Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Sema ana lips flani amaizing, naona lips imeandika kopa....Hapa amekaa kuitwa Katarina tu mkorogo , yani yuko mawindoni . Nasa unase kisha unaswe ๐๐๐๐๐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema ana lips flani amaizing, naona lips imeandika kopa....Hapa amekaa kuitwa Katarina tu mkorogo , yani yuko mawindoni . Nasa unase kisha unaswe ๐๐๐๐๐
Mkuu umesahau makubaliano yetu kwenye ule mkutano mkuu wa 123 ajenda namba 7 tulikubaliana wanawake wa aina hii hatuoi ni kupiga na kusepa?
Daaaah!Aisee huyu shost na waume za watu damu damu, tangu enzi na enzi.
Hao wanawake miongoni mwao sio mimi!Aibu kwa wanawake wote
๐ค ๐ค ๐คTatizo pia Cath Ana historia chafu. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ukahaba na kupola Waume wa wengi. Alimpola shigela kwa mtu. Kagesheki akawa mke wa 2
Hata ma high schoolswewtheart hatuwalilii tena Mtani!Huyu binti hana tofauti na yule mwanamama aliyeimba 'wanawake na maendeleo'...kazi kuiba waume za watu, maana naye mwanaume aliyemkwiba kashawahi namba...
Sasa lile mama linavyolia utadhani huyo mume ni high school sweetheart, wakati kamkwiba kwa mwanamke mwenzie ambaye sasa anaishi kwa tabu...
Walizidunda na nani sijui kisa Nape.Tatizo pia Cath Ana historia chafu. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ukahaba na kupola Waume wa wengi. Alimpola shigela kwa mtu. Kagesheki akawa mke wa 2
Akachemsha ,akamtaliki.Ila kuna taarifa mh.balozi Kagasheki alimuoa kabisa uyo mh.Catheline.
Mwanaume halisi na mwenye kisu hahangaiki na kuomba namba dm...yaan automatic utajikuta unapata wepesi tu kupata namba yake!yaan unaletewa tu namb! Masuala ya kuombana namba ni dalili kuu ya ww maisha kuunga unga
Baba lilikuwa handsome na mishiko kama yote ndo maana Cat anawakaa
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Hahahahahhaa....dah...wanaume mna kazi walah!Angekua na pesa connection za namba huanzia kwa steve nyerere halafu angekua na pesa wangekutana tu sasa mwenzake anakunywa whisky class, yeye anaenda viwanja vya komoni wataonana wapi
Duh..hebu itupie hapa mkuuNimeona video mke wa madoda katupa shada aliloweka cathe
SaanaUmenena kitaalam
Hawa ndio wale wenye nuksi. Ukipiga Kama ulikua unagombea urais, urais utaukosa, Kama Ni mtanyakazi utatumbuliwa, Kama Ni mfanyabiashara utafilisika au utakufa, Kama ulikua waziri, uwaziri huupati Tena.Mkuu umesahau makubaliano yetu kwenye ule mkutano mkuu wa 123 ajenda namba 7 tulikubaliana wanawake wa aina hii hatuoi ni kupiga na kusepa?
Haya ndio matitizo ya sheria za ndoa, moja ktk ndoa akishasema sitaki hii ndoa ktk uhalisia hakuna ndoa, Talaka ziishie kwa Wakili wa serikali hakuna kupeleka mahakamani, Hapo huyo mwanamke aliyeachwa anapigania pesa na mali za Jamaa alizoacha hakuna kingine, Mwanaume alishamkataa akiwa hai leo anagombania maiti?. Na ktk ndoa kila mali ziwe na majina ya mwenye mali hakuna mali za familia, wanawake wa sasa mume akishakua na pesa kidogo waanzisha vurugu ili mume afe wachukue pesa, lazima wabunge wabadilishe hizi sheria tuwe na sheria kama za China na Ulaya. Hata Bill Gate yalimshinda akabwaga manyangaMbune Catherine Magige amekuwa akiishi na kijana Madoda Ex TRA Staff ambae alikuwa mkulima na pia anamilili kampuni ya mikopo. Madoda walitengana na mke wake waliezaa watoto watatu kabla ya umauti haujamkuta. Walianza maisha na mkewe na Mungu aliwabariki kufikia walipofikia.
Walitofautiana kwenye mambo ya kimapenzi hivyo walitengana less than two years ago, they were still working on official separation/divorce lakini ilikuwa bado haijatoka. Marehemu Madoda kama mwanamke alikuwa na haki zote zakuwa na girlfriend ambapo bahati ilimuangukia Catherine Magige ambalo ni jambo jema kabisa. Kwa bahati mbaya sana mambo yakiwa hayajakamilika pande zote bwana Madoda umauti ulimkuta ghafla akiwa kwenye mahusiano motomoto na Catherine.
Catherine aliona ana haki zote za ku-host msiba wa Madoda kama Mume wake akiwa any matrimonial bond either ndoa, watoto ama hata nyumba ya kuishi ambayo ni shared. Huku the original wife wana nyumba, watoto, ndoa na biashara.
Hivyo basi automatically msiba umekwenda nyumbani kwa Mke wa Madoda na mwili umelala huko leo ukiagwa na kupumzishwa na Catherine akiwa hana access kabisa ya kuhudhuria, kuaga, kuzika wala kuweka taji. Atabaki analia mwenyewe nyumbani kwake na mashost zake.
FUNZO: Yote yaliyotokea kwa Catherine kuwa na Madoda, kuishi nae haina kosa kabisa kwani alikuwa ametengana na mkewe na akamkuta Catherine yuko mwenyewe hapa hakuna shida yoyote. Kosa la Catherine ni mitandao ambayo alikuwa anaitumia kujimwambafai na mtu ambae bado ana pending issues na mke wake.
Catherine alikuwa ni mtu kurusha kila wanachofanya kwenye instgram kwamba ni Mumeo kumbe bado hajawa official. Pia hukutakiwa kuingilia ugomvi wao na kuanza kumtukana original wife. Wewe bado ni mdogo Mungu atakubariki utapata mume mwingine ila kama atakuwa Divorcee basi kula kimya kimya uache mbwembwe.
Poleni sana sisi tunajiandaa kwenda kumuaga Mume wako Madoda na kwenda kumpumzisha shambani kwake Nduruma.
MWISHO: Madoda kamaliza safari yake hapa duniani hivyo nawe zika mambo yote. Achana na mashost zako ambao watataka kuliendeleza hili swala. Madoda keshakufa hatarudi tena hivyo futa kila kitu.
Mnamlazimisha marehemu akubali mke aliyemkataa akiwa hai?Only in Tanzania mchepuko anapigania haki apewe msiba wakati Mke halali yupo hai na mbaya zaidi ni mtunga sheria lakini ndiyo wa kwanza kuvunja sheria ๐
Kwa hiyo bunge la ndugai lina wabunge malaya malaya kama huyo Catherine, anataka kupelekewa moto na waume za watu.Tatizo pia Cath Ana historia chafu. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ukahaba na kupola Waume wa wengi. Alimpola shigela kwa mtu. Kagesheki akawa mke wa 2