Poland yasema kuna shinikizo/pressure kali sana isemwe kombora lilipigwa na maskini Urusi

Poland yasema kuna shinikizo/pressure kali sana isemwe kombora lilipigwa na maskini Urusi

Kwani nani anaongoza Afghanistan sasa hivi. Si hao hao walokuwa torabora. What did America accomplish in Afghanistan. Nothing. Mnadanganywa na media zao mnahisi ni miungu watu.
kuna mamb huwa mnajadili kiushabiki sana ,pale Afghanstan siku chache kabla ya TALEBAN kuanza kupigana na serikali yao tuliona serikali ikipishana kauli na USA na Trump alisema anaondoa majeshi yake kisha tukaona magaidi yakiingia mjin kuipiga serikali ya Ghan
 
Mtoa mada usichokielewa ni kuwa uwo umoja wao ni wa mchongo yani france au germany wakubali miki yao igeuzwa kuwa makazi ya nguchiro kwa ajili ya poland serious? yani Russia anaweza akaivamia kabisa poland na wenzake wasifanye chochote wazungu ni wanafki inapokuja kwenye mustakabali wa nchi zao wanazoziongoza maisha ya ulaya na utamu wake yale yote yapotee kwa ajili ya poland[emoji23][emoji23][emoji23] waota weye
ww usiye juwa hata kuzungumzia mgao wa Umeme unahisi kila mtu ana akili fupi km yako , wenzio wanatambua kumwacha member ashambuliwe inaua ushirikiano , ila ww upo bize kumtetea Urusi huku black mwenzio akipelekwa vitan bila ridhaa yake na kupelekea kifooo
 
Kaharibu nn, mbona na yeye aliharibiwa mipango yake akaona akimbie tu.
Urusi akifanikiwa kukushinda anameza taifa lako linakuwa Urusi ila USA anafuata anachohitaj anakuachia nchi yako
 
pro Russia ndo wanaongoza kwa kuwaza ushoga inaonesha mnafirw@ sana , achen ushetan huo kinyeo kwa ajili ya haja kubwa tu
Mnajuana kwa vilemba........teh ongeza povu ila tunawajua nyie minato na mambo yenu
images.jpeg-87.jpg
 
Kama Russia anavyoharibu Ukraine na kuondoka eeh?
anatuletea ukolon huyo ndio maan siwaung mkono , uvamiz ambao hauna hata sabab za msing kila siku anabadili sabab
 
Hata kwa Saddam Husein kuna wenzio walisema hivyohivyo huku wanakuna sharubu.Si huyo tu.Hata Afghanstan kule.Jamaa wenye midevu walisimama milimani Torabora huku wanafyatua risasi kutoka kwenye AK 47 zao na kusema hawawezekani.Wamarekani wakaingia na kuwaharibuharibu.Hadithi inaendelea.
Kwahiyo Russia unailinganisha na Afghanistan? Kuwa serious basi
 
Kuna madhaifu makubwa Urusi imeyaonyesha kijeshi hapo Ukraine wote tulitarajia nguvu yake ya kutisha angeionyesha hapo...Amechemka sana na ni aibu lakini Siku NATO IKIJARIBU narudia kujaribu kuishambulia Urusi hata wewe unaeandika ushabiki jua kabisa umekwisha...Watapiga Nuclear na Biashara Yooote ya Dunia itakua imeisha.
 
Japo uchunguzi unaendelea, wote wakiwemo Warusi na Ukraine wamealikwa kwenye eneo la tukio, ila Poland inasema kuna presha kali sana kwamba isemwe kombora ni la Mrusi, yaani maskini Mrusi ametamaniwa sana, ametafutiwa sababu kwa kila namna na asipokua makini hii itamponza.....
Kwa sasa hivi Urusi imelemazwa na kataifa ka Ukraine kiasi kwamba hata Poland haitahitaji msaada wa NATO kuigaragaza Urusi, inaipiga mwenyewe.

Polish authorities warned Thursday that they have received "strong pressure" to admit that the projectile that fell Tuesday in the east of the country came from Russia and not Ukraine.
The Polish deputy foreign minister, Arkadiusz Mularczyk, said in an interview with Radio 24 that "there has been great pressure" and stressed that, if it were Russian, "this would have set in motion new dynamics in the country and around the world".

In this sense, he expressed his greatest sympathy with the families of the two fatalities registered as a result of the fall of the missile and stressed that, "unfortunately, everything points to the fact that it was an unfortunate accident and not an intentional act on the part of Russia".

On Thursday, the Ukrainian president, Volodimir Zelenski, indicated that Kiev has received an invitation to join a special international commission investigating the circumstances of the fall of the missile, according to the Ukrinform news agency.

"Yesterday we insisted that we should be included in this commission. Indeed, our experts will go to the scene and join the investigating community," he said, adding that no one is "one hundred percent sure" who is behind the launch.

Currently there is already a team of Polish and American investigators working in the area, as confirmed by an advisor to the president, Andrzej Duda, who has also ruled out that it was an intentional attack against Poland.
The US won’t sacrifice Chicago for Warsaw’: Russian experts explain why NATO brushed the Poland missile incident under the carpet FEATURE
find out more.
 
The US won’t sacrifice Chicago for Warsaw’: Russian experts explain why NATO brushed the Poland missile incident under the carpet FEATURE
find out more.

Subirini uchunguzi, acheni mbwembwe, Mrusi mnayemuabudu keshaanza kuhaha kwa kujitetea kwamba sio yeye.
 
Back
Top Bottom