PLO Lumumba: Tundu Lissu ni muongo, nimefika Chato Hayati Magufuli hana utajiri wa kumlinganisha na Mobutu Sese Seko

Sisi hatuangalii weupe wake bali ukweli aliouongea!
 
Hata kama lakini Lisu kazidi aisee!

Mwanaume gani unakuwa na hasira na gubu kiasi kile?
 
Wewe utakuwa ni mnyarwanda yaani hujui kabisa kuwa jpm tayari ashatangulia mbele ya haki?

Upuuzi gani huu unafanya?
 
Kama ushawishi wa jiwe ulivyokuwa umeshuka mpaka ikabidi anajisi uchaguzi. Lisu sema ukweli baba watanzania tuko nyuma yako.
Hahahha.. Mko nyuma yake? Si mngemsaidia kuandamana ili aingie ikulu, maana ilibidi aondoke kinyonge huku akisema hakutegemea kama mtamwangusha vile
 
Kwa wenye akili FINYU tu kama wewe Bwashee. Huyo mpuuzi alidhani kufika chato ndiyo atathibitisha utajiri au umaskini wa dikteta!? Mpuuzi kweli huyo Lumumba. Hajui chochote kuhusu kampuni yake ya Mayanga ambayo jiwe kaipa miradi mingi sana ya Serikali kinyemela tangu awamu ya tatu, hajui chochote kuhusu bank accounts zake ndani ya nchi na si ajabu nje ya nchi, hajui lolote kuhusu hotel yake kule chato inayodaiwa ni 4 Star hotel ambayo sasa itakuwa gofu tu kwani hakuna tena wageni wa kulipiwa na Serikali kwenye hiyo hotel ambao jiwe alikuwa akilazimisha kiaina waende chato ili hotel yake ipate wateja.
Prof Lumumba kammaliza kabisa wakili msomi Tundu Lisu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…