Poland yasema kuna shinikizo/pressure kali sana isemwe kombora lilipigwa na maskini Urusi

Poland yasema kuna shinikizo/pressure kali sana isemwe kombora lilipigwa na maskini Urusi

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Japo uchunguzi unaendelea, wote wakiwemo Warusi na Ukraine wamealikwa kwenye eneo la tukio, ila Poland inasema kuna presha kali sana kwamba isemwe kombora ni la Mrusi, yaani maskini Mrusi ametamaniwa sana, ametafutiwa sababu kwa kila namna na asipokua makini hii itamponza.....
Kwa sasa hivi Urusi imelemazwa na kataifa ka Ukraine kiasi kwamba hata Poland haitahitaji msaada wa NATO kuigaragaza Urusi, inaipiga mwenyewe.

Polish authorities warned Thursday that they have received "strong pressure" to admit that the projectile that fell Tuesday in the east of the country came from Russia and not Ukraine.
The Polish deputy foreign minister, Arkadiusz Mularczyk, said in an interview with Radio 24 that "there has been great pressure" and stressed that, if it were Russian, "this would have set in motion new dynamics in the country and around the world".

In this sense, he expressed his greatest sympathy with the families of the two fatalities registered as a result of the fall of the missile and stressed that, "unfortunately, everything points to the fact that it was an unfortunate accident and not an intentional act on the part of Russia".

On Thursday, the Ukrainian president, Volodimir Zelenski, indicated that Kiev has received an invitation to join a special international commission investigating the circumstances of the fall of the missile, according to the Ukrinform news agency.

"Yesterday we insisted that we should be included in this commission. Indeed, our experts will go to the scene and join the investigating community," he said, adding that no one is "one hundred percent sure" who is behind the launch.

Currently there is already a team of Polish and American investigators working in the area, as confirmed by an advisor to the president, Andrzej Duda, who has also ruled out that it was an intentional attack against Poland.
 
Hakuna wa kuingia Vitani na Urusi hapo, akili yenu mnahisi Urusi yuko vitani na Ukraine?
Basi acha nchi moja ya NATO ijipendekeze ndio utajua vita vinakuwaje Duniani.
Hata kwa Saddam Husein kuna wenzio walisema hivyohivyo huku wanakuna sharubu.Si huyo tu.Hata Afghanstan kule.Jamaa wenye midevu walisimama milimani Torabora huku wanafyatua risasi kutoka kwenye AK 47 zao na kusema hawawezekani.Wamarekani wakaingia na kuwaharibuharibu.Hadithi inaendelea.
 
Ni kweli kombora lilipigwa na Urusi lakini bahati mbaya shoga mkuu ambae ni Marekani amewataka LGBTQ wenzake wamsingizie Ukraine ili kuepuka makabiliano ya moja kwa moja na Russia.

Marekani, Uingereza, Ujerumani na Ufaransa wamekubaliana kufanya lolote ili ionekane sio Urusi alirusha hilo kombora.... Hakuna mnato anayetaka kudumbukia kwenye black hole
 
Urusi alikua wa kwanza kuwahi na kulialia kwamba anabambakiziwa bomu ili achonganishwe.
 
Hakuna wa kuingia Vitani na Urusi hapo, akili yenu mnahisi Urusi yuko vitani na Ukraine?
Basi acha nchi moja ya NATO ijipendekeze ndio utajua vita vinakuwaje Duniani.
Story haina ukweli ikiwa Biden mwenyewe siku ya kwanza kasema sio Russia sasa wangemuuliza kajuaje
 
Hata kwa Saddam Husein kuna wenzio walisema hivyohivyo huku wanakuna sharubu.Si huyo tu.Hata Afghanstan kule.Jamaa wenye midevu walisimama milimani Torabora huku wanafyatua risasi kutoka kwenye AK 47 zao na kusema hawawezekani.Wamarekani wakaingia na kuwaharibuharibu.Hadithi inaendelea.
Kwani nani anaongoza Afghanistan sasa hivi. Si hao hao walokuwa torabora. What did America accomplish in Afghanistan. Nothing. Mnadanganywa na media zao mnahisi ni miungu watu.
 
Mtoa mada usichokielewa ni kuwa uwo umoja wao ni wa mchongo yani france au germany wakubali miki yao igeuzwa kuwa makazi ya nguchiro kwa ajili ya poland serious? yani Russia anaweza akaivamia kabisa poland na wenzake wasifanye chochote wazungu ni wanafki inapokuja kwenye mustakabali wa nchi zao wanazoziongoza maisha ya ulaya na utamu wake yale yote yapotee kwa ajili ya poland[emoji23][emoji23][emoji23] waota weye
 
Kwani nani anaongoza Afghanistan sasa hivi. Si hao hao walokuwa torabora. What did America accomplish in Afghanistan. Nothing. Mnadanganywa na media zao mnahisi ni miungu watu.
Kuongoza?Sasa ulitaka waongoze Waamerika?Unaongoza huku umeharibiwa kila kitu?Siyo ujinga huo?Mmarekani ni muharibifu.Kaharibu na kuondoka.Kwisha!
 
Kuongoza?Sasa ulitaka waongoze Waamerika?Unaongoza huku umeharibiwa kila kitu?Siyo ujinga huo?Mmarekani ni muharibifu.Kaharibu na kuondoka.Kwisha!
Kaharibu nn, mbona na yeye aliharibiwa mipango yake akaona akimbie tu.
 
Waongo hata kama ni ya Mrusi hakuna atakaye sogeza pua yake pale.

Mrusi dunia nzima inamuogopa sio Nato tu.
Ndio maana tulichagua kutofungamana!,aliona mbali[emoji116]
JamiiForums920307679.jpg
 
Back
Top Bottom