Nimependa grammar yako aisee! Such...that ahahaha wakola waituNi mtu kama Nape Mnauye tu ndio anaweza kuanza kuandika fitina kama hizi kwani alikatazwa kuzunguka zunguka kufanya kampeni kwenye sehemu nyingine tofauti na constituency yake!!! I am told he also has presidential ambitions!.
Jiwe has lowered the bar of the presidency to such a low such that even fools believe they can be presidents.
Kwa magu kisichowezekana kinawezekanaUzoefu katika historia, ni vigumu sana kwa mtu aliyekuwa Waziri Mkuu kuupata Urais.
Fuatilia:
Sokoine
Salim Ahmed Salim
Cleopa Msuya
Warioba
Malecela
Sumaye
Lowassa
Pinda
Hao Mawaziri Wakuu si kwamba hawakujaribu bahati zao kuupata Urais , la hasha!
Mkuu wa utendaji serikalini huwa amebeba lawama nyingi sana za kiutendaji, hivyo kubeba liabilities kisiasa na maadui.
Atamwibua mtu wa ajabu na kusema urais hausomewi,Magufuli na Wahaya haziendi kabisa! Naomba ulitambue hili,pili Rais ajae unaweza kuta ni mtu ambaye kila mtu hata hamudhanii! Si unaona jiwe alivyopita?? Nani alijua kwamba Jiwe atakua Rais??
SanaAtamwibua mtu wa ajabu na kusema urais hausomewi,
Once upon time, a Ha peasant from Kigoma aspired and submitted his request to be appointed as a contestant for presidency representing Chama Cha Mapinduzi.
Was Magufuli the Head of state by then? Was the presidency Bar lowered as well?
Did the peasant from Kigoma ascend to the Presidency?
Ataaibika vibaya sana, hawajui wajumbe, kwa yeye anadhani wanavyomheshimu sasa itakuwa hivyo kwenye chaguzi ya 2025 ndani ya chama. Wajumbe huwa hawaweki matumaini yao kwa anayeondoka, huwa wanaweka kwa MTU mpya anayekuja kwa sababu ya ahadi ya vyeo,mtu anayeondoka atakuahidi nini ukamwelewaMarais wote waliomtangulia walikuwa na akili na wabobezi wa siasa kuliko Jiwe lakini walishindwa kuwachagulia wabongo warithi wao!!! Mkwere alimtaka Membe , sasa yuko wapi? Hata Mwalimu alishndwa kumuachia Salim!!! Kama ana akili kidogo ataelewa kuwa kama ana mpango wa kumuachia msukuma mwenzie afadhali auache.
Udaku tu huu.. hujapewa kazi au ndio ufisadi umebanwa.. na unamuogopa Jembe wa pili nchini..!!!Kwa nini mkuu? Kwani Uhuru wa kutoa maoni haupo JF
Majaliwa akiwa Rais,ni afya kwa uchumi na hali za watanzania tofauti na ilivyo sasa.Ni suala la muda tu, tutaweka hadharani vikao vyote vya mikakati hiyo kama ushahidi.
Crap!My Take! Kutamani Urais si dhambi. Lakini tamaa hiyo inapokuondoa katika utendaji kazi basi ni kheri kujiuzulu ili kuwa huru kusaka Urais. Lakini pia ikumbukwe Waziri Mkuu naye ni Mkulu kiprotokali. Anaishi Ikulu.
Kweli aise, ebu fikiria hadi chadema wakataka eti Tundu na poyoyo wake Salum Mwalimu wawe rais na makamu wa rais.Ni mtu kama Nape Mnauye tu ndio anaweza kuanza kuandika fitina kama hizi kwani alikatazwa kuzunguka zunguka kufanya kampeni kwenye sehemu nyingine tofauti na constituency yake!!! I am told he also has presidential ambitions!.
Jiwe has lowered the bar of the presidency to such a low such that even fools believe they can be presidents.
pascal Mayalla alijua na kuleta uzi humu mwaka 2014Magufuli na Wahaya haziendi kabisa! Naomba ulitambue hili,pili Rais ajae unaweza kuta ni mtu ambaye kila mtu hata hamudhanii! Si unaona jiwe alivyopita?? Nani alijua kwamba Jiwe atakua Rais??
[emoji706][emoji706]Magufuli bado tunamhitaji sana nataman aendelee ila kama ni ngumu atuletee mtu kama yeye