Point ya huyu jamaa kuhusu dini na manabii wa uongo inafikirisha sana

mkuu wewe ndio primitive pro max na huijui history vizuri.

kasome trans saharan trade uone kama wao walikua bora sana kutuzidi

Wazungu na zana zao bora za kivita lakini walipigwa na waethiopia

Kila jamii ina namna yake ya Kudevelop...

Mwafrika kuwa nyuma sana haimaanishi hayupo au hakuwepo.

Tulikua na Vyuo vikuu vya kale sana africa ambavyo Ulaya nzima na marekani havikuwepo..

Mzungu amejua kukukaba kudadek
 
Hawa wapagani na makafiri wasitubabaishe na nadharia zao za kipagani sie tunaomuamini Mungu na unabii wake
 
Hivi Msioamini Dini mna tatizo Gani?Yaani unamkalipia jirani yako eti kwa nini anamlomba mke wake sasa we inakuhusu nini
 
Watu gani waliocheza na akili yako
Mbona hata hao manabii wa uongo wanatumia bibilia hiyo hiyo iliyoandikwa na hao watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…