PM Majaliwa: Rais Samia amerejesha amani kwa Watanzania

"....tumpongeze Rais Samia kwa kurejesha amani kwa Watanzania. "

Hayo ameyasema huko Kizimkazi, Zanzibar.

NB: Lini amani ya Watanzania ilitoweka...?!
Hivi kumbe amani ilitoroka?WanaCCM wengine wamesoma hii?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mkuu,usiumize kichwa chako.Maswali mengine yanaulizwa "kimtindo" tu ili kebehi ifike kunakotakiwa.
 
Kwa sababu hizo basi hata sasa hakuna amani maana hatujui serikali italeta tozo gani nyengine muda wote tunawaza tozo na kibaya ukihoji unaambiwa uende Burundi yani hakuna amani kabisa, lakini pia ajali za barabarani zimezidi awamu hii yani ukiwa huko kwenye chombo cha moto barabarani huna amani kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…