Poland imewazuia walinzi wa Ramaphosa kwenda Ukraine

Poland imewazuia walinzi wa Ramaphosa kwenda Ukraine

Ingekuwa mie ndiye Ramaphosa, kabla hata sijafika SA, hao walinzi wote kazi hawana. Sasa wanalinda nzi? Rais wao akiuawa, watajibu nini? Shame! Mnazuiwaje kwa mfano?

Wametudhalilisha sana Afrika. It means hawakuzungumza wakaelewana before waanze safari? Kwa nini Poland isione kwamba huo ujumbe wa Afrika ni kwa ajili ya maslahi na usalama wa Ukraine na Ulaya nzima?
Walitakiwa kupita Anga la kimataifa Italy ilizuia wakalazimika kutua Kwa dharula poland
 
Sudan kuna vurugu na shida. Kimbelele mpaka Ukraine wamejitakia sababu ya uroda wa safari na masifa yao. Watarudi bila mafanikio yoyote zaidi ya kunyanyaswa na kudharaulika. Afrika hamtambuliwi zaidi ya rasilimali na maliasili wazungu wanazozipata kiulaini kama dada poa mtaani sababu ya njaa uroho na wizi wa viongozi wetu.
Hovyo kabisa hao 😠😡🤬
 
Huyu jamaa Ramaphosa aache ushabiki na Russia manake uta mcost saana, kilichotokea ni kwamba wakati wako safarini Italy ilikataa ndege yake isipite juu ya anga lake, ikatokea kuzunguka almost more than 6 times mediteran ocean na baadae kuomba kutua Poland kwa zarura, na baada ya kutua poland security unit yoote ikapigwa pini more than 22 hrs kwenye ndege ya pamoja na mkuu wa usalama wa rais, hakuna alieruhusiwa kushuka tena wakaamrishwa na silaha zao zishushwe manake hawana kibal
Punguza upumbavu S.Afrika ni nchi huru na ina uhuru wa kufuata sera za kimataifa zinazo endana na maslahi yake.

S.Afrika hawezi acha kuisapoti Urusi hali ya kuwa kipindi cha utawala wa kibaguzi Urusi ndo ilikuwa dora kubwa pekee ulimwenguni iliyo kuwa inawasapoti watu weusi kupambana na makaburu, wakati akina Marekani walikuwa buse kuwasapoti makaburu walio kuwa wanawaona waafrika kama mavi.
 
Rais wa Marekani anawindwa na watu wengi sana hapa duniani, sasa nani ana haja yoyote na Ramaphosa?!
Ramaphosa hata akitembea hapa Kariakoo hakuna mtu atakayemjua atakayekuwa na habari naye.
daaah!! Hii ndo Aina ya binadamu tulionao Africa. hivi unaionaje SA.!!??
 
Group yote ya hao vimbelembele wana matatizo ya nishati, uhalifu, vita, kidemokrasia, amani, uporaji wa maliasili na rasilimali nchini mwao, halafu eti waenda kuamuwa ugomvi wa hao wazungu, tena NDUGU?!
BURE KABISA...😠😡🤬
 
Punguza upumbavu S.Afrika ni nchi huru na ina uhuru wa kufuata sera za kimataifa zinazo endana na maslahi yake.

S.Afrika hawezi acha kuisapoti Urusi hali ya kuwa kipindi cha utawala wa kibaguzi Urusi ndo ilikuwa dora kubwa pekee ulimwenguni iliyo kuwa inawasapoti watu weusi kupambana na makaburu, wakati akina Marekani walikuwa buse kuwasapoti makaburu walio kuwa wanawaona waafrika kama mavi.

Mjinga ni wewe ambae hata historia hauijui nipe mfano wa msaada wowote uliotoka enzi hizo Urusi kusaidia watu weusi, Urusi kuwa taifa kubwa hio haituhusu ni ujinga wao kugawanywa kwa akili iliotukuka kipindi cha cold war, na hapo ndio putin angekuwa na akili kwamba wenzao wanawaza mbal saana kama kipind kile tu walicheza game ya namna ile, nakushauri mshauri Ramaphosa kwanza ashughulikie umeme kwake apate taa, kisha kuna mizozo sudan, somalia, congo etc aachame na ngoma asizoziweza
 
Una mazi kichwani ww huna akili.

Kwa hiyo Marekani ambaye ni kiguna njia kwenye nchi za watu ndani kwake hakuna matatizo?
Kila mwaka maelfu ya Wamarekan wana kufa kutokana na ufwatulianaji wa risasi mbona asitatue hayo matatizo badala yake ndo bingwa wa kuingilia nchi nyingine?
 
Kwa sababu hujui business goes with death at a time thats all about making cash my sister makampuni yoote wauza silaha pale wanajua hilo
 
Mkuu pata upande wa pili wa story, Poland ni pro Ukraine na president CR ni pro putin, ni upuuzi kwa upande wa CR kwenda huko wakati hayupo neutral, 3 other African presidents wamekataa kwenda kwenye ule upuuzi
Wee ni tairaa sanaa raisi wa France anavyoendaa urusi aalikuwa neutral VP waziri mkuu wa ujerman vp viongozi wa EU au umekunywaa mbegee jinga kabisa
 
Rais wa Marekani anawindwa na watu wengi sana hapa duniani, sasa nani ana haja yoyote na Ramaphosa?!
Ramaphosa hata akitembea hapa Kariakoo hakuna mtu atakayemjua atakayekuwa na habari naye.
Kuna muda huwa nataman JF wangekuwa wanafanyisha watu interview kabla hawajawa members,hii comment haina hadhi ya ki-JF kabisa
 
Kuna muda huwa nataman JF wangekuwa wanafanyisha watu interview kabla hawajawa members,hii comment haina hadhi ya ki-JF kabisa
Kama unataka kujidanganya Ramaphosa ni level moja na Biden ni kwa ujinga na hasara yako. Waulize walioshuhudia ujio wa Bush au Obama hapa bongo watakueleza Airport na Ikulu kulikuaje.
 
Hili ndio tatizo la watawala wengi wa Africa, hawana hata soni, President Ramaphosa ni pro putin, sasa utaweza vipi kuwa mpatanishi?wakati haupo neutral?pia ndani ya SA watu wanauliwa kwa wingi kuliko wanaokufa kwenye uvamizi huu wa russia, President H&H ameshauliwa vibaya kuwa sehemu ya ujumbe huu ila kudos kwake maana ameenda na ujumbe wa watu 12 tu,Why uingie na watu zaidi ya 150?armed to the teeth?,I lost respect kwa President CR
Mbona waziri Mkuu mstaafu wa Israel ambae ni pro NATO alikutana na Putin na kupatanisha?
Mbona macron anapatanisha alienda Hadi china?
 
RAISI wa Marekani akija na Airforce one na migari kibao na msafara wa walinzi zaidi ya 400 sawa, ila wa Africa akiwa na 100 ni Nongwa.

Pia Africa kusini yupo Neutral kwenye huu Mgogoro
Upo brainwashed na sikulaumu, systems ndio imeleta uozo huu, na for your information bunge la SA lilitoa tamko la pro Russia, unapoandika humu elewa sio wote ni mazuzu
 
Latest informations kuhusiana na chartered plane hii,hata Russia yenyewe imekataa kuipa clearance!!,aibu inatakuwa irudi waterkloof kabla ya Sunday, hasara tupu!President H&H amesafiri na watu 12 tu na yupo safe
 
Mzozo wa kidiplomasia umeibuka baina ya nchi ya Poland na Afrika Kusini kwa kile kinachodaiwa ubaguzi wa rangi na mkuu wa kitengo cha ulinzi wa Rais Ramaphosa.

Kundi la walinzi zaidi ya 100 wa Rais Ramaphosa wakiwa kwenye ndege ya shirika la SAA wamezuliwa isivyotarajiwa na Mamlaka za Poland kuendelea na safari.

"...wametuzuia hapa hakika wanahatarisha usalama wa Rais ( Ramaphosa). Nataka muone walivyo wabaguzi wa rangi!"

Ramaphosa yupo Ukraine bila ulinzi mahsusi.

BBC
Safi sana wanafiki hao,hlishawahi ona mtu anasukuhisha huku anapendelea upande?

Kwanza Zele angewapiga Pini wasije kabisa
 
Latest informations kuhusiana na chartered plane hii,hata Russia yenyewe imekataa kuipa clearance!!,aibu inatakuwa irudi waterkloof kabla ya Sunday, hasara tupu!President H&H amesafiri na watu 12 tu na yupo safe

Fafanua vizur mkuu
 
Back
Top Bottom