PM Majaliwa: Watanzania tunaomba mtuamini (kuhusu uwekezaji Bandarini)

PM Majaliwa: Watanzania tunaomba mtuamini (kuhusu uwekezaji Bandarini)

Mbona kama anatufokea! kama Jambo zuri waendelee nalo Tu.
Tena huyu bwana, wale tunaokumbuka historia yake kabla ya kuwa PM aliwahi kuwachapa fimbo walimu.

Mimi nahofia sana wale wataaojidai kuleta kilomolomo, dah. Wangojee kuchezea fimbo.
 
Akamkaripie mama yake... hatuwataki DP World nukta.

Huyu mtu tangu aseme Magufuli anachapa kazi wakati mtu yupo mochwari nilimdharau na kumwona wa hovyo sana.
Kwani mochwari siyo kazi ile?
 
Kuaminiwa ni gharama kubwa sana, huwezi kuaminiwa kama hujainvest ill uaminiwe Mr PM.

Hata matapeli kuna gharama wanaingia kabla hawajatapeli.
Kinachotakiwa sasa hivi serikali iamuwe kama serikali, watu wamesikilizwa sana, wameelimishwa sana. Sasa amabae hataki kusubiri mikataba, alambwe fimbo tu au akaisubirie lupango.
 
1. Kwanini bandari zote baharini, maziwani na nchi kavu?

2. Kwanini mwekezaji alindwe na IGA?

3. Kwanini IGA imeingiwa kati ya nchi na kampuni kupitia mgongo wa mji wa Dubai na sio nchi ya UAE?
Sasa ulitaka bandari ziwe wapi? Angani?
 
Akamkaripie mama yake... hatuwataki DP World nukta.

Huyu mtu tangu aseme Magufuli anachapa kazi wakati mtu yupo mochwari nilimdharau na kumwona wa hovyo sana.
Kama wewe umezowea kumakaripia mama'ko, jitokeze hadharani umwambie hivyo.
 
Munauza nchi kwa waarabu

Nyie na sisi tutakuwa tumekufa wajukuu wetu hawatapewa nafasi ya kuwahoji waarabu wakati huo

Mtalaaniwa
Waarabu si ndiyo wenye Dirham, ulitaka uuziwe wewe mwenzangu na mie, unaeamka asubuhi hujuwi uianze vipi?
 
Kinachotakiwa sasaq hivi serikali iamuwe kama serikali, watu wamesikilizwa sana, wameelimishwa sana. Sana amabae hataki kusubiri mikataba, alambwe fimbo tu au akaisubirie lupango.
Mtatuua mtatumaliza sisi na watoto wetu, mtabaki nyie na watoto wenu na waarabu wenu, si itakuwa raha ehh.

Naona Bi Chausiku maroho ya kumwaga damu za watu yamesha mwingia, sasa wapiga kelele wanatishiwa kuuwawa. Mwabukusi huko amesha anza kutumiwa vitisho vya kumuua kutoka kwa watu wa Bi Chausiku
 
Huyu anapoongelea jambo lenye utata ni lazima adanganye. Alidanganya mambo mengi, mpaka kifo cha mwendazake alitudanganya. AKAE KIMYA.
Kifo kina kudanganya? Utaificha maiti mpaka lini? Au walitaka waliweke robot?

Sasa hapa kakudanganya nini?
 
Mtatuua mtatumaliza sisi na watoto wetu, mtabaki nyie na watoto wenu na waarabu wenu, si itakuwa raha ehh.

Naona Bi Chausiku maroho ya kumwaga damu za watu yamesha mwingia, sasa wapiga kelele wanatishiwa kuuwawa. Mwabukusi huko amesha anza kutumiwa vitisho vya kumuua kutoka kwa watu wa Bi Chausiku
maandamano yenu yaliishia wapi, sijapata habari.

Nyie siyo wakuuliwa, wakuchezea bakora tu.
 
Kifo kina kudanganya? Utaificha maiti mpaka lini? Au walitaka waliweke robot?

Sasa hapa kakudanganya nini?
Usisahau alisema hayati ankari Magu bado yupo na anapiga kazi siku moja baadae taarifa zinakuja nahisi maja km maja alilia kwa vitu viwili moja ankari katangulia mawinguni mbili kuudanganya umma wa waTZ, kwa hio ni kweli ana vinasaba vya uongo uongo watu kumuamini sasa wanatia mashaka that day angesema straight ankari hatunae angechukua point 3

404: Page Not Found
 
Hili dude likilaza sijui walilitoa wapi, akili fake kichwa sifuri
 
Akasema mwamba yupo ikulu na anachapa kazi acheni maneno maneno daah kilichofuata saa100 anakuja kulihutubia Taifa maja km maja akasema nitaficha wapi sura yangu Mimi muongo,

404: Page Not Found
Hotuba yake myaiona siku ya kusaini mikataba kama alivyofanya kwemye mikataba ya SGR, mikataba hamsini au sitini kwa mpigo.

Halafu mkaipinge vizuri.

Tana nasikia mkataba na Waarabu wa kundesha na kuboresha mabasi ya mwendokasi upo tayari, wanangoja siku ya kukabidhiana tu ndiyo utangazwe.
 
Back
Top Bottom