maiyanga1
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 1,340
- 1,832
Hili lilinishangaza Sana, wapiga picha hawakutakiwa kupiga picha zaidi ya wageni, gadi ya mazishi na kuweka mashada, sijui kulikuwa kunafichwa kitu gani.Mbona hatukuona majengo ya Mwendazake kama ilivyo nyumbani kwa Mkapa kule Lupaso?
Mzalendo ambaye alikuwa anawapigania Wanyonge wala hatukupata fursa ya kuona mwili ukiingizwa Kaburini!
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app