Point ya huyu jamaa kuhusu dini na manabii wa uongo inafikirisha sana

Point ya huyu jamaa kuhusu dini na manabii wa uongo inafikirisha sana

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Mwamba na hoja asikilizwe.

Screenshot_20241130-171841.png
 
Punguza hasira. Inaonekana una tatizo la kisaikolojia. Yani kwako Bora ujambazi kuliko dini?. Shida ya dini ni Nini?. Unajua maana ya ujinga wa mwisho?
Maana ya ujinga wa mwisho ni kuamini mavitabu yaliyoletwa kwenye majahazi na waarabu na wamisionari.
 
Tatizo la huyo mtoa mada hajui Nini maana ya unabii. Angejua maana ya unabii asingesema hivyo.
 
Nimegundua watu wengi wanaongea kuhusu unabii na Biblia na hawajui Biblia.
 
Punguza hasira. Inaonekana una tatizo la kisaikolojia. Yani kwako Bora ujambazi kuliko dini?. Shida ya dini ni Nini?. Unajua maana ya ujinga wa mwisho?
Dini ni panga linakata kote kwenye kushiriki mema na mabaya!!Dini ujinga amkeni waAfricq
 
Mbon
Maana ya ujinga wa mwisho ni kuamini mavitabu yaliyoletwa kwenye majahazi na waarabu na wamisionari.
Mbona una tumia simu zao na mambo mengine, hujui kwamba kabla yao ulikua una ishi polini una kula mizizi?

Pia ulikua uchi huku ukivaa ka kipande ka ngozi huku nusu ya mwili ukiwa inje.

Hata hiyo shule yako ya kuunga unga wamekuletea wao acha makasiriko.

Kama una madeni usituletee hapa jamvini pambana na hali yako. Una wazarau huku inchi yako kutwa ina kwenda kuomba misaada.

Bila wao kuja Africa 🌍🌍🌍 mpaka leo ungekua una tembea kende wazi acha zarau dogo.
 
Punguza hasira. Inaonekana una tatizo la kisaikolojia. Yani kwako Bora ujambazi kuliko dini?. Shida ya dini ni Nini?. Unajua maana ya ujinga wa mwisho?
Namuunga mkono, dini ni ujinga
 
Back
Top Bottom