Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Hivi kuna tofauti kati ya urembo na uzuri?[emoji16][emoji16]kabisa mkuu...Mpaka sasa najiuliza anafeli wap? Uzuri wote hana mume halali? Huenda ana shida kwenye K yake ndio maana vijeba kambi hazidumu hapo.
Kwa hii hoja yako mbona taifa litatakiwa kubeba aibu za watumishi wote wa umma. Mpaka mtunza bustani wa Halmashauri simply kwakua analipwa kwa kodi za watanzania wote.aibu ya mbunge ni aibu kwa taifa zima kwa maana analipwa/alikuwa analipwa kupitia kodi za watanzania wote.
Hi there minjiKwa lemutu the brand instagram amepost kabisa video full ya tukio
Mkuu umesahau makubaliano yetu kwenye ule mkutano mkuu wa 123 ajenda namba 7 tulikubaliana wanawake wa aina hii hatuoi ni kupiga na kusepa?Mbona hajawahi kuchumbiwa mpaka leo hii ana miaka arobaini na usheee?
Link boss pleaseKwa lemutu the brand instagram amepost kabisa video full ya tukio
Halafu ni Mbunge wa JMT anayeshuriki utungwaji wa Sheria na kutatua kero zs wananchi!!Only in Tanzania mchepuko anapigania haki apewe msiba wakati Mke halali yupo hai na mbaya zaidi ni mtunga sheria lakini ndiyo wa kwanza kuvunja sheria [emoji849]
Hivi unadhani wanagombania mfu? hapo watu wanagombania vilivyoachwa maskini hagombewi, Kujifunza hapa tumia tu siku ukifa wacha wagaombanie madeni ndio utajuwa mapenzi ya kweli.Wanagombania mfu wakati wengine wako hai lakini wanakimbiwa.
Not fair
Watu wako season 3 ya covid nyinyi bado mko Isidingo ni kama ugonjwa wa kisukari tu maisha yanaenda haraka.Kweli kabisa. Ndiyo maana hata ile ''grid ya taifa'' inakuwamba wengi.
Sio wanawake,aibu ni kwenu wanaumeAibu kwa wanawake wote
Wazungu utakuta mbwa wa marehemu tu analia hawana habari mambo ya mirathi maana unaweza kukutana na madeni huko ukamkana marehemu.Wakati kwa wenzetu wazungu marehemu huzikwa na makampuni ya mazishi sisi huku tunapigania maiti!
TRA ni chaka la kupata mitaji.
Hatari hii isije kuwa na faulo hapo isije kuwa technical faul hapa inahitaji VARDada wa marehem Katika mahojiano amesema marehemu alifungua Shauri mahakamani ijumaa kudai talaka Kwa Aziza ili amuoe huyo Catherine.
Na Kwa mujibu wa huyo dada,marehemu hajaugua,inawezekana hapo imetumika ile falsafa ya wawanawake "tukose wote "
Mwanamke tabia bwana mimi nakumbuka nilikuwa na class mate alikuwa bomba sana shule yuko top 10 nilikuja kushangaa kusikia alikuja kuolewa yuko 45 huko. Hapa ni funzo uzuri sio kila kitu maana kuwa mzuri ina maana majaribio mengi ukiyaweza hayo basi thamani yako inapanda mara 100 unakuwa ume add value beuty+tabia= perfect.ππkabisa mkuu...Mpaka sasa najiuliza anafeli wap? Uzuri wote hana mume halali? Huenda ana shida kwenye K yake ndio maana vijeba kambi hazidumu hapo.
Sasa ntakuwa nshakufa nitajuaje?Hivi unadhani wanagombania mfu? hapo watu wanagombania vilivyoachwa maskini hagombewi, Kujifunza hapa tumia tu siku ukifa wacha wagaombanie madeni ndio utajuwa mapenzi ya kweli.
Utajuwa tu si umekopa wakati uko hai wao watajuwa siku ya kusomwa mirathi tu.Sasa ntakuwa nshakufa nitajuaje?