PM Kassim Majaliwa piga kazi, achana na ndoto za Urais, umemponza SG Dk. Bashiru Ally

Kwani kwenye ile age category wanaomzidi jiwe kiumri PM hayumo, basi kama yumo aungane tu na kabudi na lukuvi kuugulia maumivu. Safari hii kigezo cha kuwa rais ni usimzidi jiwe umri hata kwa siku moja, sawa sawa?
 
Watu wanafikiri urais ni kuvaa suti, hadi jafo ana akili ya kuwa rais!?
 
Kuteuliwa kwa Polepole kuwa mbunge kumekuja na propaganda nyingi;

1. Hii ya mleta mada.

2. Kwamba Rais anapanga safu yake ili ajiongezee muda wa kubakia madarakani.

Sasa sijui tushike lipi
 
Huenda na wewe ni miongoni mwa watu wanaosaka Urais!
Mkuu Huyo bado anaota mitandao ya 2015 Uraisi haupatikani kupitia mitandao tena maafisa kipenyo wako kila wilaya kila mkoa ndani ya chama ndani ya serikali na taasisi ndani ya bunge na ndani ya mahakama na ndani ya vyama vya bikini vya upinzani na NGOs Wanahabari na Business Community nk mtu akijiifanya kuunda mtandao uwe wa wazi au siri imekula kwake
 
Wacha harakati zianze.. Kwenye korido za Lumumba wanasema, 'mitano sio mingi'...
 
Porojo
 
Kuna tatizo kubwa sana Tanzania kwa watu tunaoona wanafaa kuwa raisi!!
Tunaona mtu ambaye ni mkipya, sio mwongeaji, hatujui msimamo wake na hajawai kudhihirisha uwezo wake kwetu. Tunaona ndio anafaa kuwa raisi.
Ukiwa mwongeaji na mara kwa mara unaonyesha mtazamo wako na uwezo. Watu wanakuchukia na wanaona haufai kuwa raisi!
Hii tabia itatufanya kutawaliwa na watu wasio na uwezo!
Sijaona uchapaji wa kazi wa Majaliwa kama umebadilika. Ni vizuri kama mtu anataka kugombea hatuonyeshe mapema ili tuweze kumchambua vizuri.
 
Naona mnamu underate Daudi Bashite. Huyu mtachomekewa tu awe Rais wenu kama mlivyochomekewa Wabunge akina Gwajima au Silinde bila kuwapigia kura. Magufuli amewakamata Watanzania na hashindwi kumuachia Zero Brain awe Rais wenu
 
Dr Hussein Ally Mwinyi

atatuvusha

eniwei, muda wa kazi huu, uchaguzi ushaisha
 
Hivi unadhani kina Gwajima wameenda bungeni kimakosa?? Subiri mchakato wakumsaka Rais uanze,ndiyo utajua
Wewe jamaa una madini kichwani. Naitunza hii comment yako mpk mchakato utakapoanza.
 
Eti Jaffo awe rais. Na inavyoonesha kajamaa kanahisi kweli katakuwa rais. Mtu mwenyewe full mihemko na kutafuta visifa kwa Magufuli. Akili za Jafo ni kama za Bernard Morrison tu: kukanyaga mpira ili ushangiliwe na uwanja.
 
Ccm asilia vs Ccm Mpya.

Na kwa hasira na chuki zilizopo kwa ccm mpya sidhani kaa 2022 itatoka salama maana miaka kumi hii asilia wana hali ngumu sana na kimya chao kina mshindo siku wakiibuka
Ni UPUUZI MKUBWA KUJADILI RAIS 2025 .

HAPATAKUWA NA UCHAGUZI,ALIYOPO ATAENDELEA HATOKI,KAMA ILIVYO RWANDA NA UGANDA AMBAKO NDO "JAMAA"ALIPATA NOTES..MADESA🤣🤣🤣🤣🤣👊👊👊👊 MITANO TENAAA🤣🤣🤣🤣😁😁😁
 
Hakuna dhambi mbaya kama uchonganishi we it it streets hearsay tabia ya kuchonganisha viongozi kwa kweli siyo tabia nzuri kabisa waziri mkuu wetu piga kazi kwa jinsi inavyostahili na kila mtu awajibike katika nafasi yake
 
Jiwe has lowered the bar of the presidency to such a low such that even fools believe they can be presidents.

Once upon time, a Ha peasant from Kigoma aspired and submitted his request to be appointed as a contestant for presidency representing Chama Cha Mapinduzi.

Was Magufuli the Head of state by then? Was the presidency Bar lowered as well?
 
Kamb Kambi za kijinga zishaanza kuchafuana, huyu kama si mwigu ni jan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…