PLO Lumumba apuuzwe kama maprofesa wengine wa Afrika

PLO Lumumba apuuzwe kama maprofesa wengine wa Afrika

Just because he didn't feed your ego...
He was paid to make propoganda on behalf of the gonner and CCM. How and why he visited chato and mwanza and held a talk with the gonner? He talked like CCM. He didn't answer the questions rather attacked the questios
 
Angeiponda CCM angeonekana ni Shujaa na Mkweli ila kwakuwa ameonyesha Heshima yake kwa CCM na Kuwakosoa Wapinzani na ikizingatiwa alikuwa ni Rafiki na Hayati Rais Dkt. Magufuli ambaye alichukiwa na wengi ( Kundi la Kati na Wasomi wengi ) leo PLO anaonekana Profesa Goigoi ( hovyo )

Wakati kuna wengine hapa katika Familia zetu tokea Uhuru mpaka sasa hatujawahi hata Kubahatisha kuwa na Msomi wa Ngazi ya Uprofesa achulia mbali aliyefika tu hata Kidato cha Nne au Cha Sita. Tumuhukumu PLO kwa Haki na Usawa na siyo kwa Chuki zetu za Kipuuzi.
 
Lisu alijipanga kuchafua nchi .

Yani Mkenya PLO Lumumba amejipanga kuitetea Tanzania lakini mzaliwa wa Singida Tundu Lisu anajipanga kuchafua.

Ni aibu kubwa kwa taifa letu

Lakini amegaragazwa ,asante PLO
 
Yaani mmepanick jamaa yenu kukalishwa kisomi

Eti wamepanick jamaa yao kukalishwa kisomi. Huyo Lumumba hajui lolote kuhusu Tanzania zaidi ya kutegemea taarifa za serikali zilizojaa propaganda. Angetueleza ubora wa Kenya wakati wa Moi, na wema Moi aliomtendea mzee Jaramog Odinga ili tupime usomi wake. Yeye analeta porojo za yasiyomuhusu, wakati Lisu alikuwa muhanga wa utawala wa dhalimu jiwe.
 
Profesa Lumumba huwa namuonaga kama chizi fulani
 
Lisu alijipanga kuchafua nchi .

Yani Mkenya PLO Lumumba amejipanga kuitetea Tanzania lakini mzaliwa wa Singida Tundu Lisu anajipanga kuchafua.

Ni aibu kubwa kwa taifa letu

Lakini amegaragazwa ,asante PLO
Kama wazungu wa US, UK nk walivyokuwa wanaitetea Afrika kusini chini ya rais mzalendo Kaburu Pieter Botha, alipokuwa akiijenga Afrika kusini kwa miundombinu ya hali na mali, huku Mandela akiichafua nchi ya Afrika kusini.
 
Back
Top Bottom