Full Blood Picture
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 2,223
- 3,961
Yaani kila siku kuna ubeti mpya, yaani mkataba unazungumza kivingine na wenyewe wanaongea tofauti kabisa. Mkataba umeshalifunga mikono taifa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DPW haishi kuwekeza hapo bandarini tu. Ulimwengu wa kisasa maana ya bandari imebadilika kabisa sio ile ya miaka ya nyuma.Utaratibu mzima wa uwekezaji unapaswa kubadilika!. Hata kama huko nyuma Serikali iliwezeka lakini yote ilikuwa kwa manufaa ya Serikali na mafisadi walioko kwenye mfumo. TICTS kwa mfano, ilimnufaisha vipi mwananchi wa kawaida?
Inashangaza sana kuona viongozi tunaowachagua wenyewe, wanageuza rasilimali za taifa kama mali zao binafsi.
Viongozi wameshindwa kusimamia rasilimali za taifa badala yake wanatafuta njia ya mkato.... Kutafuta mwekezaji !!
Naomba ufafanuzi zaidi ....Sijaelewa kabisa unalenga nini kwa maelezo hapo juu kuhusu bandari na DPW.DPW haishi kuwekeza hapo bandarini tu. Ulimwengu wa kisasa maana ya bandari imebadilika kabisa sio ile ya miaka ya nyuma.
Sasa tunaongelea the whole logistic chain tukimaanisha bandari. Huyu DPW anamiliki mzigo huko Congo na Rwanda pia anamiliki dry port huko huko Kigali.
Kwa ufupi anamiliki mzigo unapotoka na anataka amiliki sehemu ya bandari unapopita na ana miliki soko la huko unakoenda.
Maana nzima ya bandari imebadilika, umiliki wa bandari haushii katika kupakua makasha na kuyapakia melini hujumuisha masuala mazima ya logistics.
🤣🤣🤣🤣🤣🙌Kumwamini Majaliwa tenaaa?!!!!! aliyetumbia kuwa Magufuli yupo na afya njema na anachapa kazi kumbe mzee wa watu....
Pm hakujiandaa kuwa pm au anafanya kwa makusudiDar waziri mku.... bana
Bora nikae kimya tu, maana bado sina mwanasheriaSa itakuwaje 🤔
🤣🤣Kwa kweli...hizi mambo zimekaa kingoswengoswe kweli🥴Bora nikae kimya tu, maana bado sina mwanasheria
Sio kweli. Hata mkitaka kujamba itabidi muombe ruhusa kwa mwarabu wa dubai🤣🤣Kwa kweli...hizi mambo zimekaa kingoswengoswe kweli🥴