PLO Lumumba apuuzwe kama maprofesa wengine wa Afrika

Katika mahojiano ya Jana VOA

-Anasema Vyama vya upinzani havijaenea kama CCM,kwa hiyo hii inathibitisha ushindi wa kishindo wa CCM kwenye uchaguzi mkuu 2020?
-Mbona hakuzungumza kuhusu credibility ya uchaguzi ule,ambao dunia nzima ilisema una dosari nyingi?
-Je, kuzuia Uhuru wa vyombo vya habari na demokrasia ya vyama vya siasa vya upinzani ikiwemo kufanya mikutano ya hadhara nako ni kuenea kwa CCM?
-Yeye kama mwanasheria,tena akiwa Mkenya,Tukio la Mbunge Lissu na mpinzani mkuu wa hayati Magufuli kupigwa risasi mchana kweupe,bila serikali kuonesha accountability,anaona ni sahihi?
Tunawafahamu vizuri wakenya,tukio hili lingetokea Kenya lingeweza kumtoa hata Rais madarakani.
-Alisema kila sekta ya uchumi Tanzania imekua ndani ya miaka mitano,mfano wa harakaharaka ni ATCL na TPA,haya mashirika yamekua kweli?
-Anasema ameshafika Chato,ila hawezi kuifahamu vizuri kama sisi watanzania.Miradi mingi ndani ya muda mfupi imeelekezwa kule,bila hata ya bajeti,katika mazingira hayo lazima pesa nyingi imepigwa.
-Anasema Agricultural sector imekua!
Kilimo na mifugo kimekua lini?
Bei ya mazao kama Korosho,pamba na mpunga ikoje?
Inafika mahali mtu unalima pamba halafu unakopwa!.

-Cha maana alichosema ni kuhusu Lissu kumsamehe marehemu.
Si busara sana kuendelea kumchukia marehemu magufuli,japo TL aliumizwa sana kuliko yeyote kwenye utawala wa hayati Magufuli. Jiulize risasi zote hizo?matibabu akanyimwa?ubunge kavuliwa?Kwa binadamu wa kawaida si rahisi kusahau na kusamehe haraka,ni kwa neema ya Yesu tu.

Nimejifunza kitu kuhusu PLO Lumumba:

Inawezekana kabisa huyu mzee anatumia taaluma yake na umaarufu kujipatia pesa,kwa marais fulani fulani,ili awaseme vizuri.
Na hata hivyo haifahamu vizuri katiba ya Tanzania (au anafanya makusudi).

Nimejifunza kitu pia kuhusu Tundu Lissu:

Bado ana hasira sana na hayati Magufuli na watesi wengine,na bora chama chake CHADEMA,kiangalie namna ya kumsaidia.
Kwa upande mwingine,huyu mtu ana vyanzo vingi sana vya habari vikiwemo na vya ndani ya serikali.
Alikuwa na details zote wakati wa kuugua mpaka kifo cha rais Magufuli.

Namwomba arudi Tanzania,makosa serikalini hayataisha,aendelee kukosoa na kuishauri serikali huku akiwa nyumbani.

Ni maoni yangu tu. Hayako sahihi kihivyo.
Weka video ya mjadala kutoka youtube.com.
Ushahidi huo ni muhimu kufungua mijadala yenye tija.
 
Proffessor akusema kitu kinachowafurahisha watu fulani 🤣 Povu linawatoka sana, kuna kipindi inabidi tuelewe kila mtu ana mawazo yake
Yani ukisoma comments humu utacheka sana, alafu nilicho gundua ni kwamba walio wengi wala hawamfuatilii huyu Lumumba na hata hayo mahojiano na VOA hawajasikiliza ila kwasababu tu wametajiwa hapo juu kuwa kaongea negative dhidi ya Lissu basi ndio povu lote hilo unalo liona hapa.

Ukweli ni kwamba hata uwe msomi wa aina gani hapa duniani ila ukiongea tu kinyume na matarajio ya hawa ndugu zetu wa chama fulani lazima wakutukane.
 
Huyu Plo Lumumba anajua kujieleza na kujenga hoja sio Mbelgiji anapaniki haraka akiona amekabwa kwa hoja nzito. wengine alipokuja pale chuo kikuu huyu Profesa mlimshangilia sana na kutamani kuwa yeye hasa kwa jinsi anavyojieleza vizuri na kujenga hoja. lakini leo kaisifia CCM anaonekana sio chochote si lolote.
kama upo upinzani unategemea kuwa nguvu ya CCM ni ndogo unajidanganya sana, fanya utafiti mdogo wa eneo unaloishi kwa kaya kumi tu utagundua kuwa CCM bado inakubalika sana kwa watanzania walio wengi.

Vyama vyetu vya upinzania havina itikadi wala sera zaidi vinajikita kwenye siasa za matukio kimsingi zilikuwepo kipindi cha utawala wa awamu ya nne, lakini tangu awamu ya tano na sasa awamu ya sita ; siasa za matukio hazina maana yoyote, zaidi wananchi wanapotezea kabisa
 
Katika mahojiano ya Jana VOA

-Anasema Vyama vya upinzani havijaenea kama CCM,kwa hiyo hii inathibitisha ushindi wa kishindo wa CCM kwenye uchaguzi mkuu 2020?
-Mbona hakuzungumza kuhusu credibility ya uchaguzi ule,ambao dunia nzima ilisema una dosari nyingi?
-Je, kuzuia Uhuru wa vyombo vya habari na demokrasia ya vyama vya siasa vya upinzani ikiwemo kufanya mikutano ya hadhara nako ni kuenea kwa CCM?
-Yeye kama mwanasheria,tena akiwa Mkenya,Tukio la Mbunge Lissu na mpinzani mkuu wa hayati Magufuli kupigwa risasi mchana kweupe,bila serikali kuonesha accountability,anaona ni sahihi?
Tunawafahamu vizuri wakenya,tukio hili lingetokea Kenya lingeweza kumtoa hata Rais madarakani.
-Alisema kila sekta ya uchumi Tanzania imekua ndani ya miaka mitano,mfano wa harakaharaka ni ATCL na TPA,haya mashirika yamekua kweli?
-Anasema ameshafika Chato,ila hawezi kuifahamu vizuri kama sisi watanzania.Miradi mingi ndani ya muda mfupi imeelekezwa kule,bila hata ya bajeti,katika mazingira hayo lazima pesa nyingi imepigwa.
-Anasema Agricultural sector imekua!
Kilimo na mifugo kimekua lini?
Bei ya mazao kama Korosho,pamba na mpunga ikoje?
Inafika mahali mtu unalima pamba halafu unakopwa!.

-Cha maana alichosema ni kuhusu Lissu kumsamehe marehemu.
Si busara sana kuendelea kumchukia marehemu magufuli,japo TL aliumizwa sana kuliko yeyote kwenye utawala wa hayati Magufuli. Jiulize risasi zote hizo?matibabu akanyimwa?ubunge kavuliwa?Kwa binadamu wa kawaida si rahisi kusahau na kusamehe haraka,ni kwa neema ya Yesu tu.

Nimejifunza kitu kuhusu PLO Lumumba:

Inawezekana kabisa huyu mzee anatumia taaluma yake na umaarufu kujipatia pesa,kwa marais fulani fulani,ili awaseme vizuri.
Na hata hivyo haifahamu vizuri katiba ya Tanzania (au anafanya makusudi).

Nimejifunza kitu pia kuhusu Tundu Lissu:

Bado ana hasira sana na hayati Magufuli na watesi wengine,na bora chama chake CHADEMA,kiangalie namna ya kumsaidia.
Kwa upande mwingine,huyu mtu ana vyanzo vingi sana vya habari vikiwemo na vya ndani ya serikali.
Alikuwa na details zote wakati wa kuugua mpaka kifo cha rais Magufuli.

Namwomba arudi Tanzania,makosa serikalini hayataisha,aendelee kukosoa na kuishauri serikali huku akiwa nyumbani.

Ni maoni yangu tu. Hayako sahihi kihivyo.
hivi huyo prof anajua watu ufuta mwaka jana umeuzwa shillingi ngapi?
 
Profesa kamwaga pumba tupu , amegeuka mpiga zumari siku hizi Ni empty set , kumtetea marehemu Jiwe inabidi ujitoe ufahamu kwa mabaya mengi aliyoyatenda .
Screenshot_20210401-100543.png
 
Katika mahojiano ya Jana VOA

-Anasema Vyama vya upinzani havijaenea kama CCM,kwa hiyo hii inathibitisha ushindi wa kishindo wa CCM kwenye uchaguzi mkuu 2020?
-Mbona hakuzungumza kuhusu credibility ya uchaguzi ule,ambao dunia nzima ilisema una dosari nyingi?
-Je, kuzuia Uhuru wa vyombo vya habari na demokrasia ya vyama vya siasa vya upinzani ikiwemo kufanya mikutano ya hadhara nako ni kuenea kwa CCM?
-Yeye kama mwanasheria,tena akiwa Mkenya,Tukio la Mbunge Lissu na mpinzani mkuu wa hayati Magufuli kupigwa risasi mchana kweupe,bila serikali kuonesha accountability,anaona ni sahihi?
Tunawafahamu vizuri wakenya,tukio hili lingetokea Kenya lingeweza kumtoa hata Rais madarakani.
-Alisema kila sekta ya uchumi Tanzania imekua ndani ya miaka mitano,mfano wa harakaharaka ni ATCL na TPA,haya mashirika yamekua kweli?
-Anasema ameshafika Chato,ila hawezi kuifahamu vizuri kama sisi watanzania.Miradi mingi ndani ya muda mfupi imeelekezwa kule,bila hata ya bajeti,katika mazingira hayo lazima pesa nyingi imepigwa.
-Anasema Agricultural sector imekua!
Kilimo na mifugo kimekua lini?
Bei ya mazao kama Korosho,pamba na mpunga ikoje?
Inafika mahali mtu unalima pamba halafu unakopwa!.

-Cha maana alichosema ni kuhusu Lissu kumsamehe marehemu.
Si busara sana kuendelea kumchukia marehemu magufuli,japo TL aliumizwa sana kuliko yeyote kwenye utawala wa hayati Magufuli. Jiulize risasi zote hizo?matibabu akanyimwa?ubunge kavuliwa?Kwa binadamu wa kawaida si rahisi kusahau na kusamehe haraka,ni kwa neema ya Yesu tu.

Nimejifunza kitu kuhusu PLO Lumumba:

Inawezekana kabisa huyu mzee anatumia taaluma yake na umaarufu kujipatia pesa,kwa marais fulani fulani,ili awaseme vizuri.
Na hata hivyo haifahamu vizuri katiba ya Tanzania (au anafanya makusudi).

Nimejifunza kitu pia kuhusu Tundu Lissu:

Bado ana hasira sana na hayati Magufuli na watesi wengine,na bora chama chake CHADEMA,kiangalie namna ya kumsaidia.
Kwa upande mwingine,huyu mtu ana vyanzo vingi sana vya habari vikiwemo na vya ndani ya serikali.
Alikuwa na details zote wakati wa kuugua mpaka kifo cha rais Magufuli.

Namwomba arudi Tanzania,makosa serikalini hayataisha,aendelee kukosoa na kuishauri serikali huku akiwa nyumbani.

Ni maoni yangu tu. Hayako sahihi kihivyo.
Usikute unaongea haya yote hata diploma huna..umpuuze mtu aliefanikiwa kukushinda mara 1000k
 
Mlitarajia nini? Lumumba ni pan Africanist anayeamini Africa itasimama kwa ajili ya Africa hivyo misimamo ya Magufuli kwa Pan Africanist ni misimamo sahihi mno.

Kumshuti msaliti anayeside na wazungu? Kwake siyo ishu.

Lumumba ameenda pale akiwa ni supporter wa maamuzi na misimamo ya Magufuli ingekua debate ya ajabu kama Lumumba na Lisu wote wangekua wanakubaliana kwa kila kilichotokea.
 
Yani ukisoma comments humu utacheka sana, alafu nilicho gundua ni kwamba walio wengi wala hawamfuatilii huyu Lumumba na hata hayo mahojiano na VOA hawajasikiliza ila kwasababu tu wametajiwa hapo juu kuwa kaongea negative dhidi ya Lissu basi ndio povu lote hilo unalo liona hapa.

Ukweli ni kwamba hata uwe msomi wa aina gani hapa duniani ila ukiongea tu kinyume na matarajio ya hawa ndugu zetu wa chama fulani lazima wakutukane.

It's vice versa...

Vivyo hivyo kwa upande wenu hamtakagi kabisa kuambiwa na kusikia mapungufu yenu...

Enzi za Mwendazake, ukitaka kuiona dunia hii ni chungu na pengine kufa kabisa, sema negative side yake ndipo utakaporaruliwa na UVCCM, na wanaweza kukuua ama kukupoteza jumla jumla...

Nakuambia haya ili usiendelee kushangaa kwa sababu hii ndiyo maana halisi ya siasa. Uongo uongo na unafiki nafiki na ikibidi ubabe kwa kwenda mbele ili mradi unalinda position yako..

Tena ktk eneo hili, CCM na wafuasi wake ni maprofesheño kwa unafiki na ubabe na uongo uongo...
 
lumumba hajawahi kuwa na akili ,kwanza anavuta bangi, ndiomaana wakenya wanatushangaa tunavyomfagilia na viingereza vyake fake, hata wazungu wanaona ni mtu aliyechanganyikiwa, alikuja hapa kumpaka mafuta mwendazake akachukua dola kibaaaao kwa kazi ile , yaani sisi watanzania ni viazi sana
 
It's vice versa...

Vivyo hivyo kwa upande wenu hamtakagi kabisa kuambiwa na kusikia mapungufu yenu...

Enzi za Mwendazake, ukitaka kuiona dunia hii ni chungu na pengine kufa kabisa, sema negative side yake ndipo utakaporaruliwa na UVCCM, na wanaweza kukuua ama kukupoteza jumla jumla...

Nakuambia haya ili usiendelee kushangaa kwa sababu hii ndiyo maana halisi ya siasa. Uongo uongo na unafiki nafiki na ikibidi ubabe kwa kwenda mbele ili mradi unalinda position yako..

Tena ktk eneo hili, CCM na wafuasi wake ni maprofesheño kwa unafiki na ubabe na uongo uongo...
Huyu mwendazake ni nani?
 
Huyo ni mmoja wa wadananda waliokuwa wamemganda magu na wanufaika wa utawala wake

Huyo mngetaka kushuhudia anavyoumbuka angeruhusiwa kuanza yeye halafu lisu aje amalize kwa ku attack hoja zake ndio mngeona namna gani lumumba anakalishwa
PLO Lumumba ni level nyingine na huwezi kumlinganisha na mpuuzi kama Tundu Lissu! Sema CHADEMA imejaa wajinga tu ndo maana mnamshadadia mpuuzi kama Lissu! Hata "CL" ya PLO ,Tundu Lissu hafuati!
 
Katika wanaharakati/wanasiasa useless ni pamoja na huyu mpuuzi Tundu Lissu! Ni mropokaji,mwongo na hana sifa za uongozi!
Eti anadanganya dunia yule askari mweusi mlinzi/msaidizi wa Rais Magufuli alifariki !,
Mjinga kama WANA CHADEMA wenzake waliokuwa wanasambaza upupu kuwa anagombea Ukatibu Mkuu UN!
Tundu Lissu ni kibaraka mpuuzi sana na amethibitisha hana vyanzo vya maana vya taarifa anaokoteza vi- habari kutoka wodini na majalalani tu!
 
Yani ukisoma comments humu utacheka sana, alafu nilicho gundua ni kwamba walio wengi wala hawamfuatilii huyu Lumumba na hata hayo mahojiano na VOA hawajasikiliza ila kwasababu tu wametajiwa hapo juu kuwa kaongea negative dhidi ya Lissu basi ndio povu lote hilo unalo liona hapa.

Ukweli ni kwamba hata uwe msomi wa aina gani hapa duniani ila ukiongea tu kinyume na matarajio ya hawa ndugu zetu wa chama fulani lazima wakutukane.
Uko sahihi. Waliomsikiliza naamini hawafiki 15% lakini wamempinga jamaa(Professor) hadi wamekaukiwa mate na yameisha?
Wanayemtetea ni chronic liar na hadi alimzushia yule kijana mlinzi kifo wakati jamaa yupo anadunda tu. Ni Mzee aliyetuambia tutashtakiwa MIGA kwa kudai gawaio zaidi kwenye madini yetu!
Ukihoji sana utaulizwa...unampinga, wewe umewahi kupigwa risasi 16?..
As if ni qualification fulani!
 
Bora Propessa Lipumba kwambali kuliko huyu Propessa njaa alieibukia Kenya
 
Back
Top Bottom