Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inaonekana wanaccm wanapelekeana sana moto kama hawana akili timamuNa ile rangi nyeupe.
nasikia ashapigana na mwenzie kisa NNnauyeHuyu Magige awali alikuwa mchepuko wa Mamvi kisha akahamia kwa Kagasheki sasa anamng'ang'ania hayati?
Lazima ana pepo huyu na hapo ukute waliomsindikiza ni wale Covid 19!
Job ndugai amchukue na kumfanya mke mdogoWadada wa kibongo ni issue sana kuwa nao katika mawasiliano, yaani wengi wao hawajitambui hata kidogo. Huyu Catherine si ni mbunge huyu na mtunga sheria, ona sasa anavyofanya mambo ya kijinga hadharani. Alikuwa nyumba ndogo ya Mh. Kagasheki, akamtema na sasa anaingilia ndoa ya mwanamke mwenzake. Very useless.
Hivi hawezi kukamatwa huyu na kupewa mwanamme wa kumuoa kwa lazima ili atulizane akili? Mh. Ndugai kanuni za kibunge zinasemaje kuhusu mbunge kicheche anayelazimisha kuolewa?
kama mwanaume alimkataa kwa nini alikuwa anamfuata huyu mwanamke na kumzuia aiondokeHaya ndio matitizo ya sheria za ndoa, moja ktk ndoa akishasema sitaki hii ndoa ktk uhalisia hakuna ndoa, Talaka ziishie kwa Wakili wa serikali hakuna kupeleka mahakamani, Hapo huyo mwanamke aliyeachwa anapigania pesa na mali za Jamaa alizoacha hakuna kingine, Mwanaume alishamkataa akiwa hai leo anagombania maiti?. Na ktk ndoa kila mali ziwe na majina ya mwenye mali hakuna mali za familia, wanawake wa sasa mume akishakua na pesa kidogo waanzisha vurugu ili mume afe wachukue pesa, lazima wabunge wabadilishe hizi sheria tuwe na sheria kama za China na Ulaya. Hata Bill Gate yalimshinda akabwaga manyanga
Yule ana pepo!nasikia ashapigana na mwenzie kisa NNnauye
Nenda kwa Lemutuz kachukua full clip...yule mke nae anaonekana mshari asee ndo maana jamaa alimkimbia[emoji848]Duh..hebu itupie hapa mkuu
mke mpole sana yuleNenda kwa Lemutuz kachukua full clip...yule mke nae anaonekana mshari asee ndo maana jamaa alimkimbia[emoji848]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Lakini wengi wamestand na huyo wife...dah .mm niishi na mume wa mtu akifa nakaa kimya tu ! Maana hata kuzaa hujazaa naye...yani unakosa pakujishikizaNenda kwa Lemutuz kachukua full clip...yule mke nae anaonekana mshari asee ndo maana jamaa alimkimbia[emoji848]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Nilikuepo pale kwa Dr mohamed machina sindano, marehem aliletwa na dereva na crown nyeusi, anapepesuka, akapandishwa kwenye kitanda Cha sindano, alkua anaomba aitiwe mke wake Aziza (sijahadithiwa) halafu akakataa roho.Ila huyo sijui ndio mke wewe mume alikukimbia bado uko hai kafa unagombania maiti sio haki kama alikukataa bado mzima hawezi kukubali akiwa kafa huyo sio wako hapo watu wanawaza mirathi tu hakuna mapenzi mtu kafa anakusaidia nini? hukuwa na ujanja wakati mumeo yuko hai leo unamlilia TZ hatari sana na vituko haviishi.
Ni mchumba wake na Pete kavishwa...na kakaa nae 2 yrs toka 2018Lakini wengi wamestand na huyo wife...dah .mm niishi na mume wa mtu akifa nakaa kimya tu ! Maana hata kuzaa hujazaa naye...yani unakosa pakujishikiza
Mbona Sasa umekejeliMwanaume halisi na mwenye kisu hahangaiki na kuomba namba dm...yaan automatic utajikuta unapata wepesi tu kupata namba yake!yaan unaletewa tu namb! Masuala ya kuombana namba ni dalili kuu ya ww maisha kuunga unga
Aliugua nn..?funzo kubwa sana hapo..hata ujifanyr unapendwa vipi mke wa ndoa atabak mke wa ndoa aiseNilikuepo pale kwa Dr mohamed machina sindano, marehem aliletwa na dereva na crown nyeusi, anapepesuka, akapandishwa kwenye kitanda Cha sindano, alkua anaomba aitiwe mke wake Aziza (sijahadithiwa) halafu akakataa roho.
Lips za kuwekea sandwich mezani 😂😂😂😂😂Sema ana lips flani amaizing, naona lips imeandika kopa....
Inasemekana alikuwa anaumwa nini??Nilikuepo pale kwa Dr mohamed machina sindano, marehem aliletwa na dereva na crown nyeusi, anapepesuka, akapandishwa kwenye kitanda Cha sindano, alkua anaomba aitiwe mke wake Aziza (sijahadithiwa) halafu akakataa roho.
Cat kaja na mabaunsa ya kike na ya kiume halooo Arusha bangi tupu[emoji16][emoji16]mke mpole sana yule
mi ningemrukia huyo cathe nijifanye kichaa cha msiba
Ni mchumba wake na Pete kavishwa...na kakaa nae 2 yrs toka 2018
Sema Cat alizubaa sana ilitakiwa hiyo divorce iwe imeshatoka mapema sana, ndo imekula kwake, na kama alikuwa anafanya investments zozote sijui mwanaume anaandika majina yake.....hiyo ndo nitolee wife analamba vyotee maninaaa[emoji134]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Ila amejidhalilisha mno ..mimi kama nna hela za kunitunza akaaa..nakaa kimya nalia na friends basi msiba unasahauCat kaja na mabaunsa ya kike na ya kiume halooo Arusha bangi tupu[emoji16][emoji16]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
umesema vema kabisa 😂😂Cha pombe.. uswahili mwingi.
Sijakejeli..huo ni ukweli...! Na wengi tunaunga unga mkuu relaxMbona Sasa umekejeli
Yeye kaomba namba hata Dm Ni sehemu ya mawasiliano.
Hata kuunga unga nayo maisha ili mradi unaenda chooni[emoji1]