Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mdada anapotupia Uzi kwenye jukwaa la MMU lazima akutane meseji za mtongozo pm zaidi ya moja.
Uko kama Mimi..eti niogope kujibu pm za wanaume..Hahaha me ukipm nakujibu tu kwani unaondoka Nayoo...
Na huo ndo ukweli....Kila mtu ana sababu za kuwepo hapa, sio kila mtu yupo hapa ili aingie huko pm kutongoza wanawake. Lakini pia, kama mtu kaamua kuja pm sio dhambi, just be nice to him, kama haupo interested mwambie humbly na hutoona akikusumbua.
Binafsi PM imenipa marafiki wengi wa maana tuu coz tunaexchange ideas na vitu vya maendeleo ( na ndicho kitu nachokitaka huko pm)haiba ya mwanamke ni kutongozwa
sasa ablock ili iweje???
pia pm kuna vitu vingi tu vya kuongea ukiacha kutongozana
Post sent using JamiiForums mobile app
Umeona ee na ukiona watu Wa ajabuajabu wanakufwa pm ujue na wewe huwa una comment za ajabuajabuUko kama Mimi..eti niogope kujibu pm za wanaume..
Kama unajiheshimu utaonekana na itajulikana tuu!
Post sent using JamiiForums mobile app
Tena ulimbukeni ....wanawake wengi wanapenda attention. wengine wakitongozwa inbox alafu wanakuja kuanzisha thread huku eti wametongozwa. like seriously? ushamba tu....
Sasa K c unamnyima au anakulazimisha?Hakuna muoaji wote wababaishaji shida yao k tu
Unajua hukueleweka ile comment yako ya mwanzo...Kabisaa mi Nina marafiki wengi tu kupitia pm
Jibu zuri sana. Ila ulifichwa na nani mdadaHakuna mwanaume hapendi K, kwanza mwanaume yeyote akikutokezea K ndo kitu cha kwanza kufikiri. Mengine yote hufuata, either ndoa au kusepa
Jesus is my saviour and a friend
Leo ntakutembelea pm mkuu witnessUko kama Mimi..eti niogope kujibu pm za wanaume..
Kama unajiheshimu utaonekana na itajulikana tuu!
Post sent using JamiiForums mobile app
Watanzania si unajua tuna vichwa vigumu hahaa mtu pm anazani ni uwanja Wa kutongozana tu,ila wenye uelewa hawapati shidaa...Unajua hukueleweka ile comment yako ya mwanzo...
Mi nadhani ulimaanisha ukifatwa pm ukasalimiwa huwa unajibu, coz haicost anything
Sasa nashangaa humu mara lipia demo lako [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Post sent using JamiiForums mobile app
Kabisa...kuna wanawake wana threads+ comments kama mchwa humu, zingine hazina kichwa wala miguu..Umeona ee na ukiona watu Wa ajabuajabu wanakufwa pm ujue na wewe huwa una comment za ajabuajabu
Kujitoa ufahamu tuu!Watanzania si unajua tuna vichwa vigumu hahaa mtu pm anazani ni uwanja Wa kutongozana tu,ila wenye uelewa hawapati shidaa...
Sasa si ndo tunafanya utaratibu wa kuitoa iyo bikra
Your always smart...bravo!!Hata mm
Jesus is my saviour and a friend