PLO Lumumba: Tundu Lissu ni muongo, nimefika Chato Hayati Magufuli hana utajiri wa kumlinganisha na Mobutu Sese Seko

Mwanasheria mkongwe na mwanaharakati maarufu Afrika kutoka nchini Kenya PLO Lumumba amesema madai ya Tundu Lissu kwamba Hayati Magufuli ni tajiri kama hayati Mobutu Sseseko wa Zaire ni ya uongo na uzandiki uliopindukia.

Lumumba alikuwa anajibu swali la mtangazaji Shaka Ssali wa VOA na kusema amefika Chato na kulikuta ni eneo la kimaskini kabisa kadhalika ameshapita Dar es Salaam na Mwanza hivyo Tundu Lissu hawezi kumdanganya chochote.

Prof Lumumba amesema Tundu Lissu ambaye ni mwanasheria mwenzie apunguze hasira anapomzungumzia Hayati Magufuli vinginevyo atapoteza ushawishi na heshima aliyonayo.

Chanzo: VOA

Kila zama na kitabu chake.

Maendeleo hayana vyama!
lini lisu alisema kuwa mjomba anautajiri chato kama wa mobutu? muache uongo mataga
 
Mwanasheria mkongwe na mwanaharakati maarufu Afrika kutoka nchini Kenya PLO Lumumba amesema madai ya Tundu Lissu kwamba Hayati Magufuli ni tajiri kama hayati Mobutu Sseseko wa Zaire ni ya uongo na uzandiki uliopindukia.

Lumumba alikuwa anajibu swali la mtangazaji Shaka Ssali wa VOA na kusema amefika Chato na kulikuta ni eneo la kimaskini kabisa kadhalika ameshapita Dar es Salaam na Mwanza hivyo Tundu Lissu hawezi kumdanganya chochote.

Prof Lumumba amesema Tundu Lissu ambaye ni mwanasheria mwenzie apunguze hasira anapomzungumzia Hayati Magufuli vinginevyo atapoteza ushawishi na heshima aliyonayo.

Chanzo: VOA

Kila zama na kitabu chake.

Maendeleo hayana vyama!
PLO Lumumba nae ni mzushi kama wazushi wengine, kufika kwake chato alifika kwa sababu gani? Kama alifika kumtembelea Hayati basi hawezi kuona kile TL anacho zungumzia. Hivi anajua ni kiasi gani cha pesa za walipa kodi kimetumika kuinyanyua (upendeleo maalum) chato ndani ya miaka mitano? Hivi alikutana na yule babu aliyetoa siri kwa rais mama SLH kwamba hayati alitaka chato kuifanya mkoa? Lumumba kama Lumumba kuna faida/hasara gani aliyoipata kutokana na namna ya uongozi wa hayati. Ama Lumumba na yeye ana chuki binafsi kwa Tundu Lissu? Lumumba kama alishindwa kusema maovu yaliyo kuwa yakitendwa na uongozi wa hayati hapo mwanzo basi hata sasa anatakiwa anyamaze.
 
Ni hivi, yule mtangulizi wake alikuwa ibilisi, huyo mama hata amuige hawezi kumfikia. Hivyo matamanio yako ya mtu muovu kufichiwa udhalimu wake, yasahau fullstop.
Nani kakwambia anataka kumuiga kwani Jiwe kamuiga mtu? huyo mama na yeye anakuja na mfumo wake. Sasa kama Jiwe tu umemwita Ibilisi ungekuwa huko Rwanda ungemwita nani Kagame?
 
..Prof.Lumumba yuko kwenye payroll ya serikali ili kuitetea ktk vyombo vya habari vya kimataifa.

..jiulizeni nani alifadhili ziara zake ktk miradi ya sgr, stieglers gorge, chato airport, etc?

..Nimemshangaa Prof alivyopuuza kilio kutokana na dhuluma wanazofanyiwa vyama vya upinzani ktk nchi za kusini na mashariki ya Afrika, wakati huohuo akijitambulisha kama Pan-Africanist.
Yaan!nmemshusha kabxa nlikuw namkubal knoma
 
Yaani unaonyesha ni namna gani we ni Nyumbu, jirani yako akieneza Sifa nzuri kuhusu familia yako badala ya kumsifu utaenda kumshambulia kweli?

Tatizo la wanachadema ni ile hali ya kutokubaliana na uhalisia wa Mambo, ukweli kabisa hata roho zenu zinawasuta kuhusu JPM kuwa alikuwa ni kiongozi wa kupigiwa mfano katika kuiletea maendeleo nchi yetu, alichukia rushwa na ufisadi, alitaka uwajibikaji katika kazi, usimamizi thabiti wa rasimali za nchi, misimamo thabiti dhidi ya Sera kandamizi za mabeberu.

Kifo chake kimedhihirisha ni namna gani uongozi wake ulipendwa na wananchi. Kama ulifuatiliwa mitandaoni BBC walianza propaganda zao za kukashfu, lakini waafrika kutoka nchi mbalimbali wali react kwa kuwashambulia BBC wakionyesha ni namna gani kiongozi huyu alikuwa dira kwa viongozi wengine wa Africa katika kuleta maendeleo na kusimamia rasimali za nchi zao kwa manufaa ya watu wao.
Kwan kila aliye kinyume na matakwa yako ni CHADEMA?
 
..sera ya kuogopa Kiingereza.

..serikali inalazimika kuwakodi Wakenya kwenda kuitetea ktk vyombo vya habari vya kimataifa.

..jiulizeni kwanini hakuhojiwa Msemaji wa Serikali ya Tz, msemaji wa ccm , etc etc.

cc Nguruvi3, Pascal Mayalla
 
Yaani unaonyesha ni namna gani we ni Nyumbu, jirani yako akieneza Sifa nzuri kuhusu familia yako badala ya kumsifu utaenda kumshambulia kweli?

Tatizo la wanachadema ni ile hali ya kutokubaliana na uhalisia wa Mambo, ukweli kabisa hata roho zenu zinawasuta kuhusu JPM kuwa alikuwa ni kiongozi wa kupigiwa mfano katika kuiletea maendeleo nchi yetu, alichukia rushwa na ufisadi, alitaka uwajibikaji katika kazi, usimamizi thabiti wa rasimali za nchi, misimamo thabiti dhidi ya Sera kandamizi za mabeberu.

Kifo chake kimedhihirisha ni namna gani uongozi wake ulipendwa na wananchi. Kama ulifuatiliwa mitandaoni BBC walianza propaganda zao za kukashfu, lakini waafrika kutoka nchi mbalimbali wali react kwa kuwashambulia BBC wakionyesha ni namna gani kiongozi huyu alikuwa dira kwa viongozi wengine wa Africa katika kuleta maendeleo na kusimamia rasimali za nchi zao kwa manufaa ya watu wao.
Nlichogundua mshkaj alkuwa anawakubal wazungu ila alkuw na chuk binfsi akashauri wote tuungane nae.
 
Yaani unaonyesha ni namna gani we ni Nyumbu, jirani yako akieneza Sifa nzuri kuhusu familia yako badala ya kumsifu utaenda kumshambulia kweli?

Tatizo la wanachadema ni ile hali ya kutokubaliana na uhalisia wa Mambo, ukweli kabisa hata roho zenu zinawasuta kuhusu JPM kuwa alikuwa ni kiongozi wa kupigiwa mfano katika kuiletea maendeleo nchi yetu, alichukia rushwa na ufisadi, alitaka uwajibikaji katika kazi, usimamizi thabiti wa rasimali za nchi, misimamo thabiti dhidi ya Sera kandamizi za mabeberu.

Kifo chake kimedhihirisha ni namna gani uongozi wake ulipendwa na wananchi. Kama ulifuatiliwa mitandaoni BBC walianza propaganda zao za kukashfu, lakini waafrika kutoka nchi mbalimbali wali react kwa kuwashambulia BBC wakionyesha ni namna gani kiongozi huyu alikuwa dira kwa viongozi wengine wa Africa katika kuleta maendeleo na kusimamia rasimali za nchi zao kwa manufaa ya watu wao.
[emoji117]Kwanz anaitwa john
[emoji117]Ni mkiristo
[emoji117]Kapata masomo yake kwao
[emoji117]ARV aliwategemea
[emoji117]Ndege kwao
[emoji117]Miradi mikubw wao nk.
Nb:Beberu ni kama maji ya kunywa mskurupuke.
 
Sasa unamyima nani raha wakati ccm ndio wanakula raha na nyie mnaishia kupayuka tu kama mijibwa koko la kufanya hamna,juzi mmebweka kuhusu kwamba Rais anatakiwa kuvunja baraza la mawaziri na kuhusu waziri wa fedha ila tizama Mama samia alivyowapuuza.

Halafu et mnajambisha sasa hapo mnamjambisha nani? nyie mna stress hadi leo bado mna hasira na marehemu.
Ila maneno yetu yana nguvu au bado hujaona?
 
Mbowe anauelewa mpana sana, alimkataa Lissu kama candidate wa CHADEMA 2020 chaguo lake lilikuwa Lazaro Nyarandu wafia chama hawakumuelewa.
Ndo maana Nyarandu alkuw mgombea urais 2020[emoji16][emoji16]
 
Shida yenu wafuasi wa Lissu (ambao ni sehemu ndogo ya takribani 60 million Tanzanians) huwa mnataka kulazimisha mtazamo wenu kuwa mtazamo wa Watanzania. You can’t impose your wish on other Tanzanians. Kelele nyingi za minority haziwezi kuwabadili minority kuwa majority!

Mnapenda pia kutoa sweeping statements. Unasema kwamba jumuiya yote za kimataifa zilisema ni uchaguzi wa hovyo. Labda una definition yako mwenyewe ya jumuiya za kimataifa. Tuambie, ni lini SADC, AU, EAC walitoa kauli kama hiyo? Kati ya mabeberu na hizi jumuiya zetu za Africa, ni nani ana maslahi na dhamira ya dhati na taifa la Tanzania?
Hapo zote naon ni za Afrika cjaona kigeni apo, afu kweny izo jumuiya zako wamekomalia madarakani sasa huoni kama ni ushuzi?
 
Chato international Airport
1617373530271.png

Kijumba cha mwendazake
 
Shida yenu wafuasi wa Lissu (ambao ni sehemu ndogo ya takribani 60 million Tanzanians) huwa mnataka kulazimisha mtazamo wenu kuwa mtazamo wa Watanzania. You can’t impose your wish on other Tanzanians. Kelele nyingi za minority haziwezi kuwabadili minority kuwa majority!

Mnapenda pia kutoa sweeping statements. Unasema kwamba jumuiya yote za kimataifa zilisema ni uchaguzi wa hovyo. Labda una definition yako mwenyewe ya jumuiya za kimataifa. Tuambie, ni lini SADC, AU, EAC walitoa kauli kama hiyo? Kati ya mabeberu na hizi jumuiya zetu za Africa, ni nani ana maslahi na dhamira ya dhati na taifa la Tanzania?
Wazungu hawajawah kuiteka Tz na kupora mali mnawakabidh wenyew.
 
Back
Top Bottom