Pole Catherine Magige, hii iwe fundisho kwa wadada maarufu nchini

Du. Mbona utanifanya nifunge safari mkuu. Kumbe hata kupatikana wanapatikana? Mimi nilidhani ni waheshimiwa hata kuongea nayo ni vigumu. Pengine ukiwa tena na noti ya kutosha na gari ''linalosomeka'' unaweza kuwapanga mstari? 🤣 🤣
Waheshimiwa ndiyo rahisi kupata, maana wengi wanawaogopa. Pia wanawaogopa waheshimiwa wenzao waliyooa. wakifanya mzaha kesi zitinga bungeni...AAAIIIBUU!
 
Mwanaume halisi na mwenye kisu hahangaiki na kuomba namba dm...yaan automatic utajikuta unapata wepesi tu kupata namba yake!yaan unaletewa tu namb! Masuala ya kuombana namba ni dalili kuu ya ww maisha kuunga unga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah
 
Nani kakwambia wabunge hawana njaa. Nenda kwenye mabenki uone mikopo wanayodaiwa.

Vicky kamata alikua mbunge ila saiv anagombania urithi na wanae wa kambo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan mie huwa nachoka hapo tyuuh.
 
Mnaosema Cathy hata nyinyi mngekubali?mtu anafatilia talaka keshamtolea mahari na pete ya uchumba inasubiriwa talaka itoke tu aolewe.

Imetokea haya ungekubali kuzuiliwa kwenda kumzika?Upande wa Aziza haukuwa na busara na Cathy kuombeleza kwake ni jambo la kawaida tu wala haikuwa swala la kushindana kuonyeshana nani ni nani wangemuacha tu akazika mchumba wake na siyo vita.
 
Huyu binti hana tofauti na yule mwanamama aliyeimba 'wanawake na maendeleo'...kazi kuiba waume za watu, maana naye mwanaume aliyemkwiba kashawahi namba...

Sasa lile mama linavyolia utadhani huyo mume ni high school sweetheart, wakati kamkwiba kwa mwanamke mwenzie ambaye sasa anaishi kwa tabu...
 
Magige si wa kupewa pole. Kwanza, inashangaza mbunge mzima anafanya mambo ambayo hata mtu asiyeitwa mheshimiwa hawezi kufanya kana kwamba hakwenda shule. Kama alikuwa akimpenda si angemuoa? Je kwanini marehemu na Magige hawakumaliza sakata moja na kuoana badala ya kuanza kufanya uhuni? Kutengana si kuvunja ndoa.

Walipaswa wavunje ndoa kwanza ili wawe na uhuru wa kuoa na kuolewa. Huyu ni mhuni wa kawaida ambaye huenda amekuwa chanzo cha wawili waliokuwa mke na mme kukosana. Huyu anaweza kuonekana kama ni gold digger tu ambaye ameamua kuvuruga ndoa ya wenzake ili apate yeye. Sitaki nimhukumu kwani sijui stori nzima ila hili haliepukiki kwa vile walivyojiamini bila kuvunja ndoa ya kwanza.
 
Tatizo pia Cath Ana historia chafu. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ukahaba na kupola Waume wa wengi. Alimpola shigela kwa mtu. Kagesheki akawa mke wa 2
Ni huyu Shigella mkuu wa mkoa? Kama ni huyu mbona hatari kwasababu huwa naona kama afya yake si nzuri sana. Hata mzee wetu Balozi anaonekana kama vile hayupo stable sana kiafya ingawa sina uhakika labda ni kwasababu ya umri.
 
Nimeshangaa kusikia caty anaitwa mke ilihali bado yuko kwenye mazingira ya hawara
 
Wazuri hawaolewi na Ndio Hivyo Yuko siasani. Mungu hakupi Vyote Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…