Pm za wadada ni kipimo cho utulivu wetu!

Pm za wadada ni kipimo cho utulivu wetu!

mdada anapotupia Uzi kwenye jukwaa la MMU lazima akutane meseji za mtongozo pm zaidi ya moja.

Usipotupia uzi tutaonaje hiyo avatar yako. Avatar yako ndo tangazo lako, tumekuelewa.
 
Kila mtu ana sababu za kuwepo hapa, sio kila mtu yupo hapa ili aingie huko pm kutongoza wanawake. Lakini pia, kama mtu kaamua kuja pm sio dhambi, just be nice to him, kama haupo interested mwambie humbly na hutoona akikusumbua.
Na huo ndo ukweli....
 
haiba ya mwanamke ni kutongozwa
sasa ablock ili iweje???
pia pm kuna vitu vingi tu vya kuongea ukiacha kutongozana

Post sent using JamiiForums mobile app
Binafsi PM imenipa marafiki wengi wa maana tuu coz tunaexchange ideas na vitu vya maendeleo ( na ndicho kitu nachokitaka huko pm)

Asa hayo mambo ya kutongozwa inategemea na wewe mwenyewe kihisia!

Ila daah kutongozana PM miyeyushoo asee!

Post sent using JamiiForums mobile app
 
wanawake wengi wanapenda attention. wengine wakitongozwa inbox alafu wanakuja kuanzisha thread huku eti wametongozwa. like seriously? ushamba tu....
Tena ulimbukeni ....

We utatangazaje public eti mtu aliyekutongoza PM ? Kwani kutongozwa ajabu?


Ukiona mwanamke wa hivyo ujue anatokewa kwa manati ( Mara moja kwa miaka 3)

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Sasa tusipowatongoza itakuaje,.. Mwanamke asipotongozwa hujisikia ana gundu,.. Unasema hivi sasa kuelezea furaha yako unapoona wanaume wanakufata, hiyo iliyokupelekea kuandika haya, kutambia watu wakujue na walio bado waje ili uwe na furaha zaidi... Nakuja my dear!
 
Kabisaa mi Nina marafiki wengi tu kupitia pm
Unajua hukueleweka ile comment yako ya mwanzo...

Mi nadhani ulimaanisha ukifatwa pm ukasalimiwa huwa unajibu, coz haicost anything

Sasa nashangaa humu mara lipia demo lako [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Unajua hukueleweka ile comment yako ya mwanzo...

Mi nadhani ulimaanisha ukifatwa pm ukasalimiwa huwa unajibu, coz haicost anything

Sasa nashangaa humu mara lipia demo lako [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Post sent using JamiiForums mobile app
Watanzania si unajua tuna vichwa vigumu hahaa mtu pm anazani ni uwanja Wa kutongozana tu,ila wenye uelewa hawapati shidaa...
 
Back
Top Bottom