PLO Lumumba: Tundu Lissu ni muongo, nimefika Chato Hayati Magufuli hana utajiri wa kumlinganisha na Mobutu Sese Seko

lini lisu alisema kuwa mjomba anautajiri chato kama wa mobutu? muache uongo mataga
 
PLO Lumumba nae ni mzushi kama wazushi wengine, kufika kwake chato alifika kwa sababu gani? Kama alifika kumtembelea Hayati basi hawezi kuona kile TL anacho zungumzia. Hivi anajua ni kiasi gani cha pesa za walipa kodi kimetumika kuinyanyua (upendeleo maalum) chato ndani ya miaka mitano? Hivi alikutana na yule babu aliyetoa siri kwa rais mama SLH kwamba hayati alitaka chato kuifanya mkoa? Lumumba kama Lumumba kuna faida/hasara gani aliyoipata kutokana na namna ya uongozi wa hayati. Ama Lumumba na yeye ana chuki binafsi kwa Tundu Lissu? Lumumba kama alishindwa kusema maovu yaliyo kuwa yakitendwa na uongozi wa hayati hapo mwanzo basi hata sasa anatakiwa anyamaze.
 
Ni hivi, yule mtangulizi wake alikuwa ibilisi, huyo mama hata amuige hawezi kumfikia. Hivyo matamanio yako ya mtu muovu kufichiwa udhalimu wake, yasahau fullstop.
Nani kakwambia anataka kumuiga kwani Jiwe kamuiga mtu? huyo mama na yeye anakuja na mfumo wake. Sasa kama Jiwe tu umemwita Ibilisi ungekuwa huko Rwanda ungemwita nani Kagame?
 
Yaan!nmemshusha kabxa nlikuw namkubal knoma
 
Kwan kila aliye kinyume na matakwa yako ni CHADEMA?
 
..sera ya kuogopa Kiingereza.

..serikali inalazimika kuwakodi Wakenya kwenda kuitetea ktk vyombo vya habari vya kimataifa.

..jiulizeni kwanini hakuhojiwa Msemaji wa Serikali ya Tz, msemaji wa ccm , etc etc.

cc Nguruvi3, Pascal Mayalla
 
Nlichogundua mshkaj alkuwa anawakubal wazungu ila alkuw na chuk binfsi akashauri wote tuungane nae.
 
[emoji117]Kwanz anaitwa john
[emoji117]Ni mkiristo
[emoji117]Kapata masomo yake kwao
[emoji117]ARV aliwategemea
[emoji117]Ndege kwao
[emoji117]Miradi mikubw wao nk.
Nb:Beberu ni kama maji ya kunywa mskurupuke.
 
Ila maneno yetu yana nguvu au bado hujaona?
 
Lisu always the best

CCM mtakufa na chuki zenu.
 
Haimpi haki ya kusema uongo na kuhada ulimwengu. Issue ya kupigwa risasi ni kweli mafufuli na serekali yake wamemdhulumu haki Lissu na wamemuonea.
Kiukwel nakata majibwa yanayotaja mazuri tu tena ya upande mmoja ivi Lissu angekuwa alvo bila Magu?
 
Mbowe anauelewa mpana sana, alimkataa Lissu kama candidate wa CHADEMA 2020 chaguo lake lilikuwa Lazaro Nyarandu wafia chama hawakumuelewa.
Ndo maana Nyarandu alkuw mgombea urais 2020[emoji16][emoji16]
 
Hapo zote naon ni za Afrika cjaona kigeni apo, afu kweny izo jumuiya zako wamekomalia madarakani sasa huoni kama ni ushuzi?
 
Wazungu hawajawah kuiteka Tz na kupora mali mnawakabidh wenyew.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…