Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Kibaka ni waziri mkuu wa Taifa la Majuha ambae alidanganya uma kuwa rais yupo buheri wa afya na anachapa kazi wakati Rais alikuwa hoi bin taabani kwa gonjwa la Corona!πππ¬Angalia huyu kibaka asiejitambua
Miaka ya 70 hali ya hewa ya nchi sidhani kama ni sawa na sasa technology imebadlka sana umeme wenyewe wa kutegemea maji ya msimu ila ngoja tuone mwisho wakeeeHilo nalo no tatizo ikuzingatia kila kitu kimebadiloka mpaka technology,Mabadiliko ya tabia nchi nk.
Ndio keshaongea uamini usiamini hiyo ni juu yakoKibaka ni waziri mkuu wa Taifa la Majuha ambae alidanganya uma kuwa rais yupo buheri wa afya na anachapa kazi wakati alikuwa hoi bin taabani kwa gonjwa la Corona!πππ¬
He is hopeless liar!Kapoteza credibility kwa uma.Ndio keshaongea uamini usiamini hiyo ni juu yako
Unaanzaje kumwamini huyo mtu aliyedanganya kuhusu afya ya Magufuli msikitini akiswali!Waziri mkuu wa Tanzania Bwana Majaliwa leo ametembelea mradi wa ujenzi wa bwawa la umeme la Mwalimu Nyerere na kuangalia maendeleo ya ujenzi.
Majaliwa ameridhika na kasi ya ujenzi wa mradi huo na amesisitiza utakamilika kwa wakati mwaka 2022 mwezi wa 6 kama majubaliano yalivyo.
PM amesema mradi utakamilika kama ilivyopangwa kwani pesa zipo hakuna sababu ya kuchelewesha mradi.
PM amasema mradi huo utatoa faida kubwa kwa uchumi wa nchi yetu kwani mradi utaleta umeme wa bei nafuu sana kwa watanzania.
Kwa wasiojua.
Kuzalisha Unit moja ya umeme wa maji hua ni TZS 36, Nuclear TZS 66, Jua TZS 105, Joto Ardhi TZS 114.5, Gas 150 na Mafuta mazito 460.
Kwa kuangalia hizo unit price unaona wazi kabisa kua hakuna source yoyote ya nishati yenye gharama ndogo kama maji.
Hatukatai kama kitu kinasimama ila miaka mingi imekatika kila kitu kimebadilika wangefanya uchambuz upya hali ya hewa imebadilika cdhan kama kuna mvua za kutosha kama miaka hyoooLakini kitu si kina simama ww vp
Hivi unafikiri transformer, Generators na control system zote zitafungwa za mwaka 70 kwa akili yako!!?..ππLabda CAG yeye mwenyewe au team yake hawako compitent juu ya feasibility study ya mradi wowote wa umeme, wanaposema imetumika feasibility ya miaka ya 70 sijui wameisoma vyema hiyo feasibility ilichokuwa inakihitaji kitimie na ingetumika kwa miaka mingapi kutoka wakati huo na je! Hizo MW2100 zitakazozalishwa na mradi huo hazitaleta ongezeko chanya la umeme kwenye mfumo wetu wa sasa wa umeme!?.Shida sio kuisha lini, Tatizo kutumia feasibility study ya miaka 70[emoji23][emoji23][emoji23]
Umeme wa maji ni nafuu sana kuliko vyanzo vingine vyote lakini Je ni wa uhakika? Pale tutakapoukosa gharama za kuukosa zitakuwa kiasi gani?Waziri mkuu wa Tanzania Bwana Majaliwa leo ametembelea mradi wa ujenzi wa bwawa la umeme la Mwalimu Nyerere na kuangalia maendeleo ya ujenzi.
Majaliwa ameridhika na kasi ya ujenzi wa mradi huo na amesisitiza utakamilika kwa wakati mwaka 2022 mwezi wa 6 kama majubaliano yalivyo.
PM amesema mradi utakamilika kama ilivyopangwa kwani pesa zipo hakuna sababu ya kuchelewesha mradi.
PM amasema mradi huo utatoa faida kubwa kwa uchumi wa nchi yetu kwani mradi utaleta umeme wa bei nafuu sana kwa watanzania.
Kwa wasiojua.
Kuzalisha Unit moja ya umeme wa maji hua ni TZS 36, Nuclear TZS 66, Jua TZS 105, Joto Ardhi TZS 114.5, Gas 150 na Mafuta mazito 460.
Kwa kuangalia hizo unit price unaona wazi kabisa kua hakuna source yoyote ya nishati yenye gharama ndogo kama maji.
Heshima ya mama Samia amalize miradi hiyo miwili SGR na STIEGLER GORGE. Kinyume cha hapo atazua hasira za utanganyika kama mzee Mwinyi vs Malecela kusapoti ssrikali tatu. Mama Samia ajue ameshika check kike kwa mapenzi ya Mungu lakini kwa mechanism ya ccm hakuna mzanzibar angetawala Tanzania tote. Akitawala vyema ana nafasi ya kutuondolea umajimbo wa watanzania bars. Lakini akicheza kete vibaya na muungano utavunjika mikonkni masks. Maswala yanayoleta uchumvu ni kuwapa wawekezaji madini yetu kwa mikataba mibovu. Kuchimba gas yetu kwa mikataba ya ovyo. Watanzania bara hawatavumila rais mzanzbari acheze madini na mali za serikali kama mzee Mkapaalivyobinafsizha mashirika yetu. Hata harmonization ya ushuru wa bara na visiwani aende kea tahadhari asionekane kutuuza kea wavisiwani kwakd. Namalizia , mama Samia ni chaguo la Mungu ,anatarajiwa atende kila jambo kwa mapenzi ya Mungu. Akifanya hivyo atatuunganizha ,sasa tanganyika ilivubikaa na ukabila na ujimbo yuko nafasi nzuri ya kutuunganisha.Mpaka sasa ujenzi wa bwawa umetazamwa na watu bilioni 39 duniani koteeeee
Watu kama Mhongo wanaiaibisha sana heshima ya kisomo chao.Achana na waganga njaa kina mhongo, wale ni madalali wa makampuni ya mitambo ya gas kama kina General Electric ya Marekani ambao aliwapigania hadi kupata tenda ya kujenga ama kuleta engine zao pale Kinyerezi
Sasa naona wanamlipa mhongo awapigie debe kwani ujio wa umeme wa maji utawaondolea network yao ya ulaji wa services and maintenance pale Kinyerezi ambapo wanakula 30 Billioni kwa mwaka kwa matengenezo. Hapo ni Kinyerezi tu.
Ina maana halitazalisha umeme 2022!Shida sio kuisha lini, Tatizo kutumia feasibility study ya miaka 70[emoji23][emoji23][emoji23]
Sina tatizo na hii project kabisa ila sina imani kabisa na wanasiasa wa ccm, hizi calculations tulishapigiwa sana lakini hakuna tulichoambulia.
Lakini pia tukipiga hesabu hizo lazima tujue kuwa Hydro inaonekana ina bei nafuu kwa sababu gharama za uharibifu wa mazingira haziingizwi kwenye hizo hesabu. Ni kama vile mkaa unaonekana ni nafuu kuliko gesi kwa sababu gharama za deforestation haziingizwi kwenye bei. Tungekuwa tunajumuisha na gharama ya kupanda upya miti na athari katika tabia nchi, bei ya mkaa isingeshikika.
Kwanini huyu jamaa anaendelea kusema uongo ?Waziri mkuu wa Tanzania Bwana Majaliwa leo ametembelea mradi wa ujenzi wa bwawa la umeme la Mwalimu Nyerere na kuangalia maendeleo ya ujenzi.
Majaliwa ameridhika na kasi ya ujenzi wa mradi huo na amesisitiza utakamilika kwa wakati mwaka 2022 mwezi wa 6 kama majubaliano yalivyo.
PM amesema mradi utakamilika kama ilivyopangwa kwani pesa zipo hakuna sababu ya kuchelewesha mradi.
PM amasema mradi huo utatoa faida kubwa kwa uchumi wa nchi yetu kwani mradi utaleta umeme wa bei nafuu sana kwa watanzania.
Kwa wasiojua.
Kuzalisha Unit moja ya umeme wa maji hua ni TZS 36, Nuclear TZS 66, Jua TZS 105, Joto Ardhi TZS 114.5, Gas 150 na Mafuta mazito 460.
Kwa kuangalia hizo unit price unaona wazi kabisa kua hakuna source yoyote ya nishati yenye gharama ndogo kama maji.
wewe ndo humuamini ila mimi namuamin
[/QUOTE.
Hongera sana dadangu mzuri!
Umesahau tumelipa mpaka capacity changies gas ya SongosongoNi umeme wa aina gani ambao unit yake imejumuisha gharama zote?