PLO Lumumba, kusema CCM ni chama kinachopigania kunyanyua maisha ya Watanzania maskini kwa kutumia vizuri rasilimali za Tanzania, unadanganya dunia

PLO Lumumba, kusema CCM ni chama kinachopigania kunyanyua maisha ya Watanzania maskini kwa kutumia vizuri rasilimali za Tanzania, unadanganya dunia

Huyu sio Mtanzania lakini angalau anajua mambo mengi tu ya Tanzania, lakini watanzania tulivyo wabishi hatuwezi kuamini kwa sababu kasifiwa mtu aliyekuwa CCM. Maisha mazuri yatakuja chapa kazi acha malalamiko yako unataka Rais aje akupe mtaji wa biashara?
Hicho alichokisifia kinalandana na maendeleo ya wananchi? Maendeleo ya taifa lolote kiuchumi lazima yalandane na maendeleo ya wananchi.
 
Nimemsikiliza huyu Prof nguli wa sheria toka nchini Kenya akizungumzia juu ya uzalendo wa hayati JPM juu ya kuwa kiongozi aliyekuwa kada wa CCM. Na kwa mujibu wa Prof Lumumba anadai CCM ni chama kinamchomuenzi hayati Julius Nyerere ndio maana kinakuwa kinahakikisha kuwa rasilimali za taifa la Tanzania zinatumika kunyanyua na kuendeleza maisha ya Watanzania.

Hivyo Prof Lumumba anadai kuwa sababu hayati JPM alikuwa mwanaCCM ndio maana alimuenzi hayati Nyerere kwa kuhakikisha anatumia rasilimali za taifa letu kuinua maisha ya Watanzania.

Jambo ambalo nimegundua kuwa huyu Prof Lumumba ameongea kwa kuangalia sarafu upande mmoja, huku akiwa haijui vizuri Tanzania. Maana kama anaijua vizuri Tanzania asingeongea pumba kama hizi.

Kwa haya maisha duni wanaoishi Watanzania ndio aseme CCM kwa miaka hiyo yote tangu itawale imeinua maisha ya watanzania masikini? Hata hayati JPM alipokuwa madarakani mbona umasikini umekuwa mkubwa? Mama lishe na wenye maduka wamefunga, ajira zilisimama, wafanyakazi hawajaongezwa mishahara. Huku ndio kuinua maisha ya wananchi? Mbona 80% wanamaisha duni? Au Prof. Lumumba na usomi wake anaona kununua ndege na kujenga Ubungo interchange ndio kuinua maisha ya watu!
Muongo sana huyo Lumumba CCM ipo Madarakani kwa Miaka 60 Umasikini Umetamalaki kwa Wananchi wake mpaka imewabatiza Jina WANYONGE bin MASIKINI Tanzania ina kila Aina ya Rasilimali iweje Wananchi wake wawe Masikini
 
Hicho alichokisifia kinalandana na maendeleo ya wananchi? Maendeleo ya taifa lolote kiuchumi lazima yalandane na maendeleo ya wananchi.
wananchi gani mbona huku kwetu tunapiga kazi na ela tunaipata na tumefanya maendeleo mazuri huko kwenu mmenyang'anywa pesa mlizochuma katika shughuli zenu za maendeleo?
 
wananchi gani mbona huku kwetu tunapiga kazi na ela tunaipata na tumefanya maendeleo mazuri huko kwenu mmenyang'anywa pesa mlizochuma katika shughuli zenu za maendeleo?
Unaweza ukawa choko unaejiuza lazima mambo yako yawe mazuri
 
Nimemsikiliza huyu Prof nguli wa sheria toka nchini Kenya akizungumzia juu ya uzalendo wa hayati JPM juu ya kuwa kiongozi aliyekuwa kada wa CCM. Na kwa mujibu wa Prof Lumumba anadai CCM ni chama kinamchomuenzi hayati Julius Nyerere ndio maana kinakuwa kinahakikisha kuwa rasilimali za taifa la Tanzania zinatumika kunyanyua na kuendeleza maisha ya Watanzania.

Hivyo Prof Lumumba anadai kuwa sababu hayati JPM alikuwa mwanaCCM ndio maana alimuenzi hayati Nyerere kwa kuhakikisha anatumia rasilimali za taifa letu kuinua maisha ya Watanzania.

Jambo ambalo nimegundua kuwa huyu Prof Lumumba ameongea kwa kuangalia sarafu upande mmoja, huku akiwa haijui vizuri Tanzania. Maana kama anaijua vizuri Tanzania asingeongea pumba kama hizi.

Kwa haya maisha duni wanaoishi Watanzania ndio aseme CCM kwa miaka hiyo yote tangu itawale imeinua maisha ya watanzania masikini? Hata hayati JPM alipokuwa madarakani mbona umasikini umekuwa mkubwa? Mama lishe na wenye maduka wamefunga, ajira zilisimama, wafanyakazi hawajaongezwa mishahara. Huku ndio kuinua maisha ya wananchi? Mbona 80% wanamaisha duni? Au Prof. Lumumba na usomi wake anaona kununua ndege na kujenga Ubungo interchange ndio kuinua maisha ya watu!
Kwani mnalifahamu vyema,jukumu alilopewa pindi tunamkaribisha nyumbani.
 
Nimesikia mahojiaano yako ukisema kuwa Mkapa aliviponda vyama vya upinzani. JE, UMESOMA KITABU CHAKE? Katika kitabu hicho aliona kuwa TUME YA UCHAGUZI NI JUMUIYA YA CCM na ni kikwazo katika ustawi wa demokrasi. kwani haiwezi n haijawahi kutend haki.

TUNA MAPROFESA MAJALA WENGI!
 
Naaona PLO Lumumba amechafua kabisa Hali ya hewa baada ya kumpa ukweli yule ndugu yetu mpendwa wa ubeligiji naona watu wameamka na hasira kali sana dhidi yake.
 
Hicho kitabu kiko wapi, nisomee hapo pa ... number of children.... alisema ni wangapi
 
PLO Lumumba kwenye mahojiano na Ssali kaonekana yeye ndo mzalendo kuliko mzawa, duh!! Dunia hii!.
 
Yaani hata kama usiwe mbwa, lakini ukiwa jamii ya Paka utaendelea kuwatetea jamii yenzako mpaka mwisho.

Sikutegemea hata kidogo mtu aliyetoka Kenya kuja kusoma Dsm aiponde Tz.

Lakini kuthibithisha kuwa anawapaka Mafuta kwa mgongo wa chupa hao CCM, basi wamshauri aombe uraia wa Tz ili aje ayafurahie hayo maisha tuone km atakubali.

Eti wanasema maisha bila unafiki hayaendi, sijui wana maanisha nini!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Yule mtu yupo articulate sana uwezi kujifananisha na wewe.

Kamnyosha lissu
 
We jamaa ni bogus sana unataka maisha gani sasa maisha ni haya haya , ko ulitaka miaka mitano tu ya magufuri akufanyiee nini zaidi ya alicho kifanya ina inawezekana ujaelewaa alichoo maanishaa.

Jamaa ametulia anaongea fact na reference, jamaaa ana akili sana, vile ndivyo msomi unatakiwa uwe, tundu anaongea pumba vitu bila reference bila evidence, anaongea hana quotation hata ya mtu mmoja msomi gani huyoo[emoji23][emoji23], anaulizwa can u give evidence to support wat u said magufuri died from covid, anatoa explanation baadala ya evidence, [emoji23][emoji23]uko ubeligiji wame muaribu hadi akili kiasi kwamba lawyer mzuri kama yule anashindwa kutoa rational arguments zilizoshiba.

Afu kakaaa kinafiki nafiki tu , umbea umbea tu cjui anaanza kuleta personal issues za shaka, mara appriciation za kinafiki nafiki kimbea mbeaa[emoji23] be straight and comfidently kama lumumba.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
We Nini unachobisha hapa Magufuli angekaa miaka yake 10 wengi wetu tungekuwa tunakula mlo mmoja tena kwa tabu sana kodi ingekuwa kwenye kila kitu bila kujali
ili miradi pesa ya reli, madaraja, bwawa la umeme na mabarabara zipatikane ili dunia itambue kwamba Tanzania ni tajiri na inaweza bila misaada ni ushamba

Hivyo vyote vinawezekana kwa mipango ya kutumia akili lakini siyo kwa namna ya uongozi ule
Cha kushukuru zimebaki ligi tu ila Mungu kabadili upepo naamini sheria nyingi jinga jinga zitaenda kufutwa na mambo yataenda sawa

Nadhani sheria hizo wataenda kutungiwa malaika huko mbinguni
Yote kwa yote furaha na uzuni zote ni hisia na apangiwi mtu
 
Huyo Lumumba anafahamika sana huko kwao kama kinyago cha vichekesho na kiingereza chake cha "bombastic" na sentensi za mizungusho.

Hakuna anayemchukulia kwa umakini huko.

Huku alishamnasa Magufuli, awe wakala wake mkuu wa kumjengea sifa asizostahili.

Bahati yake mbaya, ulaji wake corona kautapisha.
 
Back
Top Bottom