MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
- Thread starter
- #81
Endelea kujipa moyo huku barafu zinawamaliza hii ndio maana ya "vita baridi"
Naomba pro-Urusi mmoja ajitokeze na kuniaminisha huyu Urusi bado ni yule yule tuliyemuogopa, na kwamba huu udhaifu wote alioonyesha ni mtego tu na sio uhalsia.