Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Subiri mje kuona Chato Gbadolite soon.Very pathetic
Shamba la Miti nalo ni la kuonea WIVU ?
Airport imejengwa Kwenye ikulu ndogo ya mkoa
Hakuna la ajabu lililofanywa Chato ila tu ni kelele za kina makamba Twitter
Sisi hatuangalii weupe wake bali ukweli aliouongea!PLO ni mweupe Labda kwa nyie msiofuatilia masuala ya nje ya TZ.
Alipewa kuongoza Kitengo cha PCCB ya Kenya akaharibu vibaya CV yake ikaishia hapo ndio maana hawezi kugombea hata u MCA huko kwake.
Anawachanganya mazuzu na vocabulary za kumeza lakini utendaji F
Swali zuri sanaSasa sisi tuitikiaje humu???
Hata kama lakini Lisu kazidi aisee!Anajua nini? Mbona tume ya kupambana na rushwa huko Kenya ilimshinda?
Huyu alisimama na Uhuru Kenyatta kupora ushindi wa Odinga na akaangushwa kwenye kesi.
Hata siku moja mgeni hawezi jua mambo ya ndani. Ndio maana Dunia nzima inamuadmire Haille Sellasie ila ukifika Ethiopia wanamuona dikteta tu, hta Kagame anasifiwa dunia nzima ila Rwanda wengi tu wanamuona ni mnyama tu.
So hata siku moja mtu wa mbali huwezi jua kila kitu cha ndani, ataangalia tu mambo ya juu juu tu.
Chato international AirportChato kule hamna kitu , ni chuki Tu za watu , kule cha maana zaid ni hospital
Punguzeni chuki inawaumiza nyie wenyewe,mnaemchukia hayupo tena.Yeye huyo Pro Lumumba anaishi Tz? Amewahi kupigwa Risasi ngapi?
Wewe utakuwa ni mnyarwanda yaani hujui kabisa kuwa jpm tayari ashatangulia mbele ya haki?Nimemsikiliza PLO Lumumba, mzee anajua Sana. Nataman Sana serikali ya JMT ingekua na mtu mwenye uwezo wa kuisemea Kama Prof. Kwa ufafanuzi wake, Sasa ni rasmi dunia nzima inajua Lissu ana chuki binafsi na JPM, na ni hakika Magufuli alikuwa Kiongozi mwema, mpenda nchi yake aliyetamani kuona nchi ikipiga hatua kimaendeleo.
#TANZANIA NI YETU SOTE, TUIPENDE NA KUITUMIKIA
Kila kitu ndio nini bwashee?Nazungumzia Upendeleo wa kupeleka kila kitu chato.
Hahahha.. Mko nyuma yake? Si mngemsaidia kuandamana ili aingie ikulu, maana ilibidi aondoke kinyonge huku akisema hakutegemea kama mtamwangusha vileKama ushawishi wa jiwe ulivyokuwa umeshuka mpaka ikabidi anajisi uchaguzi. Lisu sema ukweli baba watanzania tuko nyuma yako.
Huyo ni zaidi ya zumbukuku tu hana lolote alijuwaloShaka Ssali na siyo Shaka Zullu na Tundu Lissu na siyo Tindu Lissu.
Prof Lumumba kammaliza kabisa wakili msomi Tundu Lisu!
Hayo ndiyo maajabu sasaYeye huyo Pro Lumumba anaishi Tz? Amewahi kupigwa Risasi ngapi?
Hana akili sawa na weweProf Lumumba anamuita Tindu Lisi!
Swali zuri sanaUwanja wa ndege walirudi nao waombolezaji baada ya msiba?
Subiri mje kuona Chato Gbadolite soon.
Maneno huumba mtu hivyo nawe unaonekana ni wale waliopigwa marufuku kuishi hapa dar na DABKwani Lissu alipigwa risasi ngapi za matakoni?