Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
...hata mimi nimejiuliza hilo swali!Kwani tulikua vitani??
Anajikomba akiogopa ya Ndugai [emoji1787][emoji1787][emoji1787]"....tumpongeze Rais Samia kwa kurejesha amani kwa Watanzania. "
Hayo ameyasema huko Kizimkazi, Zanzibar.
NB: Lini amani ya Watanzania ilitoweka...?!
Tozo imepoteza utulivu wa nchi kabisa....hata mimi nimejiuliza hilo swali!
Kwamba alikaa akasoma katiba nzima..labda sio mama huyu ninayemjua.Huyu Aliwahi Kusema Rais Wa Mpito, Na Mama Alisema Alifungua Katiba Mwanzo~Mwisho
Hakuona Palipoandikwa Hivyo
πππ€£π€£π€£π π πππππππππππ π πKwamba alikaa akasoma katiba nzima..labda sio mama huyu ninayemjua.
Au ile Kassim alikuwa jambazi ukikutana nae mtaani umpitie mbali πKuna ule wimbo wa 'Kassimu' sijui nani anao, atuwekee Santuri.
πππ€£Au ile Kassim alikuwa jambazi ukikutana nae mtaani umpitie mbali π
Kama si hivyo atakudhuru babaπ
Huu ujinga wa awamu ya 5 umeanza tena kwa kasi kubwa, kila kiongozi anapohutubia lazima aweke maneno ya kumsifia rais. Nimemsikia mawaziri, dc, rc nk"....tumpongeze Rais Samia kwa kurejesha amani kwa Watanzania. "
Hayo ameyasema huko Kizimkazi, Zanzibar.
NB: Lini amani ya Watanzania ilitoweka...?!
Amani ya tozo au?"....tumpongeze Rais Samia kwa kurejesha amani kwa Watanzania. "
Hayo ameyasema huko Kizimkazi, Zanzibar.
NB: Lini amani ya Watanzania ilitoweka...?!
Hatujawahi kuwa na PM mbovu kama huyu tangu uhuru"....tumpongeze Rais Samia kwa kurejesha amani kwa Watanzania. "
Hayo ameyasema huko Kizimkazi, Zanzibar.
NB: Lini amani ya Watanzania ilitoweka...?!
Bila hivyo atang'olewaHuu ujinga wa awamu ya 5 umeanza tena kwa kasi kubwa, kila kiongozi anapohutubia lazima aweke maneno ya kumsifia rais. Nimemsikia mawaziri, dc, rc nk