Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 5,203
- 3,913
Uelewa wetu kuhusu the whole logistic chain ni mdogo sana. Tunamuongelea DPW kwa mtazamo wa mwekezaji wa bandari yetu lakini maana ya bandari kwa dunia ya sasa imebadilika sana.Naomba ufafanuzi zaidi ....Sijaelewa kabisa unalenga nini kwa maelezo hapo juu kuhusu bandari na DPW.
Bandari humaanisha ule mnyororo mzima wa kuanzia bidhaa zinapozalishwa kuja mahali zinapopakiwa melini na kushushwa huko kwa wateja ziendapo.