PM Majaliwa: Rais Samia amerejesha amani kwa Watanzania

PM Majaliwa: Rais Samia amerejesha amani kwa Watanzania

Kuna ule wimbo wa 'Kassimu' sijui nani anao, atuwekee ile Santuri.
 
Huyu Aliwahi Kusema Rais Wa Mpito, Na Mama Alisema Alifungua Katiba Mwanzo~Mwisho
Hakuona Palipoandikwa Hivyo
 
"....tumpongeze Rais Samia kwa kurejesha amani kwa Watanzania. "

Hayo ameyasema huko Kizimkazi, Zanzibar.

NB: Lini amani ya Watanzania ilitoweka...?!
Huu ujinga wa awamu ya 5 umeanza tena kwa kasi kubwa, kila kiongozi anapohutubia lazima aweke maneno ya kumsifia rais. Nimemsikia mawaziri, dc, rc nk
 
Eti kunawatu wanahoji lini amani ilitoweka???
Kuna baadhi yamatz nimajinga na vichwa panzi ndomana hatuendelei!!
Hivi kipindi chamwenda tulikaa kwa amani? Kutekana,kutukanwa,kutishwatishwa,marisasi,maupendeleo yakikanda na kikabila,fukuzafukuza watu kazi isivyohaki ilikuwa ni amani??
Yeye PM alitishiwa shangazi zake wangepigwa hiyo ilikuwa amani?
Wakuu wa mikoa/wilaya baadhi waliokuwa wapumbavu kutwa kutisha,kupiga,kusweka watu ndani kiholele ilikuwa amani?
Amakweli wajinga ndiyo waliwao.
 
Back
Top Bottom