Utafikiri wanafunzi wanaenda tour mikumi!Walinzi mia moja wa nini, hao wakae hapo mwisho wa siku warudi nyumbani. Hakuna mwenye nia ovu na Ramaphosa.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Walitakiwa kupita Anga la kimataifa Italy ilizuia wakalazimika kutua Kwa dharula polandIngekuwa mie ndiye Ramaphosa, kabla hata sijafika SA, hao walinzi wote kazi hawana. Sasa wanalinda nzi? Rais wao akiuawa, watajibu nini? Shame! Mnazuiwaje kwa mfano?
Wametudhalilisha sana Afrika. It means hawakuzungumza wakaelewana before waanze safari? Kwa nini Poland isione kwamba huo ujumbe wa Afrika ni kwa ajili ya maslahi na usalama wa Ukraine na Ulaya nzima?
Punguza upumbavu S.Afrika ni nchi huru na ina uhuru wa kufuata sera za kimataifa zinazo endana na maslahi yake.Huyu jamaa Ramaphosa aache ushabiki na Russia manake uta mcost saana, kilichotokea ni kwamba wakati wako safarini Italy ilikataa ndege yake isipite juu ya anga lake, ikatokea kuzunguka almost more than 6 times mediteran ocean na baadae kuomba kutua Poland kwa zarura, na baada ya kutua poland security unit yoote ikapigwa pini more than 22 hrs kwenye ndege ya pamoja na mkuu wa usalama wa rais, hakuna alieruhusiwa kushuka tena wakaamrishwa na silaha zao zishushwe manake hawana kibal
daaah!! Hii ndo Aina ya binadamu tulionao Africa. hivi unaionaje SA.!!??Rais wa Marekani anawindwa na watu wengi sana hapa duniani, sasa nani ana haja yoyote na Ramaphosa?!
Ramaphosa hata akitembea hapa Kariakoo hakuna mtu atakayemjua atakayekuwa na habari naye.
Punguza upumbavu S.Afrika ni nchi huru na ina uhuru wa kufuata sera za kimataifa zinazo endana na maslahi yake.
S.Afrika hawezi acha kuisapoti Urusi hali ya kuwa kipindi cha utawala wa kibaguzi Urusi ndo ilikuwa dora kubwa pekee ulimwenguni iliyo kuwa inawasapoti watu weusi kupambana na makaburu, wakati akina Marekani walikuwa buse kuwasapoti makaburu walio kuwa wanawaona waafrika kama mavi.
taarhira jambo lipi ni sahihi?We taira kweli....yaan apo umeona ilo jambo ni sahihi sio
Una mazi kichwani ww huna akili.Mjinga ni wewe ambae hata historia hauijui nipe mfano wa msaada wowote uliotoka enzi hizo Urusi kusaidia watu weusi, Urusi kuwa taifa kubwa hio haituhusu ni ujinga wao kugawanywa kwa akili iliotukuka kipindi cha cold war, na hapo ndio putin angekuwa na akili kwamba wenzao wanawaza mbal saana kama kipind kile tu walicheza game ya namna ile, nakushauri mshauri Ramaphosa kwanza ashughulikie umeme kwake apate taa, kisha kuna mizozo sudan, somalia, congo etc aachame na ngoma asizoziweza
Una mazi kichwani ww huna akili.
Kwa hiyo Marekani ambaye ni kiguna njia kwenye nchi za watu ndani kwake hakuna matatizo?
Kila mwaka maelfu ya Wamarekan wana kufa kutokana na ufwatulianaji wa risasi mbona asitatue hayo matatizo badala yake ndo bingwa wa kuingilia nchi nyingine?
Wee ni tairaa sanaa raisi wa France anavyoendaa urusi aalikuwa neutral VP waziri mkuu wa ujerman vp viongozi wa EU au umekunywaa mbegee jinga kabisaMkuu pata upande wa pili wa story, Poland ni pro Ukraine na president CR ni pro putin, ni upuuzi kwa upande wa CR kwenda huko wakati hayupo neutral, 3 other African presidents wamekataa kwenda kwenye ule upuuzi
Kuna muda huwa nataman JF wangekuwa wanafanyisha watu interview kabla hawajawa members,hii comment haina hadhi ya ki-JF kabisaRais wa Marekani anawindwa na watu wengi sana hapa duniani, sasa nani ana haja yoyote na Ramaphosa?!
Ramaphosa hata akitembea hapa Kariakoo hakuna mtu atakayemjua atakayekuwa na habari naye.
Kama unataka kujidanganya Ramaphosa ni level moja na Biden ni kwa ujinga na hasara yako. Waulize walioshuhudia ujio wa Bush au Obama hapa bongo watakueleza Airport na Ikulu kulikuaje.Kuna muda huwa nataman JF wangekuwa wanafanyisha watu interview kabla hawajawa members,hii comment haina hadhi ya ki-JF kabisa
Mbona waziri Mkuu mstaafu wa Israel ambae ni pro NATO alikutana na Putin na kupatanisha?Hili ndio tatizo la watawala wengi wa Africa, hawana hata soni, President Ramaphosa ni pro putin, sasa utaweza vipi kuwa mpatanishi?wakati haupo neutral?pia ndani ya SA watu wanauliwa kwa wingi kuliko wanaokufa kwenye uvamizi huu wa russia, President H&H ameshauliwa vibaya kuwa sehemu ya ujumbe huu ila kudos kwake maana ameenda na ujumbe wa watu 12 tu,Why uingie na watu zaidi ya 150?armed to the teeth?,I lost respect kwa President CR
Upo brainwashed na sikulaumu, systems ndio imeleta uozo huu, na for your information bunge la SA lilitoa tamko la pro Russia, unapoandika humu elewa sio wote ni mazuzuRAISI wa Marekani akija na Airforce one na migari kibao na msafara wa walinzi zaidi ya 400 sawa, ila wa Africa akiwa na 100 ni Nongwa.
Pia Africa kusini yupo Neutral kwenye huu Mgogoro
Safi sana wanafiki hao,hlishawahi ona mtu anasukuhisha huku anapendelea upande?Mzozo wa kidiplomasia umeibuka baina ya nchi ya Poland na Afrika Kusini kwa kile kinachodaiwa ubaguzi wa rangi na mkuu wa kitengo cha ulinzi wa Rais Ramaphosa.
Kundi la walinzi zaidi ya 100 wa Rais Ramaphosa wakiwa kwenye ndege ya shirika la SAA wamezuliwa isivyotarajiwa na Mamlaka za Poland kuendelea na safari.
"...wametuzuia hapa hakika wanahatarisha usalama wa Rais ( Ramaphosa). Nataka muone walivyo wabaguzi wa rangi!"
Ramaphosa yupo Ukraine bila ulinzi mahsusi.
BBC
Latest informations kuhusiana na chartered plane hii,hata Russia yenyewe imekataa kuipa clearance!!,aibu inatakuwa irudi waterkloof kabla ya Sunday, hasara tupu!President H&H amesafiri na watu 12 tu na yupo safe