Pole Catherine Magige, hii iwe fundisho kwa wadada maarufu nchini

Pole Catherine Magige, hii iwe fundisho kwa wadada maarufu nchini

[emoji16][emoji16]kabisa mkuu...Mpaka sasa najiuliza anafeli wap? Uzuri wote hana mume halali? Huenda ana shida kwenye K yake ndio maana vijeba kambi hazidumu hapo.
Hivi kuna tofauti kati ya urembo na uzuri?
Ninachojua Ni Kwamba Warembo ndiyo hawaolewi ( labda) ila wazuri wanaolewa[emoji119][emoji119][emoji119]
 
Only in Tanzania mchepuko anapigania haki apewe msiba wakati Mke halali yupo hai na mbaya zaidi ni mtunga sheria lakini ndiyo wa kwanza kuvunja sheria [emoji849]
Halafu ni Mbunge wa JMT anayeshuriki utungwaji wa Sheria na kutatua kero zs wananchi!!
 
Wanagombania mfu wakati wengine wako hai lakini wanakimbiwa.

Not fair
Hivi unadhani wanagombania mfu? hapo watu wanagombania vilivyoachwa maskini hagombewi, Kujifunza hapa tumia tu siku ukifa wacha wagaombanie madeni ndio utajuwa mapenzi ya kweli.
 
Ila huyo sijui ndio mke wewe mume alikukimbia bado uko hai kafa unagombania maiti sio haki kama alikukataa bado mzima hawezi kukubali akiwa kafa huyo sio wako hapo watu wanawaza mirathi tu hakuna mapenzi mtu kafa anakusaidia nini? hukuwa na ujanja wakati mumeo yuko hai leo unamlilia TZ hatari sana na vituko haviishi.
 
Tupo akina sie wengine tunaweza kuipiga punane yake fleeeeeshi kabisa....
aache ugonvi
 
Wakati kwa wenzetu wazungu marehemu huzikwa na makampuni ya mazishi sisi huku tunapigania maiti!
Wazungu utakuta mbwa wa marehemu tu analia hawana habari mambo ya mirathi maana unaweza kukutana na madeni huko ukamkana marehemu.
 
Dada wa marehem Katika mahojiano amesema marehemu alifungua Shauri mahakamani ijumaa kudai talaka Kwa Aziza ili amuoe huyo Catherine.

Na Kwa mujibu wa huyo dada,marehemu hajaugua,inawezekana hapo imetumika ile falsafa ya wawanawake "tukose wote "
Hatari hii isije kuwa na faulo hapo isije kuwa technical faul hapa inahitaji VAR
 
😁😁kabisa mkuu...Mpaka sasa najiuliza anafeli wap? Uzuri wote hana mume halali? Huenda ana shida kwenye K yake ndio maana vijeba kambi hazidumu hapo.
Mwanamke tabia bwana mimi nakumbuka nilikuwa na class mate alikuwa bomba sana shule yuko top 10 nilikuja kushangaa kusikia alikuja kuolewa yuko 45 huko. Hapa ni funzo uzuri sio kila kitu maana kuwa mzuri ina maana majaribio mengi ukiyaweza hayo basi thamani yako inapanda mara 100 unakuwa ume add value beuty+tabia= perfect.
 
Hivi unadhani wanagombania mfu? hapo watu wanagombania vilivyoachwa maskini hagombewi, Kujifunza hapa tumia tu siku ukifa wacha wagaombanie madeni ndio utajuwa mapenzi ya kweli.
Sasa ntakuwa nshakufa nitajuaje?
 
Back
Top Bottom