa kusaidiwa wewe!Katika mahojiano ya Jana VOA
-Anasema Vyama vya upinzani havijaenea kama CCM,kwa hiyo hii inathibitisha ushindi wa kishindo wa CCM kwenye uchaguzi mkuu 2020?
-Mbona hakuzungumza kuhusu credibility ya uchaguzi ule,ambao dunia nzima ilisema una dosari nyingi?
-Je, kuzuia Uhuru wa vyombo vya habari na demokrasia ya vyama vya siasa vya upinzani ikiwemo kufanya mikutano ya hadhara nako ni kuenea kwa CCM?
-Yeye kama mwanasheria,tena akiwa Mkenya,Tukio la Mbunge Lissu na mpinzani mkuu wa hayati Magufuli kupigwa risasi mchana kweupe,bila serikali kuonesha accountability,anaona ni sahihi?
Tunawafahamu vizuri wakenya,tukio hili lingetokea Kenya lingeweza kumtoa hata Rais madarakani.
-Alisema kila sekta ya uchumi Tanzania imekua ndani ya miaka mitano,mfano wa harakaharaka ni ATCL na TPA,haya mashirika yamekua kweli?
-Anasema ameshafika Chato,ila hawezi kuifahamu vizuri kama sisi watanzania.Miradi mingi ndani ya muda mfupi imeelekezwa kule,bila hata ya bajeti,katika mazingira hayo lazima pesa nyingi imepigwa.
-Anasema Agricultural sector imekua!
Kilimo na mifugo kimekua lini?
Bei ya mazao kama Korosho,pamba na mpunga ikoje?
Inafika mahali mtu unalima pamba halafu unakopwa!.
-Cha maana alichosema ni kuhusu Lissu kumsamehe marehemu.
Si busara sana kuendelea kumchukia marehemu magufuli,japo TL aliumizwa sana kuliko yeyote kwenye utawala wa hayati Magufuli. Jiulize risasi zote hizo?matibabu akanyimwa?ubunge kavuliwa?Kwa binadamu wa kawaida si rahisi kusahau na kusamehe haraka,ni kwa neema ya Yesu tu.
Nimejifunza kitu kuhusu PLO Lumumba:
Inawezekana kabisa huyu mzee anatumia taaluma yake na umaarufu kujipatia pesa,kwa marais fulani fulani,ili awaseme vizuri.
Na hata hivyo haifahamu vizuri katiba ya Tanzania (au anafanya makusudi).
Nimejifunza kitu pia kuhusu Tundu Lissu:
Bado ana hasira sana na hayati Magufuli na watesi wengine,na bora chama chake CHADEMA,kiangalie namna ya kumsaidia.
Kwa upande mwingine,huyu mtu ana vyanzo vingi sana vya habari vikiwemo na vya ndani ya serikali.
Alikuwa na details zote wakati wa kuugua mpaka kifo cha rais Magufuli.
Namwomba arudi Tanzania,makosa serikalini hayataisha,aendelee kukosoa na kuishauri serikali huku akiwa nyumbani.
Ni maoni yangu tu. Hayako sahihi kihivyo.
Wewe Ni mgonjwa wa makalioTundu Lisu ni mgonjwa wa akili