Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 5,203
- 3,913
Uelewa wetu kuhusu the whole logistic chain ni mdogo sana. Tunamuongelea DPW kwa mtazamo wa mwekezaji wa bandari yetu lakini maana ya bandari kwa dunia ya sasa imebadilika sana.Naomba ufafanuzi zaidi ....Sijaelewa kabisa unalenga nini kwa maelezo hapo juu kuhusu bandari na DPW.
Kwa kuwa hatuelewi logistics za bandari kama wewe mwenzetu tena mwenye kuielewa logistic strategy ya DPW ....ndio uhalalishe kukabidhi bandari zetu EPZ na bandari kavu zetu kwa DPW?Uelewa wetu kuhusu the whole logistic chain ni mdogo sana. Tunamuongelea DPW kwa mtazamo wa mwekezaji wa bandari yetu lakini maana ya bandari kwa dunia ya sasa imebadilika sana.
Bandari humaanisha ule mnyororo mzima wa kuanzia bidhaa zinapozalishwa kuja mahali zinapopakiwa melini na kushushwa huko kwa wateja ziendapo.
Mtu yupo ICU au ameshafariki wewe ukaambiwa ameongea naye na yupo anafanyia kazi ofisini. Mwenzetu huo unaona bado ni ukweli?Kifo kina kudanganya? Utaificha maiti mpaka lini? Au walitaka waliweke robot?
Sasa hapa kakudanganya nini?
Hamia huko kwa waume zako huko Dubai. Hatuwataki huku. Wasitujaribu wakadhani wataweza kutuwinda kama swala wa mwituni kama wanavyofanya huko Darfur, Sudan Kusini na kwingineko. Tutawanyoosha mchana kweupe.Hujapata shemeji wa kutokea Dubai bado? Dar hapatoshi, palivyojaa ma handsome wa Kiarabu, japo kunanukia uturi.
Umekula maharage ya wapi vile!!Kinachotakiwa sasa hivi serikali iamuwe kama serikali, watu wamesikilizwa sana, wameelimishwa sana. Sasa amabae hataki kusubiri mikataba, alambwe fimbo tu au akaisubirie lupango.