PLO Lumumba: Tundu Lissu ni muongo, nimefika Chato Hayati Magufuli hana utajiri wa kumlinganisha na Mobutu Sese Seko

PLO Lumumba: Tundu Lissu ni muongo, nimefika Chato Hayati Magufuli hana utajiri wa kumlinganisha na Mobutu Sese Seko

Mbona hatukuona majengo ya Mwendazake kama ilivyo nyumbani kwa Mkapa kule Lupaso?

Mzalendo ambaye alikuwa anawapigania Wanyonge wala hatukupata fursa ya kuona mwili ukiingizwa Kaburini!

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Hili lilinishangaza Sana, wapiga picha hawakutakiwa kupiga picha zaidi ya wageni, gadi ya mazishi na kuweka mashada, sijui kulikuwa kunafichwa kitu gani.
 
Apoteze mara ngapi? Hana hata akili ya kujua anamshambulia anatoka kanda yenye nguvu sana kisiasa..ina wapiga kura wengi sana. Hata kama kuna watu walikuwa wanam support huko wamepoteza kiongozi wao yeye ni kumshambulia..Subiri arudi huko tena ndio atajua ushawishi wake umeshuka kiasi gani.
Huyu anaiua Chadema bila kujijua au kwa makusudi kisha akimbilie ACT wazalendo!
 
Huyo mkenya Yuko obsessed na magufuli kiasi kwamba akiambiwa magufuli ameweka hifadhi ya wanyama, uwanja wa ndege, uwanja wa mpira, taa za barabarani kijijini na kujenga ikulu huko hawezi kuelewa chochote zaidi ya kutupia mijineno ya uongo ya kiingereza Cha wachawi anachobumba. Mpuuzi kabisa. Atuache
 
Nimemsikiliza PLO Lumumba, mzee anajua Sana.
Anajua nini? Mbona tume ya kupambana na rushwa huko Kenya ilimshinda?

Huyu alisimama na Uhuru Kenyatta kupora ushindi wa Odinga na akaangushwa kwenye kesi.

Hata siku moja mgeni hawezi jua mambo ya ndani. Ndio maana Dunia nzima inamuadmire Haille Sellasie ila ukifika Ethiopia wanamuona dikteta tu, hta Kagame anasifiwa dunia nzima ila Rwanda wengi tu wanamuona ni mnyama tu.

So hata siku moja mtu wa mbali huwezi jua kila kitu cha ndani, ataangalia tu mambo ya juu juu tu.
 
Apoteze mara ngapi? Hana hata akili ya kujua anamshambulia anatoka kanda yenye nguvu sana kisiasa..ina wapiga kura wengi sana. Hata kama kuna watu walikuwa wanam support huko wamepoteza kiongozi wao yeye ni kumshambulia..Subiri arudi huko tena ndio atajua ushawishi wake umeshuka kiasi gani.
Kuabudu mtu inakusaidia nini?
 
Nimemsikiliza PLO Lumumba, mzee anajua Sana. Nataman Sana serikali ya JMT ingekua na mtu mwenye uwezo wa kuisemea Kama Prof. Kwa ufafanuzi wake, Sasa ni rasmi dunia nzima inajua Lissu ana chuki binafsi na JPM, na ni hakika Magufuli alikuwa Kiongozi mwema, mpenda nchi yake aliyetamani kuona nchi ikipiga hatua kimaendeleo.
#TANZANIA NI YETU SOTE, TUIPENDE NA KUITUMIKIA

Kama dunia nzima unavyojua kuwa jiwe alikuwa dhalimu. Kama ni majengo, basi hata dunia ilijua kuwa Kaburu Pieter Botha alikuwa mwema akiipenda nchi yake ya Afrika kusini, isipokuwa akina Mandela ndio walikuwa wanamchafua.
 
Mtoa mada umbea utakusadia nini Mara baada ya Maisha yako hapa ulimwenguni?
 
Back
Top Bottom