PLO Lumumba apuuzwe kama maprofesa wengine wa Afrika

PLO Lumumba apuuzwe kama maprofesa wengine wa Afrika

Hiyo profesa nasikia inapewa pesa na viongozi wabadhilifu na madikteta kuwatetea, mganga njaa tu, hao ndiyo wengi wa maprofesa wetu,walio na uadilifu ni wachache,kwa hali hiyo wala sitaki mwanangu awe profesa kabisa
 
Huyo ni mmoja wa wadananda waliokuwa wamemganda Magufuli na wanufaika wa utawala wake

Huyo mngetaka kushuhudia anavyoumbuka angeruhusiwa kuanza yeye halafu Lissu aje amalize kwa ku attack hoja zake ndio mngeona namna gani Lumumba anakalishwa
 
CCM jeuri sana hata haiwajibu CHADEMA. CHADEMA wao wanaruka ruka tu kama maharage mara ooh Katiba mara ooh flani atoke kwenye wadhifa flani ateuliwe flani majaa yamekaa kimya tu.

Hatimae Mkenya mmoja tu kakalisha chama chote[emoji23][emoji23][emoji23]. Binafsi sio mwanasiasa ila CHADEMA mjenge chama ila kuchukua dola ya nchi hii bado sana.

Ukiangalia tu kamati kuu ya CCM kuna manguli kweli si mchezo na vichwa hatari ukija huku kwa wapiga kura wamejaa wamama kibao ambao ndio maweishashikwa mashart na CCM kama wanyonge na ndio wapiga kura hawa.

Ninyi kazi kuchukua maboda boda ambao huwa hawapigi kura muda ukifika utasikia tu wameibiwa kura miaka nenda rudi wao ni kuibiwa kura tu. Kifo cha Rais wa awamu ya 5 ni fundisho tosha kwamba jamaa alikuwa anakubalika sio kuja na hoja dhaifu za kuibiwa kura. Halafu siku hizi jamii ya watanzania wanataka uwajibikaji sio tena makele ya uongo uongo kama zamani.
 
Ma Prof wengi njaa zinawasumbua,hutumia taaluma zao kujikomba kwa wenye madaraka kujipatia RIZIKI.
Huyo PLO Chato alipajuaje?Kama siyo kwenda kukinga!
Aende na Unguja kama atapata kitu,Mazaa hana hizo
 
Amekuwa Prof kwa uhodali wa kukakiriri notisi ila hana cha maana anachoongea
 
Maswali yoote hayo ulouliza hapo, Kwa ni mbeligiji hakuyauliza Kwa Prof, Kazi ya mbeligiji ilikuwa ni nini sasa
Mbona hakuzungumza kuhusu credibility ya uchaguzi ule,ambao dunia nzima ilisema una dosari nyingi?
-Je,kuzuia Uhuru wa vyombo vya habari na demokrasia ya vyama vya siasa vya upinzani ikiwemo kufanya mikutano ya hadhara nako ni kuenea kwa CCM?
-Yeye kama mwanasheria,tena akiwa Mkenya,Tukio la Mbunge Lissu na mpinzani mkuu wa hayati Magufuli kupigwa risasi mchana kweupe,bila serikali kuonesha accountability,anaona ni sahihi?
 
Ni mmoja katika wale wasomi uchwara wa Africa.
Africa kumejaa Maprofesa na PHD za ovyo sana
 
Yan huyu ni professor uchwara! Lumumba anasema CCM imeshinda kwa kishindo wakati wiki nzima hapa CCM walizima data mitandao yote wakawa wanaiba kura bila aibu! Halaf waseme wameshinda kwa kishindo! Kama wanaamini wanapendwa kwanini hawaweki tume huru ya uchaguzi kila mtu apige kura tuone?
 
Back
Top Bottom