Hili lilinishangaza Sana, wapiga picha hawakutakiwa kupiga picha zaidi ya wageni, gadi ya mazishi na kuweka mashada, sijui kulikuwa kunafichwa kitu gani.Mbona hatukuona majengo ya Mwendazake kama ilivyo nyumbani kwa Mkapa kule Lupaso?
Mzalendo ambaye alikuwa anawapigania Wanyonge wala hatukupata fursa ya kuona mwili ukiingizwa Kaburini!
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Acha uwaki jombaa! Kilimanjaro tuna wilaya zaidi ya 5 lakini uwanja upo mmoja.Uwanja wa ndege kila wilaya upo!
Huyu anaiua Chadema bila kujijua au kwa makusudi kisha akimbilie ACT wazalendo!Apoteze mara ngapi? Hana hata akili ya kujua anamshambulia anatoka kanda yenye nguvu sana kisiasa..ina wapiga kura wengi sana. Hata kama kuna watu walikuwa wanam support huko wamepoteza kiongozi wao yeye ni kumshambulia..Subiri arudi huko tena ndio atajua ushawishi wake umeshuka kiasi gani.
Ukifika kuzimu muulize mwendazake anajua kila kitu kuhusu risasi alizopigwa LissuKwani Lissu alipigwa risasi ngapi za matakoni?
Acha kujipachika uwendawazimu kisa siasa. Be a human. Aione ModeratorKwani Lissu alipigwa risasi ngapi za matakoni?
Kwani Geita kuna viwanja vingapi?Acha uwaki jombaa! Kilimanjaro tuna wilaya zaidi ya 5 lakini uwanja upo mmoja.
Au umekula machicha badala ya kunywa mbege?
Anajua nini? Mbona tume ya kupambana na rushwa huko Kenya ilimshinda?Nimemsikiliza PLO Lumumba, mzee anajua Sana.
wahenga walisema kila mwamba ngoma huvutia kwake na ndicho alichofanya Prof Lumumba huyo ni teja kwa mwendazake hasikii haoni kila hoja ya ubaya wa mwendazake huitwist vizuri na mark up.
Rejelea jibu ulionipaKwani Geita kuna viwanja vingapi?
Kuabudu mtu inakusaidia nini?Apoteze mara ngapi? Hana hata akili ya kujua anamshambulia anatoka kanda yenye nguvu sana kisiasa..ina wapiga kura wengi sana. Hata kama kuna watu walikuwa wanam support huko wamepoteza kiongozi wao yeye ni kumshambulia..Subiri arudi huko tena ndio atajua ushawishi wake umeshuka kiasi gani.
Chato kule hamna kitu , ni chuki Tu za watu , kule cha maana zaid ni hospital
Nimemsikiliza PLO Lumumba, mzee anajua Sana. Nataman Sana serikali ya JMT ingekua na mtu mwenye uwezo wa kuisemea Kama Prof. Kwa ufafanuzi wake, Sasa ni rasmi dunia nzima inajua Lissu ana chuki binafsi na JPM, na ni hakika Magufuli alikuwa Kiongozi mwema, mpenda nchi yake aliyetamani kuona nchi ikipiga hatua kimaendeleo.
#TANZANIA NI YETU SOTE, TUIPENDE NA KUITUMIKIA
Ni kichapo cha nguvu!Tundu lissu kachezea upper-cuts za hoja hahaa!!
Kama English tu inakushinda ndio ulielewa hta alichoongea?LISSU BADO NI MGONJWA,WA MWILI NA 'SAIKOLOJIA'. DON'T LEARN ON HIM...!