PM zangu zimejaaa

PM zangu zimejaaa

Hivi mfano ukireread unaweza ona lalamiko hapo..au its just ur negative thoughts..mbona mnapenda kukwaza watu bila sababu..this is just a social media for some refreshments nimeandika thread yangu kwenye mood nzuri,happy with a lil bit of teasing mtu anakurupuka na kuharibu mood yako kwa negative comments. .pipo get over urselves plz

Hii post inaonyesha how weak you're, sasa kama uliweka uzi kwamba wewe ni single ulitegemea vidume vipite hivi hivi?
 
Darling ex umepona kweli kwenda pm, maana we nakujua mzee wa fursa, alitakiwa awataje kabisaaa wote waliokwenda😉
Ilo ntakujibu baadae..Kwanza niambie una uhusiano gani na sumbai?
 
Last edited by a moderator:
Nemo umepona kweli kwenda pm??? Jamani kasema hataki mumuelewe tu.

msema kweli mpenzi wa Mungu nimeenda muda si mrefu nimemwambia APUNGUZE HASIRA, mkuu Kwa Aina Hyo Hapana Kwa Kweli
 
Back
Top Bottom