Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
mkuu wewe ndio primitive pro max na huijui history vizuri.Mbon
Mbona una tumia simu zao na mambo mengine, hujui kwamba kabla yao ulikua una ishi polini una kula mizizi?
Pia ulikua uchi huku ukivaa ka kipande ka ngozi huku nusu ya mwili ukiwa inje.
Hata hiyo shule yako ya kuunga unga wamekuletea wao acha makasiriko.
Kama una madeni usituletee hapa jamvini pambana na hali yako. Una wazarau huku inchi yako kutwa ina kwenda kuomba misaada.
Bila wao kuja Africa 🌍🌍🌍 mpaka leo ungekua una tembea kende wazi acha zarau dogo.
kasome trans saharan trade uone kama wao walikua bora sana kutuzidi
Wazungu na zana zao bora za kivita lakini walipigwa na waethiopia
Kila jamii ina namna yake ya Kudevelop...
Mwafrika kuwa nyuma sana haimaanishi hayupo au hakuwepo.
Tulikua na Vyuo vikuu vya kale sana africa ambavyo Ulaya nzima na marekani havikuwepo..
Mzungu amejua kukukaba kudadek