Nature
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 830
- 2,241
Kama Russia anavyoharibu Ukraine na kuondoka eeh?Kuongoza?Sasa ulitaka waongoze Waamerika?Unaongoza huku umeharibiwa kila kitu?Siyo ujinga huo?Mmarekani ni muharibifu.Kaharibu na kuondoka.Kwisha!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama Russia anavyoharibu Ukraine na kuondoka eeh?Kuongoza?Sasa ulitaka waongoze Waamerika?Unaongoza huku umeharibiwa kila kitu?Siyo ujinga huo?Mmarekani ni muharibifu.Kaharibu na kuondoka.Kwisha!
Hamna kitu unaelewa ww. Umekaririshwa mambo.Unauliza maswali ya hovyo kabisa.Unaishi Iraq au Afghanstan kwa wakulima na wala madawa ya kulevya?
Sasa mbona mnaumia sana kinachofanyika Ukraine?? Au ndio ule msemo usemao mkuki kwa nguruwe....Kuongoza?Sasa ulitaka waongoze Waamerika?Unaongoza huku umeharibiwa kila kitu?Siyo ujinga huo?Mmarekani ni muharibifu.Kaharibu na kuondoka.Kwisha!
Ukisoma neno kwa neno,unaona wapi naumia?Ukisema sijaoga siku tano,sawa!Sasa mbona mnaumia sana kinachofanyika Ukraine?? Au ndio ule msemo usemao mkuki kwa nguruwe....
Weye ndiyo unadanganywa na redio China na Teevee za Warusi.Hamna kitu unaelewa ww. Umekaririshwa mambo.
Inategemea na weye unavyoliangalia jambo.Kama Russia anavyoharibu Ukraine na kuondoka eeh?
🤣🤣🤣🤣Kuteseka kwa zamu. Endelea kuteseka.Ukisoma neno kwa neno,unaona wapi naumia?Ukisema sijaoga siku tano,sawa!
Kuna vinchi viwili duniani OTAN hawawez kuingia kichwa kichwa, north korea na russia, sahau kabisa hawa watu kuguswa hovyoJapo uchunguzi unaendelea, wote wakiwemo Warusi na Ukraine wamealikwa kwenye eneo la tukio, ila Poland inasema kuna presha kali sana kwamba isemwe kombora ni la Mrusi, yaani maskini Mrusi ametamaniwa sana, ametafutiwa sababu kwa kila namna na asipokua makini hii itamponza.....
Kwa sasa hivi Urusi imelemazwa na kataifa ka Ukraine kiasi kwamba hata Poland haitahitaji msaada wa NATO kuigaragaza Urusi, inaipiga mwenyewe.
Polish authorities warned Thursday that they have received "strong pressure" to admit that the projectile that fell Tuesday in the east of the country came from Russia and not Ukraine.
The Polish deputy foreign minister, Arkadiusz Mularczyk, said in an interview with Radio 24 that "there has been great pressure" and stressed that, if it were Russian, "this would have set in motion new dynamics in the country and around the world".
In this sense, he expressed his greatest sympathy with the families of the two fatalities registered as a result of the fall of the missile and stressed that, "unfortunately, everything points to the fact that it was an unfortunate accident and not an intentional act on the part of Russia".
On Thursday, the Ukrainian president, Volodimir Zelenski, indicated that Kiev has received an invitation to join a special international commission investigating the circumstances of the fall of the missile, according to the Ukrinform news agency.
"Yesterday we insisted that we should be included in this commission. Indeed, our experts will go to the scene and join the investigating community," he said, adding that no one is "one hundred percent sure" who is behind the launch.
Currently there is already a team of Polish and American investigators working in the area, as confirmed by an advisor to the president, Andrzej Duda, who has also ruled out that it was an intentional attack against Poland.
MSN
www.msn.com
Khaa!Sasa mimi niteseke kwa niaba ya watu wengine.Umeanza kufikiri kwa kutumia magoti aisee!🤣🤣🤣🤣Kuteseka kwa zamu. Endelea kuteseka.
Kitu gani kinakufanya ufurahie kuona Afghanistan na Iraq nchi zao zikiaribiwa na NATO?Khaa!Sasa mimi niteseke kwa niaba ya watu wengine.Umeanza kufikiri kwa kutumia magoti aisee!
Kwa sababu huwa sipendi mtu mjinga na dhaifu kujifanya/kujilinganisha na mbabe mwenye akili,maarifa,mbinu na mkatili.Kitu gani kinakufanya ufurahie kuona Afghanistan na Iraq nchi zao zikiaribiwa na NATO?
Mbona ufurahii anachokifanya Russia Ukraine?? Maana hakuna tofauti na na walichokifanya NATO Iraq na afghanistanKwa sababu huwa sipendi mtu mjinga na dhaifu kujifanya/kujilinganisha na mbabe mwenye akili,maarifa,mbinu na mkatili.
Sasa Urusi analingana na USA kwa lipi?Urusi anatafutwa kimtindo kama Iraq alivyovamia Kuwait miaka hiyo(ya 1990's).Atajaa tu.Labda ashtukie mchezo.Mbona ufurahii anachokifanya Russia Ukraine?? Maana hakuna tofauti na na walichokifanya NATO Iraq na afghanistan
Ndio maana nasema endelea tu Kuteseka,Sasa Urusi analingana na USA kwa lipi?Urusi anatafutwa kimtindo kama Iraq alivyovamia Kuwait miaka hiyo(ya 1990's).Atajaa tu.Labda ashtukie mchezo.
Anatafutwa kivipi? Kwani hamuoni anavyojimegea maeneo Ukraine??Sasa Urusi analingana na USA kwa lipi?Urusi anatafutwa kimtindo kama Iraq alivyovamia Kuwait miaka hiyo(ya 1990's).Atajaa tu.Labda ashtukie mchezo.
Unapenda tu kuandikaandika.Sijui kama unaelewa chochote au chuki inakuongoza dhidi ya USA?Ndio maana nasema endelea tu Kuteseka,
Una uhakika wa kunywa chai leo?? Maana naona unahaha sanaUnapenda tu kuandikaandika.Sijui kama unaelewa chochote au chuki inakuongoza dhidi ya USA?
Nawaza niwanunulie kitafunwa gani watoto wenzio ninaowafuga hapa kwangu.Nasisitiza "kwangu"!Sijapanga nyumba ya mtu.Una uhakika wa kunywa chai leo?? Maana naona unahaha sana
Aliyekuwa wa kwanza kuitetea Urusi ni Biden... Tena aliposikia zelensky akisema kombora limetokea Urusi, fasta alinyanyua simu kumuonya anyamaze asije kuwaingiza wanaNATO matatizoni.Urusi alikua wa kwanza kuwahi na kulialia kwamba anabambakiziwa bomu ili achonganishwe.