PM Majaliwa: Bwawa la umeme kukamilika Juni 2022

PM Majaliwa: Bwawa la umeme kukamilika Juni 2022

Hilo nalo no tatizo ikuzingatia kila kitu kimebadiloka mpaka technology,Mabadiliko ya tabia nchi nk.
Miaka ya 70 hali ya hewa ya nchi sidhani kama ni sawa na sasa technology imebadlka sana umeme wenyewe wa kutegemea maji ya msimu ila ngoja tuone mwisho wakeee
 
Kibaka ni waziri mkuu wa Taifa la Majuha ambae alidanganya uma kuwa rais yupo buheri wa afya na anachapa kazi wakati alikuwa hoi bin taabani kwa gonjwa la Corona!😁😁😬
Ndio keshaongea uamini usiamini hiyo ni juu yako
 
Waziri mkuu wa Tanzania Bwana Majaliwa leo ametembelea mradi wa ujenzi wa bwawa la umeme la Mwalimu Nyerere na kuangalia maendeleo ya ujenzi.

Majaliwa ameridhika na kasi ya ujenzi wa mradi huo na amesisitiza utakamilika kwa wakati mwaka 2022 mwezi wa 6 kama majubaliano yalivyo.

PM amesema mradi utakamilika kama ilivyopangwa kwani pesa zipo hakuna sababu ya kuchelewesha mradi.

PM amasema mradi huo utatoa faida kubwa kwa uchumi wa nchi yetu kwani mradi utaleta umeme wa bei nafuu sana kwa watanzania.

Kwa wasiojua.
Kuzalisha Unit moja ya umeme wa maji hua ni TZS 36, Nuclear TZS 66, Jua TZS 105, Joto Ardhi TZS 114.5, Gas 150 na Mafuta mazito 460.

Kwa kuangalia hizo unit price unaona wazi kabisa kua hakuna source yoyote ya nishati yenye gharama ndogo kama maji.

Unaanzaje kumwamini huyo mtu aliyedanganya kuhusu afya ya Magufuli msikitini akiswali!
 
Lakini kitu si kina simama ww vp
Hatukatai kama kitu kinasimama ila miaka mingi imekatika kila kitu kimebadilika wangefanya uchambuz upya hali ya hewa imebadilika cdhan kama kuna mvua za kutosha kama miaka hyooo
 
Sisi wa hanga wa mgao wa umeme wa kipind kile tukisia haya maneno ya PM twa farijika sana. Pengine hapatatokea tena kakika nchi hii wahanga wa mgao wa umeme.

Lakini kwa nini haikuoneshwa bei ya umeme wa gas? Mnataka kumpa huyu Prof upper hand ya kuongea ugoro wake tena Bungeni?

Je huu mradi unaenda sambamba na ujenzi wa njia za kuufikisha kwa walaji au zinasubiri miaka mingine ya mbele?

PM na wengine mnaowindwa na genge la mijizi na mafisadi wanao jipendekeza kwa bidii na maariafa. Msikose kuwa na planB likitokea la kutokea muwe tayari kwa hali zote kuitekeleza. La muhimu muwe pamoja na mshirikiane ie team work.
 
Shida sio kuisha lini, Tatizo kutumia feasibility study ya miaka 70[emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi unafikiri transformer, Generators na control system zote zitafungwa za mwaka 70 kwa akili yako!!?..😀😀Labda CAG yeye mwenyewe au team yake hawako compitent juu ya feasibility study ya mradi wowote wa umeme, wanaposema imetumika feasibility ya miaka ya 70 sijui wameisoma vyema hiyo feasibility ilichokuwa inakihitaji kitimie na ingetumika kwa miaka mingapi kutoka wakati huo na je! Hizo MW2100 zitakazozalishwa na mradi huo hazitaleta ongezeko chanya la umeme kwenye mfumo wetu wa sasa wa umeme!?.
 
Waziri mkuu wa Tanzania Bwana Majaliwa leo ametembelea mradi wa ujenzi wa bwawa la umeme la Mwalimu Nyerere na kuangalia maendeleo ya ujenzi.

Majaliwa ameridhika na kasi ya ujenzi wa mradi huo na amesisitiza utakamilika kwa wakati mwaka 2022 mwezi wa 6 kama majubaliano yalivyo.

PM amesema mradi utakamilika kama ilivyopangwa kwani pesa zipo hakuna sababu ya kuchelewesha mradi.

PM amasema mradi huo utatoa faida kubwa kwa uchumi wa nchi yetu kwani mradi utaleta umeme wa bei nafuu sana kwa watanzania.

Kwa wasiojua.
Kuzalisha Unit moja ya umeme wa maji hua ni TZS 36, Nuclear TZS 66, Jua TZS 105, Joto Ardhi TZS 114.5, Gas 150 na Mafuta mazito 460.

Kwa kuangalia hizo unit price unaona wazi kabisa kua hakuna source yoyote ya nishati yenye gharama ndogo kama maji.
Umeme wa maji ni nafuu sana kuliko vyanzo vingine vyote lakini Je ni wa uhakika? Pale tutakapoukosa gharama za kuukosa zitakuwa kiasi gani?

Suluhisho, tungeangalia vyanzo vyote ambavyo tunaweza kuvipata ili isitokee siku tukakosa umeme kwa sababu tu maji hakuna.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Mpaka sasa ujenzi wa bwawa umetazamwa na watu bilioni 39 duniani koteeeee
Heshima ya mama Samia amalize miradi hiyo miwili SGR na STIEGLER GORGE. Kinyume cha hapo atazua hasira za utanganyika kama mzee Mwinyi vs Malecela kusapoti ssrikali tatu. Mama Samia ajue ameshika check kike kwa mapenzi ya Mungu lakini kwa mechanism ya ccm hakuna mzanzibar angetawala Tanzania tote. Akitawala vyema ana nafasi ya kutuondolea umajimbo wa watanzania bars. Lakini akicheza kete vibaya na muungano utavunjika mikonkni masks. Maswala yanayoleta uchumvu ni kuwapa wawekezaji madini yetu kwa mikataba mibovu. Kuchimba gas yetu kwa mikataba ya ovyo. Watanzania bara hawatavumila rais mzanzbari acheze madini na mali za serikali kama mzee Mkapaalivyobinafsizha mashirika yetu. Hata harmonization ya ushuru wa bara na visiwani aende kea tahadhari asionekane kutuuza kea wavisiwani kwakd. Namalizia , mama Samia ni chaguo la Mungu ,anatarajiwa atende kila jambo kwa mapenzi ya Mungu. Akifanya hivyo atatuunganizha ,sasa tanganyika ilivubikaa na ukabila na ujimbo yuko nafasi nzuri ya kutuunganisha.
 
Achana na waganga njaa kina mhongo, wale ni madalali wa makampuni ya mitambo ya gas kama kina General Electric ya Marekani ambao aliwapigania hadi kupata tenda ya kujenga ama kuleta engine zao pale Kinyerezi

Sasa naona wanamlipa mhongo awapigie debe kwani ujio wa umeme wa maji utawaondolea network yao ya ulaji wa services and maintenance pale Kinyerezi ambapo wanakula 30 Billioni kwa mwaka kwa matengenezo. Hapo ni Kinyerezi tu.
Watu kama Mhongo wanaiaibisha sana heshima ya kisomo chao.

Hawa ndio waliosomeshwa kwa gharama kubwa na taifa hili. Wakapata elimu nzuri ya kuelewa mambo yenye manufaa kwa taifa lako, halafu unageuka na kuyasaliti yote hayo!

Watu kama Ndugai wasiojua kitu unaweza ukawasamehe kwa ujinga wao, lakini Mhongo?
 
Sina tatizo na hii project kabisa ila sina imani kabisa na wanasiasa wa ccm, hizi calculations tulishapigiwa sana lakini hakuna tulichoambulia.

Lakini pia tukipiga hesabu hizo lazima tujue kuwa Hydro inaonekana ina bei nafuu kwa sababu gharama za uharibifu wa mazingira haziingizwi kwenye hizo hesabu. Ni kama vile mkaa unaonekana ni nafuu kuliko gesi kwa sababu gharama za deforestation haziingizwi kwenye bei. Tungekuwa tunajumuisha na gharama ya kupanda upya miti na athari katika tabia nchi, bei ya mkaa isingeshikika.

Ni umeme wa aina gani ambao unit yake imejumuisha gharama zote?
 
Waziri mkuu wa Tanzania Bwana Majaliwa leo ametembelea mradi wa ujenzi wa bwawa la umeme la Mwalimu Nyerere na kuangalia maendeleo ya ujenzi.

Majaliwa ameridhika na kasi ya ujenzi wa mradi huo na amesisitiza utakamilika kwa wakati mwaka 2022 mwezi wa 6 kama majubaliano yalivyo.

PM amesema mradi utakamilika kama ilivyopangwa kwani pesa zipo hakuna sababu ya kuchelewesha mradi.

PM amasema mradi huo utatoa faida kubwa kwa uchumi wa nchi yetu kwani mradi utaleta umeme wa bei nafuu sana kwa watanzania.

Kwa wasiojua.
Kuzalisha Unit moja ya umeme wa maji hua ni TZS 36, Nuclear TZS 66, Jua TZS 105, Joto Ardhi TZS 114.5, Gas 150 na Mafuta mazito 460.

Kwa kuangalia hizo unit price unaona wazi kabisa kua hakuna source yoyote ya nishati yenye gharama ndogo kama maji.
Kwanini huyu jamaa anaendelea kusema uongo ?

Hivi haogopi ?
 
huu ni utekelezaji wa Ilani ya CCM sio matakwa ya mtu binafsi.
 
Back
Top Bottom