Hicho alichokisifia kinalandana na maendeleo ya wananchi? Maendeleo ya taifa lolote kiuchumi lazima yalandane na maendeleo ya wananchi.Huyu sio Mtanzania lakini angalau anajua mambo mengi tu ya Tanzania, lakini watanzania tulivyo wabishi hatuwezi kuamini kwa sababu kasifiwa mtu aliyekuwa CCM. Maisha mazuri yatakuja chapa kazi acha malalamiko yako unataka Rais aje akupe mtaji wa biashara?
Muongo sana huyo Lumumba CCM ipo Madarakani kwa Miaka 60 Umasikini Umetamalaki kwa Wananchi wake mpaka imewabatiza Jina WANYONGE bin MASIKINI Tanzania ina kila Aina ya Rasilimali iweje Wananchi wake wawe MasikiniNimemsikiliza huyu Prof nguli wa sheria toka nchini Kenya akizungumzia juu ya uzalendo wa hayati JPM juu ya kuwa kiongozi aliyekuwa kada wa CCM. Na kwa mujibu wa Prof Lumumba anadai CCM ni chama kinamchomuenzi hayati Julius Nyerere ndio maana kinakuwa kinahakikisha kuwa rasilimali za taifa la Tanzania zinatumika kunyanyua na kuendeleza maisha ya Watanzania.
Hivyo Prof Lumumba anadai kuwa sababu hayati JPM alikuwa mwanaCCM ndio maana alimuenzi hayati Nyerere kwa kuhakikisha anatumia rasilimali za taifa letu kuinua maisha ya Watanzania.
Jambo ambalo nimegundua kuwa huyu Prof Lumumba ameongea kwa kuangalia sarafu upande mmoja, huku akiwa haijui vizuri Tanzania. Maana kama anaijua vizuri Tanzania asingeongea pumba kama hizi.
Kwa haya maisha duni wanaoishi Watanzania ndio aseme CCM kwa miaka hiyo yote tangu itawale imeinua maisha ya watanzania masikini? Hata hayati JPM alipokuwa madarakani mbona umasikini umekuwa mkubwa? Mama lishe na wenye maduka wamefunga, ajira zilisimama, wafanyakazi hawajaongezwa mishahara. Huku ndio kuinua maisha ya wananchi? Mbona 80% wanamaisha duni? Au Prof. Lumumba na usomi wake anaona kununua ndege na kujenga Ubungo interchange ndio kuinua maisha ya watu!
wananchi gani mbona huku kwetu tunapiga kazi na ela tunaipata na tumefanya maendeleo mazuri huko kwenu mmenyang'anywa pesa mlizochuma katika shughuli zenu za maendeleo?Hicho alichokisifia kinalandana na maendeleo ya wananchi? Maendeleo ya taifa lolote kiuchumi lazima yalandane na maendeleo ya wananchi.
Unaweza ukawa choko unaejiuza lazima mambo yako yawe mazuriwananchi gani mbona huku kwetu tunapiga kazi na ela tunaipata na tumefanya maendeleo mazuri huko kwenu mmenyang'anywa pesa mlizochuma katika shughuli zenu za maendeleo?
Kwani mnalifahamu vyema,jukumu alilopewa pindi tunamkaribisha nyumbani.Nimemsikiliza huyu Prof nguli wa sheria toka nchini Kenya akizungumzia juu ya uzalendo wa hayati JPM juu ya kuwa kiongozi aliyekuwa kada wa CCM. Na kwa mujibu wa Prof Lumumba anadai CCM ni chama kinamchomuenzi hayati Julius Nyerere ndio maana kinakuwa kinahakikisha kuwa rasilimali za taifa la Tanzania zinatumika kunyanyua na kuendeleza maisha ya Watanzania.
Hivyo Prof Lumumba anadai kuwa sababu hayati JPM alikuwa mwanaCCM ndio maana alimuenzi hayati Nyerere kwa kuhakikisha anatumia rasilimali za taifa letu kuinua maisha ya Watanzania.
Jambo ambalo nimegundua kuwa huyu Prof Lumumba ameongea kwa kuangalia sarafu upande mmoja, huku akiwa haijui vizuri Tanzania. Maana kama anaijua vizuri Tanzania asingeongea pumba kama hizi.
Kwa haya maisha duni wanaoishi Watanzania ndio aseme CCM kwa miaka hiyo yote tangu itawale imeinua maisha ya watanzania masikini? Hata hayati JPM alipokuwa madarakani mbona umasikini umekuwa mkubwa? Mama lishe na wenye maduka wamefunga, ajira zilisimama, wafanyakazi hawajaongezwa mishahara. Huku ndio kuinua maisha ya wananchi? Mbona 80% wanamaisha duni? Au Prof. Lumumba na usomi wake anaona kununua ndege na kujenga Ubungo interchange ndio kuinua maisha ya watu!
Yafaa uache uchokozi .wananchi gani mbona huku kwetu tunapiga kazi na ela tunaipata na tumefanya maendeleo mazuri huko kwenu mmenyang'anywa pesa mlizochuma katika shughuli zenu za maendeleo?
KabisaNaaona PLO Lumumba amechafua kabisa Hali ya hewa baada ya kumpa ukweli yule ndugu yetu mpendwa wa ubeligiji naona watu wameamka na hasira kali sana dhidi yake.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Yaani hata kama usiwe mbwa, lakini ukiwa jamii ya Paka utaendelea kuwatetea jamii yenzako mpaka mwisho.
Sikutegemea hata kidogo mtu aliyetoka Kenya kuja kusoma Dsm aiponde Tz.
Lakini kuthibithisha kuwa anawapaka Mafuta kwa mgongo wa chupa hao CCM, basi wamshauri aombe uraia wa Tz ili aje ayafurahie hayo maisha tuone km atakubali.
Eti wanasema maisha bila unafiki hayaendi, sijui wana maanisha nini!
[emoji16][emoji16][emoji16]alichoongea kinafanana na mdomo wake
Wadendaalichoongea kinafanana na mdomo wake
We Nini unachobisha hapa Magufuli angekaa miaka yake 10 wengi wetu tungekuwa tunakula mlo mmoja tena kwa tabu sana kodi ingekuwa kwenye kila kitu bila kujaliWe jamaa ni bogus sana unataka maisha gani sasa maisha ni haya haya , ko ulitaka miaka mitano tu ya magufuri akufanyiee nini zaidi ya alicho kifanya ina inawezekana ujaelewaa alichoo maanishaa.
Jamaa ametulia anaongea fact na reference, jamaaa ana akili sana, vile ndivyo msomi unatakiwa uwe, tundu anaongea pumba vitu bila reference bila evidence, anaongea hana quotation hata ya mtu mmoja msomi gani huyoo[emoji23][emoji23], anaulizwa can u give evidence to support wat u said magufuri died from covid, anatoa explanation baadala ya evidence, [emoji23][emoji23]uko ubeligiji wame muaribu hadi akili kiasi kwamba lawyer mzuri kama yule anashindwa kutoa rational arguments zilizoshiba.
Afu kakaaa kinafiki nafiki tu , umbea umbea tu cjui anaanza kuleta personal issues za shaka, mara appriciation za kinafiki nafiki kimbea mbeaa[emoji23] be straight and comfidently kama lumumba.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app