Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
Nadhani hii Sentensi bora asingeisema..., ni sawa sawa Kicheche amwambie kuku niamini siwezi kukudhuru..., nadhani cha maana kuliko kuaminiana (which has been proven kwamba hawa jamaa na politicians in general sio wakweli ni the past) waweke uwezi na kila kitu kiwe transparent na open (upuuzi wa siri za mikataba ibakie huko kwenye familia na ukoo wao - Sio mali ya vizazi hivi na vizazi vijavyo
Urithi sio mali yako pekee sababu uliikuta inabidi kuwaachia na wengine hivyo iwe na uwazi wa nini kinaendelea
Kama kusimamia Tozo zetu tu mnaboronga alafu leo mnakuja eti tuwaamini (si tutakuwa mazezeta)