PLO Lumumba: Tundu Lissu ni muongo, nimefika Chato Hayati Magufuli hana utajiri wa kumlinganisha na Mobutu Sese Seko

PLO Lumumba: Tundu Lissu ni muongo, nimefika Chato Hayati Magufuli hana utajiri wa kumlinganisha na Mobutu Sese Seko

PLO ni mweupe Labda kwa nyie msiofuatilia masuala ya nje ya TZ.
Alipewa kuongoza Kitengo cha PCCB ya Kenya akaharibu vibaya CV yake ikaishia hapo ndio maana hawezi kugombea hata u MCA huko kwake.
Anawachanganya mazuzu na vocabulary za kumeza lakini utendaji F
Sisi hatuangalii weupe wake bali ukweli aliouongea!
 
Anajua nini? Mbona tume ya kupambana na rushwa huko Kenya ilimshinda?

Huyu alisimama na Uhuru Kenyatta kupora ushindi wa Odinga na akaangushwa kwenye kesi.

Hata siku moja mgeni hawezi jua mambo ya ndani. Ndio maana Dunia nzima inamuadmire Haille Sellasie ila ukifika Ethiopia wanamuona dikteta tu, hta Kagame anasifiwa dunia nzima ila Rwanda wengi tu wanamuona ni mnyama tu.

So hata siku moja mtu wa mbali huwezi jua kila kitu cha ndani, ataangalia tu mambo ya juu juu tu.
Hata kama lakini Lisu kazidi aisee!

Mwanaume gani unakuwa na hasira na gubu kiasi kile?
 
Nimemsikiliza PLO Lumumba, mzee anajua Sana. Nataman Sana serikali ya JMT ingekua na mtu mwenye uwezo wa kuisemea Kama Prof. Kwa ufafanuzi wake, Sasa ni rasmi dunia nzima inajua Lissu ana chuki binafsi na JPM, na ni hakika Magufuli alikuwa Kiongozi mwema, mpenda nchi yake aliyetamani kuona nchi ikipiga hatua kimaendeleo.
#TANZANIA NI YETU SOTE, TUIPENDE NA KUITUMIKIA
Wewe utakuwa ni mnyarwanda yaani hujui kabisa kuwa jpm tayari ashatangulia mbele ya haki?

Upuuzi gani huu unafanya?
 
Kama ushawishi wa jiwe ulivyokuwa umeshuka mpaka ikabidi anajisi uchaguzi. Lisu sema ukweli baba watanzania tuko nyuma yako.
Hahahha.. Mko nyuma yake? Si mngemsaidia kuandamana ili aingie ikulu, maana ilibidi aondoke kinyonge huku akisema hakutegemea kama mtamwangusha vile
 
Kwa wenye akili FINYU tu kama wewe Bwashee. Huyo mpuuzi alidhani kufika chato ndiyo atathibitisha utajiri au umaskini wa dikteta!? Mpuuzi kweli huyo Lumumba. Hajui chochote kuhusu kampuni yake ya Mayanga ambayo jiwe kaipa miradi mingi sana ya Serikali kinyemela tangu awamu ya tatu, hajui chochote kuhusu bank accounts zake ndani ya nchi na si ajabu nje ya nchi, hajui lolote kuhusu hotel yake kule chato inayodaiwa ni 4 Star hotel ambayo sasa itakuwa gofu tu kwani hakuna tena wageni wa kulipiwa na Serikali kwenye hiyo hotel ambao jiwe alikuwa akilazimisha kiaina waende chato ili hotel yake ipate wateja.
Prof Lumumba kammaliza kabisa wakili msomi Tundu Lisu!
 
Back
Top Bottom