Pole Catherine Magige, hii iwe fundisho kwa wadada maarufu nchini

Pole Catherine Magige, hii iwe fundisho kwa wadada maarufu nchini

Wanaume wenye mahawara wanapaswa kujua madhira wanayowasababishia watoto na wake zao baada ya kufa. Ni aibu na ujinga mtupu ukiachia mbali ubinafsi. Angekuwa anafaa si angemuoa badala ya kumweka kinyumba.

πŸ‘ŒπŸ‘ŒπŸ‘ŒπŸ‘ŒπŸ‘ŒπŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Hivi hawa wanawake wanaopewa viti Maalum huko CCM wanapatikanaje , mbona huyu Catherine Magige haonekani kuwa na hadhi ya ubunge ? Anagombea maiti ya Mume wa mtu ili iweje ?

Kuna video inazunguka huko mitandaoni hadi aibu , nitajaribu kuidukua ili mjionee wenyewe .
 
Hivi hawa wanawake wanaopewa viti Maalum huko ccm wanapatikanaje , mbona huyu Catherine Magige haonekani kuwa na hadhi ya ubunge ? anagombea maiti ya Mume wa mtu ili iweje ?

Kuna video inazunguka huko mitandaoni hadi aibu , nitajaribu kuidukua ili mjionee wenyewe .
Faili lake kichama lilikuwa safi Mkiti kapitisha
 
Chombo ya fundi
images%20(2).jpeg
 
Aibu alizoleta mbunge wa Viti Maalum wa ccm Magige kwenye Msiba wa anayedaiwa ni Mchumba wake zinabebwa na nani ?
Kwanini umeitaja CCM kwa matendo maovu ya mhusika binafsi? Hata kama angekuwa ni wa CHADEMA, aibu ya mbunge ni aibu kwa taifa zima kwa maana analipwa/alikuwa analipwa kupitia kodi za watanzania wote.
 
Back
Top Bottom