FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Anatishwa na kivuli chake tu, anaetaka kuuliwa anapewa habari?Mbona Mwabukusi mnataka kumuua?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anatishwa na kivuli chake tu, anaetaka kuuliwa anapewa habari?Mbona Mwabukusi mnataka kumuua?
Sema hujayapenda tu aliyoyaongea.Huyu ni zuzu mfano wa kokolo la hovyo
Mbona Ben Saanane mlipa habari, Tundu Lissu hali kadhalika. Nyie ni watu dhalimu na dhamira zenu zina kiu na damu zisizo na hatiaAnatishwa na kivuli chake tu, anaetaka kuuliwa anapewa habari?
Kwa hio unatufokea ?Tana nasikia mkataba na Waarabu wa kundesha na kuboresha mabasi ya mwendokasi upo tayari, wanangoja siku ya kukabidhiana tu ndiyo utangazwe.
Yaan unasema kwamba ? Sijasikia umesema ?Hivi shemeji yako yupi unaetaka auziwe bandari? Badala ya shemeji yetu Mwarabu wa Dubai?
Faiza unahitaji religious detoxification, uko na religious slavery to the extreme, majaliwa ni hamnazo kabisa, ule mkataba unajieleza halafu anaongea upimbi kama huo. Huyo ni kichaa na hao ngedere wanamakinika kumsikiliza na upumbavu wakeSema hujayapenda tu aliyoyaongea.
Hivi shemeji yako yupi unaetaka auziwe bandari? Badala ya shemeji yetu Mwarabu wa Dubai?
Na unga mkono hoja, nchi itakuwa kama SA Enzo za ubaguzi WA rangi na kutoka ktk mfumo kama huo ni shughuli.Munauza nchi kwa waarabu
Nyie na sisi tutakuwa tumekufa wajukuu wetu hawatapewa nafasi ya kuwahoji waarabu wakati huo
Mtalaaniwa
Hujapata shemeji wa kutokea Dubai bado? Dar hapatoshi, palivyojaa ma handsome wa Kiarabu, japo kunanukia uturi.Yaan unasema kwamba ? Sijasikia umesema ?
404: Page Not Found
Yaan shemeji kwako au kwa yule wa jumba jeupe ?Hujapata shemeji wa kutokea Dubai bado? Dar hapatoshi, palivyojaa ma handsome wa Kiarabu, japo kunanukia uturi.
Huu sasa uchokozi, anakwambia kingine unamwambia kingine umtoe kwenye reliMrembo bado hujaopoa ji handsome la Kiarabu. au unaishi wapi wewe? Dar hapatoshi miji handsome na Dirham zao ilivyojazana.
Wewe hujapata shemeji wa Kiarabu bado?Yaan shemeji kwako au kwa yule wa jumba jeupe ?
404: Page Not Found
Nilitaka kuwa mtu wa mwisho kumchukia Pm lakini kuanzia sasa simuamini tena.
Tatizo kubwa lanchi hii nikatibayetu inayompa mamlaka mtu mmoja kiasi cha kuogopwa kuliko hata muumba wetu.
Pamoja na mambo mengine hii katiba nilazima irekebishwe kwa namna yoyote Ile.
Watu wengi na heshima zao na elimuzao pamoja na hofuzao kwa Mungu lakini wanajitoa ufahamu kwa kushindwa kuongea ukweli kwasababu ya uoga.
Kwani kilicholetwa mitandaoni kimetengenezwa mitandaoni? Kwani kilicholetwa mitandaoni chenye sahihi ya Rais Samia, siyo alichokisaini Rais?Viongozi si wajinga wakubali yale yaliyoletwa mtandaoni eti ni mkataba wa DP world...kwahiyo tunahitaji kuendelea kuwaamini na kuamini kilicholetwa mtandaoni sio kweli
IGA ni formality tu ya bungeni. Hizi HGAs ndio kila kitu na ndizo zinazoweza kuuvunja hiyo IGA iliyosainiwa bungeni.Huu mkataba unaenda kutengeneza "Radicals" wengi sana. Naona serikali inacheza na mioyo ya watu.
Kama kilichosainiwa ni IGA, imekuwaje huyo mwekezaji ajitokeze kwenye makubaliano ya nchi na nchi?
Makubaliano ya nchi na nchi yanawezaje kusainiwa na mwekezaji? PM anataka kutudanganya wazi wazi.