son of king john2
Senior Member
- Jan 11, 2014
- 131
- 33
Evidence please or else uzi wako si wa kuaminiwa hata kidogo
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
hv watz mbona 2napenda kulalamika sana? kwan huo c utaratibu mpya wa kupanga matokeo! mbona kenya na ug wanatumia wastan? mbona vyuon kinatumika k2 kinachoitwa G.P.A? kwani nyie mnaolalamika kwamba huo utaratibu unashusha kiwango cha elmu tz hebu 2peni ushahidi
anza na shule ya kata yako natumai wengine watafuata..ndugu wadau matokeo ya form4 yametoka na ufaulu tunaambiwa umeongezeka. ila kiukweli ufaulu ni uleule wakawaida.binafsi sijawaelewa baraza la mitihani kuweka alama A,B+,B-,C,D,E,F ..mtu anapata hadi four ya 45.kiukweli tuache kupamba matokeo bali tuboreshe elimu mashuleni. kwasababu aliyepata E sasa kwa matokeo ya zamani angepata F.
weka supporting document!
Kweli zipo IV za 41, sasa nimepata jibu la division zero kupungua mwaka huu, lakini Mulugo si alipinga haya madaraja bungeni kwamba waziri yupo juu ya katibu mkuu hivyo kauli yake ndio final.Evidence please or else uzi wako si wa kuaminiwa hata kidogo
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
mdogo wangu kapata DIVISION IV YA 39